Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Ama kweli religion is an opium of the poor
 
Thubutu yao! nyie wadhalim Wazayuni, wazayuni,wazayuni nawaita mara 3, siku mkithubutu kuvunja msikiti mtakatifu wa AL-AQSA, mjuwe kuwa ndio siku litakalofutika taifa lenu batili la ISRAEL na nyie na vibaraka wenu mtapuputika mithili ya majani ya kipupwe!
Shekh una uhakika? Neno lazima litimie
 
Aliwaagiza wanafunzi wake mwenende ktk muktadha kadha wa kadha ikiwemo uislam.

Kwani wkt anazaliwa na kufa aliuacha....
Ua-Rc..
Lutheran..
U-Tag...
SDA.
Momon nk?,
Mbona unajichanganya?
Uislam!! alimtokea Mohamad S.A W. Na kutoa maagizo watu wote waifuate..

Huwezi abudu wazungu eti unasema kirahisi tu "haijalishi"....mbinguni huendi kwa jibu rahisi hivi?

Kwa majibu haya rahisi ndo maana Biblia yako imekuonya sana tu. unaangamia kwa kukosa maarifa!!!
Hakuweza kumshauri aache kuoa watoto?
 
Mkuu jiheshimuni na mshike adabu zenu watu wote wamejadili huu mjadala lakini hawakuingiza masuala ya dini.
Kama unajielewa Fanya km wenzako walivyofanya acheni upumbavu kuleta udini .
Acha mihemko, mbona sijataja dini yoyote hapo?
 
Hakuna ushahidi wa ki archeology unaoonesha km kulikua na hekalu hapo.
Bali kila siku misikiti midogo inavumbuliwa ukiachana na al aqsa .
Al aqsa ilikuwepo na itakuwepo.
Habari za kusema kuna hekalu ni pauka pakawa
kuna ushahidi wa kiachiolojia, wamekuta hadi kuta na tofali mzee. nyamaza tu kama hujui vitu.
 
Back
Top Bottom