Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

Msikiti wa AQSA kubomolewa na Hekalu la Suleiman kujengwa upya

[emoji4][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha utani kaka asa six days war ilikua vita au uvamizi tu wa israel?
vp kuhusu 2006 kiliwapata nini wayahudi fake?
NAKUSISITIZA KAKA MSIKITI ULE SIO SAWASAWA NA MSIKITI WA MWEMBE CHAI.
ULE NI KAABA NDOGO BAADA YA MAKKAH.
UKIVUNJWA WAISLAM WOTEEE WATAINUKA NDUGU.
Waislam hata waunganike pamoja hawana nguvu za kuanzisha vita vya dunia
 
kwa wanajeshi Hizbollah walikufa 25 zaidi ila wengi waliouliwa civilians kwa upande wa lebanon.
Na vita haipinwi kwa death toll peke ake.
Mfano Mimi nina majeshi yangu tupo km 500 nyie mpo 300 tukavamia kwenu tukateka eneo lenu nyie mka retaliate mkapigana na sisi tukawaua sana kiasi mkabaki mia ila sisi tukashindwa kuulinda mji tuliowapokonya na tukaondoa majeshi wenyewe kwa kukimbia .
Nani anahesabika kashinda hiyo battle??
Kuna mambo ukijiuliza utapata majibu, Israeli haikupigana na Serikali ya Lebanon bali kikundi kilichokuwa kinajificha nyuma ya raia, hapo ndipo ulipo. Hivyo hata ushindi mwembamba ni kazi kubwa.
 
Israelis Reportedly Allowed to Pray on the Temple Mount. Several Jewish people could be seen praying on the Temple Mount over the weekend; In addition to prayer, it’s reported that even Torah teachings have taken place; Cherki: The change in policy is “a revolution, unfolding quietly and gradually under the radar.” On what is the eve of Tisha B’Av, one of the saddest days [...]

The post Israelis Reportedly Allowed to Pray on the Temple Mount appeared first on Behold Israel .

Ni suala na muda tu na sasa naona kama majira yashatimia.

Tutajua kilianza HEKALU au msikiti?View attachment 1857741
View attachment 1859317

View attachment 1859318
It is on record that the Temple of mountain famously known by its golden dome and Al Aqsa Mosque are two distinctive structures lying in the same ground.
Al Aqsa mosque is distinguished by its imposing black colored dome, and is frequented mostly by Moslems who pay homage to holy sites of the sprawling Jerusalem city.
 
Kuna mambo ukijiuliza utapata majibu, Israeli haikupigana na Serikali ya Lebanon bali kikundi kilichokuwa kinajificha nyuma ya raia, hapo ndipo ulipo. Hivyo hata ushindi mwembamba ni kazi kubwa.
Hayo ni madai yenu ya siku zote .
Israel yeye huwa ni mvunjiifu kwa haki za binadam kwa kuua watoto na raia basi.
Wanapopatikana hizbollah ni ukanda wa kusini mwa Lebanon yeye alienda mpk beirut na kuvurumusha makombora kafata nini kule ilhali waasi walikua kusini?
Tuache hilo mwaka huu May zile vuguvugu za hamas na Israel Israel walilipua majengo ya waandishi wa habari wa Aljazeera na The press ya USA akisema hamas kajificha mule uchunguzi umefanyika hakukukutwa na hata chembe ya risasi wala mwanahamas.
Akatishia kulipua kambi ya wakimbizi na shule inayomilikiwa na UN.
BUNGE LA SENATE LA USA NDIO WAKAMJIA JUU KWA KUPIGA KURA KUWA ASIPEWE TENA USAIDIZI WA SILAHA KM NDIO MTINDO WAKE KUUA RAIA WASIO NA HATIA.HUKU AKIDANGANYA HAMAS WAMEJIFICHA HUMO.
NDUGU MIMI HUNIDANGANYI KITU ISRAEL NI MTU WA KUMALIZIA HASIRA KWA RAIA AKIONA AMEZIDIWA NA ANAYEKABILIANA NAYE.
ANALIPUA CENTRAL AKATI HIZBULLAH WAPO KUSINI HAPO UNASEMAJE?
Je vp wale IDF waliotandikwa jubayl mpk wakakimbia napo hizbullah ilijificha nyuma ya raia?
 
Waislam hata waunganike pamoja hawana nguvu za kuanzisha vita vya dunia
Hiyo unasema wewe.
Je kwani Jerusalem Israel waliichukua leo?
Si toka 1948 Jerusalem ilikua chini ya Israel?
Miaka 70+ mpk sasa je kwan Israel ilikua haina uwezo wa kuubomoa huo msikiti miaka ya robo tatu karne yote hiyo?
Kwanini miaka yote wametulia mpk sasa?
Si unawaona waarabu wanabaguana kisa madhehebu?
Huyu sunni,huyu shia,huyu ahmadia.
Ila ukitaka siku waweke utofauti pembeni gusa maeneo matakatifu uone.
Makkah(kaabah),madinah(Quba),Jerusalem(Al aqsa) hzo ni religious heritage na waislam ni watu walojazwa mioyo ya kikatili linapokuja swala la dini.
OGOPA MUISLAM AKWAMBIE NAKUFA KWAAJILI YA ALLAH.
UTAJUTA.
 
Israel wakorofi sana, kwanini wasijenge hiyo Temple sehemu nyingine [emoji34][emoji34][emoji34]
Hapana mkuu waliojenga huo msikiti hapo ndo wakorofi,hapajawahi kuwa msikiti hapo lilikuwa hekalu la Mungu aliye hai lililojengwa na Suleiman mwna wa Daudi kwa maelekezo ya Mungu!wao wakalibomoa hekalu wakajenga msikiti ,so lzm uondoshwe na lijengwe tena hekalu lkn muda wake bado
 
Hiyo unasema wewe.
Je kwani Jerusalem Israel waliichukua leo?
Si toka 1948 Jerusalem ilikua chini ya Israel?
Miaka 70+ mpk sasa je kwan Israel ilikua haina uwezo wa kuubomoa huo msikiti miaka ya robo tatu karne yote hiyo?
Kwanini miaka yote wametulia mpk sasa?
Si unawaona waarabu wanabaguana kisa madhehebu?
Huyu sunni,huyu shia,huyu ahmadia.
Ila ukitaka siku waweke utofauti pembeni gusa maeneo matakatifu uone.
Makkah(kaabah),madinah(Quba),Jerusalem(Al aqsa) hzo ni religious heritage na waislam ni watu walojazwa mioyo ya kikatili linapokuja swala la dini.
OGOPA MUISLAM AKWAMBIE NAKUFA KWAAJILI YA ALLAH.
UTAJUTA.
Jerusalem ni ya wayahudi kama ulivyo temple mount, kama walirudisha Jerusalem so is Solomon's temple
ni suala la.muda tu.si unaona wameanza chokochoko siku yanatokea machafuku unalipuliwa wanasema ni makombora ya Hamas na hapo ndio watazuia kukarabatiwa
 
Hayo ni madai yenu ya siku zote .
Israel yeye huwa ni mvunjiifu kwa haki za binadam kwa kuua watoto na raia basi.
Wanapopatikana hizbollah ni ukanda wa kusini mwa Lebanon yeye alienda mpk beirut na kuvurumusha makombora kafata nini kule ilhali waasi walikua kusini?
Tuache hilo mwaka huu May zile vuguvugu za hamas na Israel Israel walilipua majengo ya waandishi wa habari wa Aljazeera na The press ya USA akisema hamas kajificha mule uchunguzi umefanyika hakukukutwa na hata chembe ya risasi wala mwanahamas.
Akatishia kulipua kambi ya wakimbizi na shule inayomilikiwa na UN.
BUNGE LA SENATE LA USA NDIO WAKAMJIA JUU KWA KUPIGA KURA KUWA ASIPEWE TENA USAIDIZI WA SILAHA KM NDIO MTINDO WAKE KUUA RAIA WASIO NA HATIA.HUKU AKIDANGANYA HAMAS WAMEJIFICHA HUMO.
NDUGU MIMI HUNIDANGANYI KITU ISRAEL NI MTU WA KUMALIZIA HASIRA KWA RAIA AKIONA AMEZIDIWA NA ANAYEKABILIANA NAYE.
ANALIPUA CENTRAL AKATI HIZBULLAH WAPO KUSINI HAPO UNASEMAJE?
Je vp wale IDF waliotandikwa jubayl mpk wakakimbia napo hizbullah ilijificha nyuma ya raia?
Alifanya vile ili kutoa msisitizo kwa Serikali iliyo madarakani ichukue hatua dhidi ya watovu wa nidhamu. kuhusu Hamas, jeshi lao ni wapiganaji ambao hawana hata sare na wanaishi katikati ya raia, hivyo hata ukipiga huko waliko basi utashtumiwa kwa kuua raia. Hamas walikuwa wanaficha silaha zao kwenye magala ambayo Israeli iliyabaini na kuyaharibu. Baadae wakabadili mbinu wakawa watafuta chumba kwenye jengo na kuhifadhi ulipaswa utoe pongezi kwa Israeli kwa kujali utu kwa kutoa taarifa ili watu waondoke ndio inaharibu jengo. Taarifa za aljeereza zilikuwa zimeegemea upande mmoja na hivyo kuwa sehemu ya propaganda ya vita, ilikuwa sawa kuwapumzisha kwanza.
 
Hiyo unasema wewe.
Je kwani Jerusalem Israel waliichukua leo?
Si toka 1948 Jerusalem ilikua chini ya Israel?
Miaka 70+ mpk sasa je kwan Israel ilikua haina uwezo wa kuubomoa huo msikiti miaka ya robo tatu karne yote hiyo?
Kwanini miaka yote wametulia mpk sasa?
Si unawaona waarabu wanabaguana kisa madhehebu?
Huyu sunni,huyu shia,huyu ahmadia.
Ila ukitaka siku waweke utofauti pembeni gusa maeneo matakatifu uone.
Makkah(kaabah),madinah(Quba),Jerusalem(Al aqsa) hzo ni religious heritage na waislam ni watu walojazwa mioyo ya kikatili linapokuja swala la dini.
OGOPA MUISLAM AKWAMBIE NAKUFA KWAAJILI YA ALLAH.
UTAJUTA.
Jerusalem imetambulika kuwa mji mkuu wa Israeli juzi wakati wa Trump, mambo huenda taratibu, wanaanza kwa kuchukua ardhi baadae wataweka vizuizi vya kuingia mchezo utakuwa umeisha. Ili hili liwezekane vizuri, Marekani na Israeli watafute namna ya kuigombanisha Iran na Taliban ili Iran awekeze nguvu nyingi nyumbani na hivyo apunguze msaada wake kwa Hamas, Hezbollah na mchango wake ndani ya Syria.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hao wapo katika wale 12 ila Ishmael alitemwa mapema saana baada ya mama yake kuonesha dharau

Nikukumbushe tu Suleiman alikuwa na WAKE 700 na MASURIA/housewives 300
Kuna mtoto wa suria hata mmoja unayemjua??
Alitemwa kivipi?
 
Back
Top Bottom