Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo.
But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa
Aisee TEC ni balaaNimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo.
But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa
Kama mtume ndivyo alivyoagiza uislam ufanye kama masheikh walivyofanya basi alifanya kazi ya bureNamshukuru Allah kwa Neema ya Uislam na Sunnah.
Ee Allah, ijaalie nchi yetu ya Tanzania iwe na Amani.
Nawanasihi ndugu zangu ninaowapenda mno, yaani Waislam, tutulie na tuwe na subra na tujiepushe na fitna, tukae mbali na fitna, tumtii mtawala (katika yasiyo maasi) na tuendelee kumuomba Allah Ailinde na Kuihifadhi nchi yetu ya Tanzania na Aiepushe na Fitna, vita na machafuko ya aina zote, Allahumma Aamiin. Tuwanasihi ndugu na jamaa zetu wawe watulivu na wakimya wawaache wajuzi wa mambo kuyazungumzie mambo haya. Na tushikamane na Dini yetu barabara na kuifuata kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah juu ya Ufahamu wa Wema waliotangulia na tuwasikilize Wanachuoni wetu na Masheikh zetu waliosimama katika njia ya Salaf Swaalih (Wema waliotangulia).
Tukae mbali na fitna.
Kama
Kama mtume ndivyo alivyoagiza uislam ufanye kama masheikh walivyofanya basi alifanya kazi ya bure
Ooooh kumbe!Na tumekatazwa kufanya uasi dhidi ya mtawala Muislam...
Hii itakua BAKWATA hii sio Maulamaa wa Shula au huyu atakua mfuasi wa Shekhe RusaganyaNa mafundisho ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) kwa Waislam ni kumtii mtawala (katika yale yasiyokuwa maasi) hata kama huyo mtawala ni muovu na dhalimu na anatunyima haki zetu. Tumeambiwa tumpe mtawala haki yake na akitunyima zetu tuzidai kwa Allah.
Kwanini sasa alitoa go ahead waueni shoot to kill? Acha unafiki na huku unasema hamfanyi unafiki unachokifanya hapo ni unafikiKutumia upanga hakutabadilisha kitu, bali hali itazidi kuwa mbaya.
Nimesoma watu wanalalamika na kauli za Bakwata kuhusu mauaji yaliyotokea kwenye màndàmano. Wanalaumiwa sana kwa kutosema ukweli, hasa baada ya waraka wa TEC leo.
But wanasahau kuwa haya makundi ya dini ni diametrically opposed in thinking ability. Naishia hapa
Ooooh kumbe!
This explains everything.
Thank you, sir!
Kwanini sasa alitoa go ahead waueni shoot to kill? Acha unafiki na huku unasema hamfanyi unafiki unachokifanya hapo ni unafiki
Nimekuuliza kwanini alitoa go ahead shoot to kill? Jibu kwanza hilo kwamba hili kwenye uislamu inaruhusiwa kuwaua makafiri na wote wasio makafiri ila sio waislamu? Sema hivyo ingawa sitaki ifike huko au iwe hivyo ila wewe ndio unalazimisha na unapeleka huko maana yake unataka ifike huko si ndio?Namaanisha kutumia upanga dhidi ya mtawala. Na nadhani hata wewe umeona madhara yake.
Quran inatuambiaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke. Kwa mujibu wa haya maelezo yakoKatika Uislam tunafundishwa kuwa matendo ya watu yanaoneshwa/yanadhihiri kupitia watawala wao.
Yaani inakuwa ni kama wanatazama kioo. Watu wakiwa wema na wachaMungu na watawala wao watakuwa wema na wachaMungu. Watu wakiwa ni watenda dhambi, madhalimu, waovu, matapeli, wezi na wahuni na tabia nyengine mbaya na maovu mengine basi watawala wao watakuwa kama wao.
Allah huwatawalisha madhalimu juu ya madhalimu wenzao na huwapa nguvu baadhi ya madhalimu juu ya madhalimu wengine kama Adhabu kwao kwa yale walioyatenda.
Madhalimu huoneshwa athari ya wanayoyafanya kupitia watawala wao. Na Waislam tunafundishwa Adhabu ya Allah haiondolewi kwa upanga bali kwa kujinyenyekeza kwa Allah na kushuka chini (kutokuwa na kibri) kutubu na kumuomba Allah Atusemehe na kukithirisha Dua na matendo mema.
Kutumia upanga dhidi ya mtawala hakutabadilisha kitu, bali hali itazidi kuwa mbaya. Na kheri zilizokuwepo zitaondoka au kupungua kuliko hapo awali. Hili limeshuhudiwa na linashuhudiwa.
Katika Uislam tunafundishwa watu wakitaka waondolewe watawala madhalimu, waache wao dhulma kwanza.
Na mafundisho ya Mtume (Swala na Salamu ziwe juu yake) kwa Waislam ni kumtii mtawala (katika yale yasiyokuwa maasi) hata kama huyo mtawala ni muovu na dhalimu na anatunyima haki zetu. Tumeambiwa tumpe mtawala haki yake na akitunyima zetu tuzidai kwa Allah.
Kuna hikma kubwa katika hili, ukitizama kijuu juu kwa jazba unaweza usielewe ila kuna hikma kubwa. Kuwepo kwa mtawala hata kama ni dhalimu na muovu hilo ni bora zaidi kuliko anarchy na chaos na fitna. Ni lesser evil dhidi ya greater evil.
Tumekatazwa kumkosoa mtawala hadharani na tukafundishwa tukitaka kumnasihi mtawala tumnasihi kwa siri, kinyume na hapo tuwe na subra. Na tumekatazwa kufanya uasi dhidi ya mtawala Muislam na hata huyo mtawala asiye Muislam haifai kumtoa kama hamna nguvu ya kumtoa au hata kama nguvu mnayo ila kumtoa kutasababisha umwagaji wa damu na fitna.
Dhulma imepigwa vita sana katika Uislam, iwe ni dhulma ya mtawala au raia, imepigwa sana vita. Bali kuna Hadith kabisa za Mtume akikemea na kuonya watawala madhalimu. Ila pia Dini yetu imetuwekea taratibu za kuamiliana na mtawala.
Na Allah ni Mjuzi zaidi.
Nimekuuliza kwanini alitoa go ahead shoot to kill? Jibu kwanza hilo kwamba hili kwenye uislamu inaruhusiwa kuwaua makafiri na wote wasio makafiri ila sio waislamu? Sema hivyo ingawa sitaki ifike huko au iwe hivyo ila wewe ndio unalazimisha na unapeleka huko maana yake unataka ifike huko si ndio?