Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Punguza maneno weka mstari unaosema nlichouliza...... kama Hamna ndio uelewe mambo mengine ni kuconnect dots tu sio lazma mstari mmoja utoe majibu yote.
Isaya 9:6 SRUV

Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani.



[emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312][emoji1312]

Hii ni miliniam kadhaa kabla hajazaliwa


Hoja yako/zenu watoto wa Hajiri ni dhaifu mnataka atamke mwenyewe
 
Unamaneno.mengi huna sapoti twende kazi shehe nikunyooshe
 
😀 😀 😀 upo sahihi. Yesu hakuna mahali alitamka kwamba yeye ni MUNGU, kwa sababu ingekuwa hatari sana kwake, kwa aina ya watu aliokuwa anaishi nao. Ila watangulizi wake hasa Isaya na Yohana mbatizaji walishatanguliza habari zake kwa watu. Isaya aliishi miaka 600 kabla ya ujio wa Yesu. You can notice the time difference.
 
Hawa wajukuu wa HAJIRI wanajua ila wamefundishana UJINGA wa KUKANA the TRUTH WHICH RIGHT IN FRONT OF THEIR FACE
 
Hawa wajukuu wa HAJIRI wanajua ila wamefundishana UJINGA wa KUKANA the TRUTH WHICH RIGHT IN FRONT OF THEIR FACE
Wasome Yohana 14:6 (Mimi ni njia, na ukweli na uhai. Hakuna awezaye kwenda kwa Baba ila kwa kupitia kwangu.). Yaani huwezi kuiona pepo bila Kumkiri YESU Kristo. 😀 😀 😀 😀
 
unamiss point. usinilaumu mimi, mlaumu Mungu. Mungu ndiye aliamua hivyo. pia kasome..

Romans 9:19-21 19 One of you will say to me: “Then why does God still blame us? For who is able to resist his will?” 20 But who are you, a human being, to talk back to God? “Shall what is formed say to the one who formed it, ‘Why did you make me like this?’”[b] 21 Does not the potter have the right to make out of the same lump of clay some pottery for special purposes and some for common use?

Warumi 9:19-21 19 One of you will say to me: “Then why does God still blame us? For who is able to resist his will?” 20 But who are you, a human being, to talk back to God? “Shall what is formed say to the one who formed it, ‘Why did you make me like this?’” 21 Does not the potter have the right to make out of the same lump of clay some pottery for special purposes and some for common use?
 
Population ni kubwa sema wapo US na wanarudi slowly
population sio kubwa, wanaoishi israel ni 8m tu, wakati wanaoishi marekani ni above 10m. bado ulaya mashariki, australia, canada, western europe, agentina wengi sana etc. na wote hawa huwa wanatoka nchini kwao wanaenda israel wana serve jeshini at least 6 months na kurudi nchini kwao, wana double nationalities.
 
nikufundishe kitu, Uru ya ukaldayo ni iraq ya leo, wale sio waarabu, ni wakaldayo, hata sura zao ni tofauti na waarabu, DNA tofauti na waarabu. yeye ndio alitoka huko akapewa ile ardhi na Mungu ili arithi yeye na uzao wake mteule, through Isack. ni kweli kulikuwa na utawala na wakazi wazawa wa pale, lakini Mungu aliwanyang'anya hao hiyo ardhi akampa ibrahim na uzao wake huo. Mungu ndiye aliyeumba mbingu na nchi na ardhi hii ni mali yake yeye ndio anaamua ampe nani amnyime nani, amnyang'anye nani na ampe nani, na sisi wanadamu hatuna hadhi kumquestion.
 
Wasome Yohana 14:6 (Mimi ni njia, na ukweli na uhai. Hakuna awezaye kwenda kwa Baba ila kwa kupitia kwangu.). Yaani huwezi kuiona pepo bila Kumkiri YESU Kristo. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1312][emoji1312]
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1312][emoji1317][emoji1317]
 
Kifupi tu hata kiwanja alichonacho ni mali ya Serikali
 
Kwahiyo Muhammad ndio kachua hali ya hewa ! Huyu mtume wa ajabu sana
 
Mkuu hizo military industrial complex marekani ni za wayaudi
 
Mkuu hizo military industrial complex marekani ni za wayaudi
Kumbe sasa ilikuwaje tena waweke vinasa sauti huko pentagon kudukua wamarekani?? And Ilikuaje waidungue meli ya kijeshi ya US iliyokua off the gulf of Aquaba during the 6 day war??

Anyway kumbe tunakubaliana nguvu ya kijeshi ndio inawapa Israel ushindi na sio tena sijui taifa la mungu and all that?
 
hekalu lilijengwa hata kabla mood hajazaliwa, utauitaje huo msikiti sasa? hahahaha
Uko sahihi. Yesu mwenyewe alilikuta hilo hekalu, ndimo alipowafukuza wavunja fedha na wafanyabiashara waliokuwa wanafanyia humo hekaluni. Hilo hekali lilijengwa kwa muda wa miaka 46. Soma Mathayo 21: 12 na kuendelea na Yohane 2:19-21. Utajazia jazia nyama kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…