Msikiti wa Al Aqsa utavunjwa muda si mrefu

Nakuhakikishia hilo haitatokea kamwe!! na wakiuvunja msikiti wa Al Aqsa basi ndio mwisho wa Taifa feki la Israel hapa duniani. Hapo si umeona Haouthi kaingia kati? siku wakigusa huo msikiti ni waislamu wa dunia yote wataiangukia Israel
Siongei kishabiki lakini moja ya plans za Israel hardliners ni kubomoa Al AQSA mosque ili kujenga hekalu lao la kale. Nobody can stop them kama Vila ambavyo imeshindikana kuwazuia sasa kwa kuua wapalestina zaidi ya elfu 20.

Strategically wana makombora ya nuclear huku anko Sam akihakikisha hakuna nchi nyingine pale mashariki ya kati inamiliki silaha za nuclear. Leo hii haiwezekani waarabu kuungana kuishambulia Israel kwa sababu hiyo.
 
Naona kila mmoja anatafsiri unabii kwa uono wake, na siyo kwa mujibu wa maandiko yaani ni full kujichanganya. Jamani Yohana na Daniel kwanini mlitumia misamiati migumu na mafumbo kuelezea unabii wa nyakati za mwisho!!!?. Ona Sasa watoto wa Mwamposa, Kakobe, Gwajima na Lusekelo wanavyojikanyaga.
 
Hilo jambo usitamni kuliona kwenye maisha yako.

Ni kweli unabii unaonyesha kuwa huo msikiti utavunjwa na Hekalu la Suleman litajengwa upya lakini itakuwa ni kali mnoo.

Hilo jambo bora lisitukie muda huu
Leta vifungu vya biblia kusapoti nadharia yako. Siyo porojo na mapambio.
 

Jambo jema mana huo msikiti ulijengwa juu ya hekalu la wayahudi liliojengwa kwa mara ya kwanza na mfalme suleiman na kubomolewa na wababeli kisha kujengwa tena na mfalme zerubabeli na kubomolewa tena na warumi 70 yrs baada ya kristo.

Historia yote inawapa uhalali wayahudi kuvunja huo msikiti wa wislam wavamizi,
 
Tangu wiki iliyopita majeshi ya Israel yameanza ku-control idadi ya waumini wanaoingia katika msikiti huo, kwa kawaida huingia zaidi ya 50,000 hadi 100,000 ila majeshi yanazuia idadi hiyo kubwa sababu za ki usalama. Stay turned.

Yes, litajengwa upya, kumbuka eneo hilo hilo ndipo Hekalu la Suleimani lilijengwa na lilibomolewa mwaka 587 KK wakati mfalme Nebukadreza II wa Babeli alipovamia Yerusalemu na kuharibu mji mzima.

Huyu Nebukardeza ndiye aliyechukua (in fact aliiba) vyombo vyote vya Hekaluni na hapo ndipo ukawa mwazo wa kupotea kwa Sanduku la Angano.

Vyombo hivyo vitakatifu alienda kuvinajisi kwa kuita karamu kubwa na kuvitumia - ndipo Mwenyezi Mungu akaonyesha ukuu wake mbele yake (mene, mene, tekeli na peresi. )
 
Yani mazombi ya kiislam yanauliwa hapo gaza hakuna anaesaidia ikawe ndio hicho kimsikiti
wamejaribu kusambaza ati wasusie kununua coca cola kwasababu ni ya wayahudi, ila naona maustaadh wanabwia na kuuza cocka hapa bongo si mchezo. wasusie coca tamu vile afu wanywe azam au mo power ambayo hawajui ndani kuna nini.
 
Huyo ng'ombe mwekundu akifa itakuaje ? Au ujenzi utaahirishwa mpaka azaliwe mwingine ?
 
Qurani ni hekaya za Mwamedi
 
DNA kwanza inasemaje Kati ya wapalestina na hao walioletwa juu ya nani ni mwenye eneo?.
 
Hizi bangi muwe mnachambua sio kuchanganya humo mbegu na makushabu
Una haki ya kumjibu hivyo kutokana na uelewa wako. Niliwahi kuandika humu kuwa moja ya sababu ya Israeli kuitwa taifa teule ni kwa sababu Mungu amelichagua kama ishara kwenye kalenda ya Mungu kuelekea mwisho wa dunia.
Dunia hii ina mwisho wake, mambo mengi aliyoandika jamaa yanahitaji utulivu wa uchambuzi wa kina kutoka kwenye vitabu kadhaa vya Biblia japo yeye ameandika kirahisi sana.

Mfano suala la miaka 3.5 lipo kwenye kitabu cha Ufunuo 13:5 "Naye akapewa kinywa cha kunena maneno makuu, ya makufuru. Akapewa uwezo wa kufanya kazi yake miezi arobaini na miwili."
Miezi 42 ni sawa na miaka 3.5

Watu wana haki ya kubeza hiyo post ya jamaa lakini ndo ukweli wenyewe.
 
Uongoo bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…