Asijaribu hilo, usimshawishi hivyo akaingiza nchi kwenye matatizo kwa utashi wake yeye. Wananchi waamue wenyewe periodmie namshangaa Ngosha, kama hawezi siasa za ushindani anashindwa nn kufuta mfumo wa vyama vingi nchini? Mamlaka yote anayo sasa anakwama wapi??.
Lakini umeilewa!, Maana Kama usingekuwa umeilewa usinge komenti.Eti mtu aseme hii komenti ni ya mtu TIMAMU.
Huyo mgombea wa chadema mbona hajui hata kujieleza? Hizo kampeni atafanyaje?
Binafsi sioni kama kuna ugumu wowote hapo. Ningemshauri na kumsihi msimamizi atoe form nyingine mana kimsingi yeye ndio katapeliwa.
Then kama wagombea wote wawili watarudisha form si Tume itachambua hizo form za maombi na kumtoa mgombea aliyefanya utapeli?
Kukataa kutoa form nyingine Kwa wagombea halali ni dosari isiyo ya lazima mana kama nchi mzima wakifanya uhuni kama huo si itakuwa ni chanzo cha vurugu?
Pia ushauri wa Mwanasheria unapotosha. Anaonyesha kama vile mgombea akirudisha form automatically anakuwa mgombea rasmi. Hiyo ni form ya maombi ya kuteuliwa/kupitishwa na Tume kuwa Mgombea rasmi, na kwenye maombi kuna kukubaliwa au kukataliwa/kuwekewa pingamizi. So hapo hakuna ugumu wowote, Mkurugenzi anatengeneza tension isiyo ya lazima.
Kwann form iwe mojamoja? Kwan zinashushwa toka Mbinguni?
Mkuu kwa mujibu wa sheria za uchaguzi ni kwamba Autamatically DED anakuwa mfanyakazi wa NEC(Msimamizi wa Uchaguzi) kwahiyo hapo anawakilisha NEC ndio maana anatoa fomu na anatoa maelekezo ya process zote za mgombea kufanya kwa mujibu wa sheria/taratibu/kanununi za NEC.
CCM ndiyo wanapika Sumu ya machafukoYakitokea machafuko nchini hawa ndio wa kwanza ku deal nao
Amina na ahsante Kwa baraka John Fedha.Watu wenye maono kama yako ni wachache sana Mkuu,Ubarikiwe sana.
Well!, let's assume that form imefichwa makusudi, Ila tukisema kwamba aliyeichukua ni wa CCM hii haina mantiki hata kidogo.Unajuwaje kama ametoka CHADEMA na viongozi wote wanasema tarehe hiyo majina ya wagombea yalikuwa hayajaidhinishwa na nikweli kwenye orodha ya awali hakukuwa na mgombea wa Kibamba. Kwani wewe umeona huyo Mkurugenzi amaonesha barua yoyote hapo. Kwanza ukiangalia kwa makini hapo hakuna fomu iliyotolewa ili ameamuwa kuandika tu kwenye hiyo dispatch yake jina la kubuni tu hakuna mtu amechukuwa fomu hapo. Hata kama ingekuwa imechukuliwa ni jukumu la Mkurugenzi kuitafuta hiyo fomu maana yeye ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha fomu anapewa mtu sahihi. Na kama mtu aliyepewa siyo sahihi anasemaje kuwa kutakuwa migongano kwenye kampeni Kwani kuchukuwa fomu ndiyo kuteuliwa mbona hana akili kabisa. Yeye ndiye anayefanya uteuzi sasa atateuwaje mtu ambaye ameshambiwa hakupitishwa na chama.
Mama mchawi hakutoa form kwa yeyote bali katengeneza kisingizio feki apate kuwakomoa chadema wakidai haki adai wamemfanyia vurugu apate kisingizio cha kuwabambikia kesi.Unajuwaje kama ametoka CHADEMA na viongozi wote wanasema tarehe hiyo majina ya wagombea yalikuwa hayajaidhinishwa na nikweli kwenye orodha ya awali hakukuwa na mgombea wa Kibamba. Kwani wewe umeona huyo Mkurugenzi amaonesha barua yoyote hapo. Kwanza ukiangalia kwa makini hapo hakuna fomu iliyotolewa ili ameamuwa kuandika tu kwenye hiyo dispatch yake jina la kubuni tu hakuna mtu amechukuwa fomu hapo. Hata kama ingekuwa imechukuliwa ni jukumu la Mkurugenzi kuitafuta hiyo fomu maana yeye ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha fomu anapewa mtu sahihi. Na kama mtu aliyepewa siyo sahihi anasemaje kuwa kutakuwa migongano kwenye kampeni Kwani kuchukuwa fomu ndiyo kuteuliwa mbona hana akili kabisa. Yeye ndiye anayefanya uteuzi sasa atateuwaje mtu ambaye ameshambiwa hakupitishwa na chama.
Hakuna form imetoka pale bali yule mama mwenye roho mbaya katengeneza kisingizio feki cha kuwakomoa chademaWell!, let's assume that form imefichwa makusudi, Ila tukisema kwamba aliyeichukua ni wa CCM hii haina mantiki hata kidogo.
Upande mwingine because hatujui kuwa hiyo form imefichwa au imechukuliwa na mtu wa chadema au ccm. Ila kama ikibainika imechukuliwa na mtu wa chadema kiasi fulani itakuwa imeathiri na itakuwa imeexpose some weakness ndani ya chama (nimetumia neno kama so don't get me wrong).
Sawa mkuu nimekupata ila hapo naona Chadema wakitulia vizuri pasipo paniki huyo DED atatoa fomu nyingine maana CHADEMA hakuna kosa lolote walilofanya ,DED ndio kafanya kosa kutoa form pasipo kuwa na umakini.Nakubaliana na wewe kabisa, lakini DED sio final say, lazima kuna ngazi ya juu ya huyo DED. Hapo ndio hoja yangu ilipo.
Too low. Hivi unafikiri ni lazima awe ametoka CDM. Open your mindLakini upande mwingine hao chadema wanajichimbia kaburi haiwezekani mtu ambaye hakuchaguliwa na chama aende akachukue form implications hapa ni uchu wa madaraka, kutokuridhika lakini pia ndani ya chama inaonekana kabisa hakuna maamuzi sahihi yaliyofanyika wakati wa kuchagua wapeperusha bendera katika Jimbo la kibamba. Mbona hii kitu haitokei upande wa CCM, chadema itabidi wajiangalie Sana. October is around the corner ohooo!.
Hakuna form imetoka kwa huyo mama shetani bali katengeneza kisingizio feki kuwa alitoa form akiamini chadema wataidai form kwa nguvu apate kisingizio cha kuwabambikia kesi kama kawaida yaoKabisa maana huyo muhuni kaifanyia utapeli NEC na sio CDM ,ofisi ya DED ilitakiwa ijiridhishe kwa mtu wanayempa form kama ni mtu sahihi aliyeteuliwa na chama husika,Ukitaka kujua ofisi ya DED wamefanya uhuni ajitokeze mtu yeyote aseme ameteuliwa na CCM kugombea ubunge tuone kama watafanya UTOPOLO wa kumpa kiholela kama walivyofanya kwa CDM.
Una akili sana ndugu. CHADEMA Wamebaki kulialia tu kwenye mitandao. Kama mtu mnafahamu familia yake ilipo huko kulialia kwa niniMbinu za kijima zimeanza kutumika? Hana familia huyo kiongozi?
inashangaza mtukufu na CCM wanadai wamenunua Ndege wamejenga Reli bwawa la umeme wameleta maendeleo ikiwemo kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, wametengeneza mbuga mpya chato lakini bado hawajiamini kwenye sanduku la kura wanaendelea kuwatumia wakurugenziccm kuwahujumu chadema .kuna mambo yanaudhi sana wallahi
Mkurugenziccm hakutoa form kwa yeyote yule mama shetani ni muongo sana, katengeneza kisingizio feki hakuna form imetoka pale kwake kaamua kujipendekeza kwa mtukufu kwa njia haramuMimi Ni shabiki wa ccm nasemaje!!! hili hapana kwa kweli wapewe fomu mpya tutaonana kwenye sanduku la Kura.
kwa ufupi aliyetapeliwa hapo Ni mkurugenzi.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app