ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
Siongei kishabiki lakini moja ya plans za Israel hardliners ni kubomoa Al AQSA mosque ili kujenga hekalu lao la kale. Nobody can stop them kama Vila ambavyo imeshindikana kuwazuia sasa kwa kuua wapalestina zaidi ya elfu 20.Nakuhakikishia hilo haitatokea kamwe!! na wakiuvunja msikiti wa Al Aqsa basi ndio mwisho wa Taifa feki la Israel hapa duniani. Hapo si umeona Haouthi kaingia kati? siku wakigusa huo msikiti ni waislamu wa dunia yote wataiangukia Israel
Strategically wana makombora ya nuclear huku anko Sam akihakikisha hakuna nchi nyingine pale mashariki ya kati inamiliki silaha za nuclear. Leo hii haiwezekani waarabu kuungana kuishambulia Israel kwa sababu hiyo.