field marshall1
JF-Expert Member
- Sep 17, 2017
- 1,171
- 2,732
Huyo mwanamke ni mjinga sana. Anajua kabisa ni uongo anakaza macho tu.Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
Ila kweli chama hiki kimekuwa hopeless kabisa!Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
Hakuna cha kuzungukana amini kuwa yule mama shetani hakutoa form kwa yeyote bali kaamua kuwakomoa chadema akiamini mtukufu akiona atamzawadia uteuzi viti maalum toka kwa mtukufuMwenyekiti na Katibu wamezungukana, wao wasubiri kama huyo mgombea hatarudisha form. Mkurugrnzi anamwambia huyo mburura awasiliane na katibu wake yeye anangangania aonyeshwe barua, muda bado siakafungue kesi mahakamani
Hakuna form imetolewa pale labda huyo mama shetani alikupa wewe binafsiChadema mnachukua fomu Mara mbili mbili.
Hopeless ni wewe mwenyewe uliyeshindwa kujua kuwa yule mama anawahadaa chadema hajatoa form kokote labda kampa hawala yake cyprian Musiba akazani kawapa Chadema, Dr Slaa hakuwa na Akili angekuwa na akili asingekubali kununulia kiwepesi vile.Ila kweli chama hiki kimekuwa hopeless kabisa!
Hivi intelligensia ya chama ya enzi zile za Dr Slaa iliendaga wapi?
Hivi mwenye akili CHADEMA alikuwaga Dr tu?
Yaani kweli wameshindwa kumtrace huyo aliyechukua form na kumpeleka kwenye vyombo vya sheria?
Huyo mama yupo vizuri saana! anawaelekeza vizuri lakini hao jamaa sijui kama wanaelewa chochote.
Mama shetani kajitoa fahamu zote hajatoa form yeyote kaamua kutengeneza kisingizio cha uongo kuharalisha njama zake za kuwahujumu chademaAcha uongo na propaganda sizizo na mashiko. Usimsingizie Mkurugenzi, HAJAKATAA KUTOA FOMU. Alishatoa fomu moja au SETI MOJA YA FOMU kwa mgombea wa CHADEMA aliyetambulishwa na kwa barua na kiongozi wenu wa ngazi ya Mkoa. Huyo Mkurugenzi siyo mjinga kiasi hicho eti cha kuwanyima fomu CHADEMA, anajipenda au hajipendi? Anapenda kazi yake au haipendi? CHADEMA siku zote mnachezeana rafu wenyewe ndani kwa ndani. Kwa nini lakini hamna umoja hata kipindi hiki cha uchaguzi?
Act acheni kulalamika na kuleta vijisababu on this issue. Mwenyekiti anasema nini on this?Mama shetani kajitoa fahamu zote hajatoa form yeyote kaamua kutengeneza kisingizio cha uongo kuharalisha njama zake za kuwahujumu chadema
Issue hapo CHADEMA waende mahakamani wakazuie uchaguzi jimbo la Kibamba usifanyike.Mkurugenzi anayehusika na Uchaguzi jimbo la Kibamba amekataa kutoa fomu kwa mgombea wa CHADEMA kwa kile alichodai kuwa kuna mtu aliyedai kuwa Mgombea wa CHADEMA ameichukua fomu husika hivyo hawezi kutoa fomu mara mbili. Hivyo amewataka CHADEMA washirikiane na polisi kumsaka muhusika.
Sawa this is one of the many options, siyo kulalamika na kutukana watoa hoja humu JF!Issue hapo CHADEMA waende mahakamani wakazuie uchaguzi jimbo la Kibamba usifanyike.
Halafu tuone kama huyo mkurugenzi atakuwa na kazi..
Tatizo mahakamaccm lazima itaegemea upande wa mkurugenziccm mama shetani au unataka waende mahakama za kimataifa?Issue hapo CHADEMA waende mahakamani wakazuie uchaguzi jimbo la Kibamba usifanyike.
Halafu tuone kama huyo mkurugenzi atakuwa na kazi..
Wakurugenziccm huwakomoa chadema makusudi ili wakidai haki wapate kisingizio cha kuwabambikia kesiKuna watendaji wengine wa NEC, hawastahili hata kupoteza muda kuwapeleka mahakamani. Huko ni kupoteza muda, na kutenda kama yeye alivyotarajia.
Wakurugenzi kama huyu, wakitandikwa vibao vya nguvu hata 3 tu, huko mbeleni hutawasikia wengine wakifanya mambo yenye ujuha unaofanana na huo.
Hawa watendaji wa NEC na serikali, kuna wakati wanabembelezwa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yao ni kuwasomea Albadiri kubwaTatizo mahakamaccm lazima itaegemea upande wa mkurugenziccm mama shetani au unataka waende mahakama za kimataifa?
Wanasaccos kama wewe ni mbumbumbu wa kutosha tu. Ndiyo maana watz hawana imani na nyinyi na dawa yenu ni tarehe 28/10/2020. Midomo yenu itaziba na mtakuwa mabubu sana sana mtaanza kusema mmeibiwa kura wakati maandalizi zero!! Mliwaaminisha wanasaccos wenzenu kuwa uchaguzi hautafanyika bila Katiba Mpya sasa cha kushangaza mmeshaingia kwenye kampeni wakati hakuna Katiba Mpya sasa nyinyi tuwaiteje??!!Mama shetani kaamua kuwakomoa chadema kwa njia za kishamba pasipo kusoma nyakati pasipo kujua kuwa watanzania wana Akili nyingi kuliko watesi wa CCM
Wewe mwenye uthubutu huo NENDA kisha utuletee feedback humu JF. Halafu huu ndio wakati muafaka kwani ndio jamii inakutana na Wakurugenzi ana kwa ana.Kuna watendaji wengine wa NEC, hawastahili hata kupoteza muda kuwapeleka mahakamani. Huko ni kupoteza muda, na kutenda kama yeye alivyotarajia.
Wakurugenzi kama huyu, wakitandikwa vibao vya nguvu hata 3 tu, huko mbeleni hutawasikia wengine wakifanya mambo yenye ujuha unaofanana na huo.
Hawa watendaji wa NEC na serikali, kuna wakati wanabembelezwa mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Abdallah itakua ndio wewe.Hakuna form imetolewa pale labda huyo mama shetani alikupa wewe binafsi