Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Waislam hata waunganike pamoja hawana nguvu za kuanzisha vita vya dunia
 
Kuna mambo ukijiuliza utapata majibu, Israeli haikupigana na Serikali ya Lebanon bali kikundi kilichokuwa kinajificha nyuma ya raia, hapo ndipo ulipo. Hivyo hata ushindi mwembamba ni kazi kubwa.
 
It is on record that the Temple of mountain famously known by its golden dome and Al Aqsa Mosque are two distinctive structures lying in the same ground.
Al Aqsa mosque is distinguished by its imposing black colored dome, and is frequented mostly by Moslems who pay homage to holy sites of the sprawling Jerusalem city.
 
Kuna mambo ukijiuliza utapata majibu, Israeli haikupigana na Serikali ya Lebanon bali kikundi kilichokuwa kinajificha nyuma ya raia, hapo ndipo ulipo. Hivyo hata ushindi mwembamba ni kazi kubwa.
Hayo ni madai yenu ya siku zote .
Israel yeye huwa ni mvunjiifu kwa haki za binadam kwa kuua watoto na raia basi.
Wanapopatikana hizbollah ni ukanda wa kusini mwa Lebanon yeye alienda mpk beirut na kuvurumusha makombora kafata nini kule ilhali waasi walikua kusini?
Tuache hilo mwaka huu May zile vuguvugu za hamas na Israel Israel walilipua majengo ya waandishi wa habari wa Aljazeera na The press ya USA akisema hamas kajificha mule uchunguzi umefanyika hakukukutwa na hata chembe ya risasi wala mwanahamas.
Akatishia kulipua kambi ya wakimbizi na shule inayomilikiwa na UN.
BUNGE LA SENATE LA USA NDIO WAKAMJIA JUU KWA KUPIGA KURA KUWA ASIPEWE TENA USAIDIZI WA SILAHA KM NDIO MTINDO WAKE KUUA RAIA WASIO NA HATIA.HUKU AKIDANGANYA HAMAS WAMEJIFICHA HUMO.
NDUGU MIMI HUNIDANGANYI KITU ISRAEL NI MTU WA KUMALIZIA HASIRA KWA RAIA AKIONA AMEZIDIWA NA ANAYEKABILIANA NAYE.
ANALIPUA CENTRAL AKATI HIZBULLAH WAPO KUSINI HAPO UNASEMAJE?
Je vp wale IDF waliotandikwa jubayl mpk wakakimbia napo hizbullah ilijificha nyuma ya raia?
 
Waislam hata waunganike pamoja hawana nguvu za kuanzisha vita vya dunia
Hiyo unasema wewe.
Je kwani Jerusalem Israel waliichukua leo?
Si toka 1948 Jerusalem ilikua chini ya Israel?
Miaka 70+ mpk sasa je kwan Israel ilikua haina uwezo wa kuubomoa huo msikiti miaka ya robo tatu karne yote hiyo?
Kwanini miaka yote wametulia mpk sasa?
Si unawaona waarabu wanabaguana kisa madhehebu?
Huyu sunni,huyu shia,huyu ahmadia.
Ila ukitaka siku waweke utofauti pembeni gusa maeneo matakatifu uone.
Makkah(kaabah),madinah(Quba),Jerusalem(Al aqsa) hzo ni religious heritage na waislam ni watu walojazwa mioyo ya kikatili linapokuja swala la dini.
OGOPA MUISLAM AKWAMBIE NAKUFA KWAAJILI YA ALLAH.
UTAJUTA.
 
Israel wakorofi sana, kwanini wasijenge hiyo Temple sehemu nyingine [emoji34][emoji34][emoji34]
Hapana mkuu waliojenga huo msikiti hapo ndo wakorofi,hapajawahi kuwa msikiti hapo lilikuwa hekalu la Mungu aliye hai lililojengwa na Suleiman mwna wa Daudi kwa maelekezo ya Mungu!wao wakalibomoa hekalu wakajenga msikiti ,so lzm uondoshwe na lijengwe tena hekalu lkn muda wake bado
 
Iko wazi kwamba Taifa la Israel lilishafutika Duniani hao wa sasa ni mapandikizi wa nchi za Magharibi na Ulaya.
Adolf Hitler alishaifuta Israel kwenye ramani ya Dunia
Yaani Hitler ndo alilifuta ila sio Mungu,kwahiyo ndo ujue ndo maana lilirudi haiwezekani kulifuta tu kirahisi
 
Jerusalem ni ya wayahudi kama ulivyo temple mount, kama walirudisha Jerusalem so is Solomon's temple
ni suala la.muda tu.si unaona wameanza chokochoko siku yanatokea machafuku unalipuliwa wanasema ni makombora ya Hamas na hapo ndio watazuia kukarabatiwa
 
Alifanya vile ili kutoa msisitizo kwa Serikali iliyo madarakani ichukue hatua dhidi ya watovu wa nidhamu. kuhusu Hamas, jeshi lao ni wapiganaji ambao hawana hata sare na wanaishi katikati ya raia, hivyo hata ukipiga huko waliko basi utashtumiwa kwa kuua raia. Hamas walikuwa wanaficha silaha zao kwenye magala ambayo Israeli iliyabaini na kuyaharibu. Baadae wakabadili mbinu wakawa watafuta chumba kwenye jengo na kuhifadhi ulipaswa utoe pongezi kwa Israeli kwa kujali utu kwa kutoa taarifa ili watu waondoke ndio inaharibu jengo. Taarifa za aljeereza zilikuwa zimeegemea upande mmoja na hivyo kuwa sehemu ya propaganda ya vita, ilikuwa sawa kuwapumzisha kwanza.
 
Jerusalem imetambulika kuwa mji mkuu wa Israeli juzi wakati wa Trump, mambo huenda taratibu, wanaanza kwa kuchukua ardhi baadae wataweka vizuizi vya kuingia mchezo utakuwa umeisha. Ili hili liwezekane vizuri, Marekani na Israeli watafute namna ya kuigombanisha Iran na Taliban ili Iran awekeze nguvu nyingi nyumbani na hivyo apunguze msaada wake kwa Hamas, Hezbollah na mchango wake ndani ya Syria.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao wapo katika wale 12 ila Ishmael alitemwa mapema saana baada ya mama yake kuonesha dharau

Nikukumbushe tu Suleiman alikuwa na WAKE 700 na MASURIA/housewives 300
Kuna mtoto wa suria hata mmoja unayemjua??
Alitemwa kivipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…