AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kwa hio umekubari kwamba haukua sahihi kwa ulichokianzisha kwa maana kinakurudia wewe mwenyewe au sio same mistake aliyoifanya yule unaemtetea na kusema kwamba alichofanya alikua yupo sahihi kuua si ndio?Sipo hapa kwa ajili ya mdahalo. Tafuta wengine.
Quran inatuambiaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke. Kwa mujibu wa haya maelezo yako
Quran inatuambiaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke. Kwa mujibu wa haya maelezo yako
Quran inatuambiaje kuhusu kutawaliwa na mwanamke. Kwa mujibu wa haya maelezo yako
Alipotoa go ahead ya shoot to kill na kisha watu wakaanza kuuwawa ulikua anajisikiaje ukiambiwa kwamba ndio anaua watu huko yaan ulikua na kafuraha fulani au kilikua kinakuuma kuona watu wanakufa?Unashangaa sisi Waislam kutawaliwa na mwanamke tena Muislam ila huulizi swali kwanini tulitawaliwa na wasio waislam na tukatulia!! Ushawahi kujiuliza hilo? Ushawahi kujiuliza nini hukmu ya Waislam kutawaliwa na wasio Waislam?
Acha usenge wewe,nani alikuaminisha kua PhD ndio kua na akili? Magufuli kwenye moja ya hotuba yake aliwahi kusema "Pale benki kuu kuna PhD 17 ila yanayofanyika ni ya ajabu" hao makafiri ndio wahusika wakuu wa mauaji ya kimbari Rwanda,nyie makafiri mna chuki za ******* sana,hakuna asiye jua yote haya mnayafanya kwa chuki ya udini.Izi uweze kushusha nondo km Tec lzm elimu ya darasani iwepo kichwani yale hayafanywi na juzuuu 7 kichwani we mzeee
Wapo ambao wamekemea mauaji sio nyinyi ambao mnaungana na wauaji usifanye generalisations kwamba sisi sio wote wanaokubari yale mauaji ni wewe na mwenzio Shekhe RusaganyaKuna tofauti yoyote unaiona kwa Waislam wengi hapa Bongo katika kuamiliana na watawala wakati wa sasa na wa Magufuli? Kuna tofauti yoyote umeiona?
Hata kwa Magufuli ilikuwa hivyo hivyo tu.
Mtawala anatakiwa kusikilizwa na kutiiwa katika yasiyo maasi.
Licha ya udhaifu unaoweza kuuona kwetu Waislam ila Dini yetu Tukufu imetufundisha vizuri mno katika kila kitu ikiwemo namna ya kuamiliiana na watawala.
Vipi wewe Kanisa katoliki lilivyohusika na mauaji ya kimbari Rwanda,ulijisikiaje?Alipotoa go ahead ya shoot to kill na kisha watu wakaanza kuuwawa ulikua anajisikiaje ukiambiwa kwamba ndio anaua watu huko yaan ulikua na kafuraha fulani au kilikua kinakuuma kuona watu wanakufa?
Mtume hajaagiza UPUMBAVU huo, hii ni mijitu minafiki inajipendekezaKama
Kama mtume ndivyo alivyoagiza uislam ufanye kama masheikh walivyofanya basi alifanya kazi ya bure
Rudia nilichokiandika kukisoma kwa umakini ndio uniquote usiniquote km hujasoma kwa kutulia maana nitakupa unachokitafuta na apart from that tunazungumzia Tanzania baki kwenye issue zetu za sasa usifukue issue zilizopita msitafute excuse wajinga nyinyi, mnafanya makosa halafu mnatafuta excuse za kiduwanzi stick to our current issues usituletee mambo ya 1980 huko sasa hivi tupo 2025 tuongelee hapo, huwezi pita hivi juzi Shekhe Majini kapigwa shaba hajafanya chochote ongelea hapo nitakusikiliza au niambie yule Shekhe alifanya nini mpaka apigwe shaba na kukatisha uhai wake?Vipi wewe Kanisa katoliki lilivyohusika na mauaji ya kimbari Rwanda,ulijisikiaje?
Jibu swali nililokuuliza,acha kuweka maelezo marefu kama vile unajitongozesha,Rudia nilichokiandika kukisoma kwa umakini ndio uniquote usiniquote km hujasoma kwa kutulia maana nitakupa unachokitafuta na apart from that tunazungumzia Tanzania baki kwenye issue zetu za sasa usifukue issue zilizopita msitafute excuse wajinga nyinyi, mnafanya makosa halafu mnatafuta excuse za kiduwanzi stick to our current issues usituletee mambo ya 1980 huko sasa hivi tupo 2025 tuongelee hapo, huwezi pita hivi juzi Shekhe Majini kapigwa shaba hajafanya chochote ongelea hapo nitakusikiliza au niambie yule Shekhe alifanya nini mpaka apigwe shaba na kukatisha uhai wake?
Papa ndio aliagiza mashoga wakabarikiwe Vatican,na sasa hivi wameruhusiwa kwenda Hija Vatican.Mtume hajaagiza UPUMBAVU huo, hii ni mijitu minafiki inajipendekeza
Na wewe fanya nilichokwambia ufanye usinilazimishe nifanye unavyotaka wewe hutaki pita hivi sio lazima uniquoteJibu swali nililokuuliza,acha kuweka maelezo marefu kama vile unajitongozesha,
Unasema utanipa ninachokitafuta? Haya rudi hapa nakusubiri kwa hamu kabisa ila usije ukakimbia tu.
Mkuu wewe ni muelewa sio huyu The Icebreaker amejawa na udini usiokua na maanaElimu na ufahamu ni vitu viwili tofauti, Kuna PhD kibao lakini ni wapuuzi vilevile, wengine ni wanasheria kabisa kina tulia, kabudi, Kuna hadi maprofesa hii nchi wamefanya ushenzi master sio elim ya kuzungumza Kwa ulimwengu huu nimeisoma lakini naona hakuna kitu si ya ulaya au ya bongo Kama huna common sense ambayo anagawa Mungu pekee wewe ni useless person.
Umeanza kua mpole ghafla! Nakusubiri hapa,watu kama wewe hua nawatafuta sana.Na wewe fanya nilichokwambia ufanye usinilazimishe nifanye unavyotaka wewe hutaki pita hivi sio lazima uniquote
Wewe bakia na udini wako mimi hapa nakemea uuaji kwa mauaji yaliyotokea na sio udini sasa wewe km unaniletea habari za udini baki nazo mwenyewe sipo hukoUmeanza kua mpole ghafla! Nakusubiri hapa,watu kama wewe hua nawatafuta sana.
Nyie makafiri ndio mna huu upumbavu wa chuki ya udini,viongozi wa kisiasa wenye hizo PhD kila siku mnawatukana,ila hizo PhD zikiwa kwa viongozi wenu makafiri mnaona ndio zipo sawa na mnawaona ni kama Malaika,Mkuu wewe ni muelewa sio huyu The Icebreaker amejawa na udini usiokua na maana