Mkurugenzi hajakataa hayo yote kufanyika, lakini amewataka kufuata utaratibu. Kwasababu hata yeye hana uhakika hata kama huyo aliekuja ni mgombea halali kwahiyo asingeweza ku disclose information zote hizo. Ndo maana akawataka waende polisi wakatoe taarifa kwanza, halafu kama kuna taarifa zozote zingehitajika angezitoa huko. Kumbuka hiyo ni ofisi ya Serikali, nyaraka zozote zilizopo hapo ambazo zimewasilishwa zinakua mali ya Serikali kwahiyo haziwezi kutolewa kwa mtu yoyote tu isipokua kwa Mamlaka zinazohusika ikiwemo mahakama n.kWakamtafute kwani wao ndio waliomkabidhi form, ana akili lakini huyo? Ina maana bank akienda mtu kuhushi cheque yangu benki watasema hawahusiki wao? Kwenye video huyu mtu hayumo? Hajatowa National ID kama kitambulisho akafuatiliwa kwenye mawssillianonl yake na kupatikana?