Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Ama kweli religion is an opium of the poor
 
Shekh una uhakika? Neno lazima litimie
 
Hakuweza kumshauri aache kuoa watoto?
 
Mkuu jiheshimuni na mshike adabu zenu watu wote wamejadili huu mjadala lakini hawakuingiza masuala ya dini.
Kama unajielewa Fanya km wenzako walivyofanya acheni upumbavu kuleta udini .
Acha mihemko, mbona sijataja dini yoyote hapo?
 
Hakuna ushahidi wa ki archeology unaoonesha km kulikua na hekalu hapo.
Bali kila siku misikiti midogo inavumbuliwa ukiachana na al aqsa .
Al aqsa ilikuwepo na itakuwepo.
Habari za kusema kuna hekalu ni pauka pakawa
kuna ushahidi wa kiachiolojia, wamekuta hadi kuta na tofali mzee. nyamaza tu kama hujui vitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…