Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Mkurugenzi hajakataa hayo yote kufanyika, lakini amewataka kufuata utaratibu. Kwasababu hata yeye hana uhakika hata kama huyo aliekuja ni mgombea halali kwahiyo asingeweza ku disclose information zote hizo. Ndo maana akawataka waende polisi wakatoe taarifa kwanza, halafu kama kuna taarifa zozote zingehitajika angezitoa huko. Kumbuka hiyo ni ofisi ya Serikali, nyaraka zozote zilizopo hapo ambazo zimewasilishwa zinakua mali ya Serikali kwahiyo haziwezi kutolewa kwa mtu yoyote tu isipokua kwa Mamlaka zinazohusika ikiwemo mahakama n.k
 
Chadema Taifa hili ni la kufuatilia tume ya taifa ya uchaguzi mapema kabla ya uhuni huu haujafanikiwa.
 
Ukada wa CCM unawasumbua. Huyo akomaliwe tu atoe fomu. Ujinga huo haukubaliki.
 
Swali fikirishi je chadema wakienda polisi watafanikiwa?
 
Duuh majina si yalishaenda tume na wakurugenzi kupewa nakala,kuna baadhi ya mambo ni yakijinga sana,hizi ni siasa za gizani kabisa.......
 
Sioni kama hili swala uongozi wa CHADEMA ukilishughulikia kwa ukaribu hii ni kutokana na viongozi wote wa juu wanagombea hivyo kila mtu yupo busy, kuanzia Mbowe,lissu, Salum mwalimu bawacha bavicha sijui mrema nk kila mtu anapambania jimbo kwa mfano leo pale makao makuu aliyepo labda Mnyika tu, naye hawezi kufanya kila kitu, leo Mbowe yupo zake hai anachukua fomu
 
Huyu Mama mjinga sana hapa anatuharibia sisi CCM. Mahakama itazuia uchaguzi kwa Kibamba anatucheleweshea ushindi Bwana. Piga ua Kibamba ni Kijani tu. Hata asimame Lissu .
 
Wewe binafsi ndiyo mbumbumbu juha zuzu kilaza, watanzania wa wapi hawana imani na wapinzani? Watanzania wa hapo ghato kwa cyprian Musiba mnaposhinda mkivuta Bangi? Chadema ungekuwa saccos mngehangaika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi ? si mgeacha ijifie yenyewe tu, tarehe 28-10- CCM inakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya
 
Kuna sekretarieti ya chama hizi ndio kazi zake.
 
Huyu Bimkubwa Anatakiwa Alambwe makofi Mawili Ya mashavu, Atanyosha Maelezo Vizuri
 
Naona Chadema wanaleta suala ambalo halina mantiki kabisa. Afisa mtoa fomu ameonyesha barua iliyotoka kwa Katibu wa Chadema ikimtambulisha huyo aliyechukua fomu. Yeye akatoa hiyo fomu kwa uzito wa barua hiyo, na kikatiba anaruhusiwa kutoa fomu moja tu kwa kila chama. Katibu aliyeandika hiyo barua ya utambulisho anajulikana, na mtu aliyepewa fomu ametajwa hapo. Hakuna mantiki kumlalamikia mtoa fomu aende polisi. Hiyo ni kazi ya chama chenyewe kama wanashuku barua ya utambulisho ilikuwa ya kugushi, na hilo ni kosa la jinai. Hata mtoa fomu akionekana naye alihusika katika uhalifu huo, naye atachukuliwa hatua zipaswazo. Kwa hiyo kama chama kinamshuku alihusika katika uhalifu huo, hakuna mantiki kumwambia yeye ndiye aende polisi kujishtaki mwenyewe. Ni kitu gani kigumu kinachowafanya Chadema wasite kuenda polisi? Haiingii kabisa akilini mwangu.
 
Ohh! that's not a point mkuu! kuna sehemu nyingine ya kujipendekeza lakini siyo kwenye delicate issue Kama hii bhana!

And yet you and I we have got no proof if that mama is guilty or not.
Delicate issue unaijua wewe; inaelekea mambo ya politics huyafahamu vizuri.
 
mbokooooooo mbokoo mcham kikongwe duniani chama cha amani...
 

Attachments

  • mbokooooo.mp4
    2.7 MB
Hujasikia kuwaambia wailete hiyo fomu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…