Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

mie namshangaa Ngosha, kama hawezi siasa za ushindani anashindwa nn kufuta mfumo wa vyama vingi nchini? Mamlaka yote anayo sasa anakwama wapi??.
Asijaribu hilo, usimshawishi hivyo akaingiza nchi kwenye matatizo kwa utashi wake yeye. Wananchi waamue wenyewe period
 
Huyo mgombea wa chadema mbona hajui hata kujieleza? Hizo kampeni atafanyaje?

Mkuu chunguza simu yako au computer itakuwa na tatizo ,Jamaa yupo vizuri sana kama unavyomuona anajaribu kutuliza munkari wake huku akiuliza maswali ya msingi mpaka mama anapaniki.
 
Binafsi sioni kama kuna ugumu wowote hapo. Ningemshauri na kumsihi msimamizi atoe form nyingine mana kimsingi yeye ndio katapeliwa.

Then kama wagombea wote wawili watarudisha form si Tume itachambua hizo form za maombi na kumtoa mgombea aliyefanya utapeli?

Kukataa kutoa form nyingine Kwa wagombea halali ni dosari isiyo ya lazima mana kama nchi mzima wakifanya uhuni kama huo si itakuwa ni chanzo cha vurugu?

Pia ushauri wa Mwanasheria unapotosha. Anaonyesha kama vile mgombea akirudisha form automatically anakuwa mgombea rasmi. Hiyo ni form ya maombi ya kuteuliwa/kupitishwa na Tume kuwa Mgombea rasmi, na kwenye maombi kuna kukubaliwa au kukataliwa/kuwekewa pingamizi. So hapo hakuna ugumu wowote, Mkurugenzi anatengeneza tension isiyo ya lazima.

Kwann form iwe mojamoja? Kwan zinashushwa toka Mbinguni?

Watu wenye maono kama yako ni wachache sana Mkuu,Ubarikiwe sana.
 
Mkuu kwa mujibu wa sheria za uchaguzi ni kwamba Autamatically DED anakuwa mfanyakazi wa NEC(Msimamizi wa Uchaguzi) kwahiyo hapo anawakilisha NEC ndio maana anatoa fomu na anatoa maelekezo ya process zote za mgombea kufanya kwa mujibu wa sheria/taratibu/kanununi za NEC.

Nakubaliana na wewe kabisa, lakini DED sio final say, lazima kuna ngazi ya juu ya huyo DED. Hapo ndio hoja yangu ilipo.
 
Unajuwaje kama ametoka CHADEMA na viongozi wote wanasema tarehe hiyo majina ya wagombea yalikuwa hayajaidhinishwa na nikweli kwenye orodha ya awali hakukuwa na mgombea wa Kibamba. Kwani wewe umeona huyo Mkurugenzi amaonesha barua yoyote hapo. Kwanza ukiangalia kwa makini hapo hakuna fomu iliyotolewa ili ameamuwa kuandika tu kwenye hiyo dispatch yake jina la kubuni tu hakuna mtu amechukuwa fomu hapo. Hata kama ingekuwa imechukuliwa ni jukumu la Mkurugenzi kuitafuta hiyo fomu maana yeye ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha fomu anapewa mtu sahihi. Na kama mtu aliyepewa siyo sahihi anasemaje kuwa kutakuwa migongano kwenye kampeni Kwani kuchukuwa fomu ndiyo kuteuliwa mbona hana akili kabisa. Yeye ndiye anayefanya uteuzi sasa atateuwaje mtu ambaye ameshambiwa hakupitishwa na chama.
Well!, let's assume that form imefichwa makusudi, Ila tukisema kwamba aliyeichukua ni wa CCM hii haina mantiki hata kidogo.

Upande mwingine because hatujui kuwa hiyo form imefichwa au imechukuliwa na mtu wa chadema au ccm. Ila kama ikibainika imechukuliwa na mtu wa chadema kiasi fulani itakuwa imeathiri na itakuwa imeexpose some weakness ndani ya chama (nimetumia neno kama so don't get me wrong).
 
Mama mchawi hakutoa form kwa yeyote bali katengeneza kisingizio feki apate kuwakomoa chadema wakidai haki adai wamemfanyia vurugu apate kisingizio cha kuwabambikia kesi.
 
Well!, let's assume that form imefichwa makusudi, Ila tukisema kwamba aliyeichukua ni wa CCM hii haina mantiki hata kidogo.

Upande mwingine because hatujui kuwa hiyo form imefichwa au imechukuliwa na mtu wa chadema au ccm. Ila kama ikibainika imechukuliwa na mtu wa chadema kiasi fulani itakuwa imeathiri na itakuwa imeexpose some weakness ndani ya chama (nimetumia neno kama so don't get me wrong).
Hakuna form imetoka pale bali yule mama mwenye roho mbaya katengeneza kisingizio feki cha kuwakomoa chadema
 
Nakubaliana na wewe kabisa, lakini DED sio final say, lazima kuna ngazi ya juu ya huyo DED. Hapo ndio hoja yangu ilipo.
Sawa mkuu nimekupata ila hapo naona Chadema wakitulia vizuri pasipo paniki huyo DED atatoa fomu nyingine maana CHADEMA hakuna kosa lolote walilofanya ,DED ndio kafanya kosa kutoa form pasipo kuwa na umakini.
 
Lakini upande mwingine hao chadema wanajichimbia kaburi haiwezekani mtu ambaye hakuchaguliwa na chama aende akachukue form implications hapa ni uchu wa madaraka, kutokuridhika lakini pia ndani ya chama inaonekana kabisa hakuna maamuzi sahihi yaliyofanyika wakati wa kuchagua wapeperusha bendera katika Jimbo la kibamba. Mbona hii kitu haitokei upande wa CCM, chadema itabidi wajiangalie Sana. October is around the corner ohooo!.
Too low. Hivi unafikiri ni lazima awe ametoka CDM. Open your mind
 
Kabisa maana huyo muhuni kaifanyia utapeli NEC na sio CDM ,ofisi ya DED ilitakiwa ijiridhishe kwa mtu wanayempa form kama ni mtu sahihi aliyeteuliwa na chama husika,Ukitaka kujua ofisi ya DED wamefanya uhuni ajitokeze mtu yeyote aseme ameteuliwa na CCM kugombea ubunge tuone kama watafanya UTOPOLO wa kumpa kiholela kama walivyofanya kwa CDM.
Hakuna form imetoka kwa huyo mama shetani bali katengeneza kisingizio feki kuwa alitoa form akiamini chadema wataidai form kwa nguvu apate kisingizio cha kuwabambikia kesi kama kawaida yao
 
Huyo mama lazima atizamwe kwa jicho la tatu kwani lengo lake kuu ni kuwakomoa chadema na pia kuwabambikia kesi
 
Mimi Ni shabiki wa ccm nasemaje!!! hili hapana kwa kweli wapewe fomu mpya tutaonana kwenye sanduku la Kura.

kwa ufupi aliyetapeliwa hapo Ni mkurugenzi.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Mbinu za kijima zimeanza kutumika? Hana familia huyo kiongozi?
Una akili sana ndugu. CHADEMA Wamebaki kulialia tu kwenye mitandao. Kama mtu mnafahamu familia yake ilipo huko kulialia kwa nini
 
kuna mambo yanaudhi sana wallahi
inashangaza mtukufu na CCM wanadai wamenunua Ndege wamejenga Reli bwawa la umeme wameleta maendeleo ikiwemo kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, wametengeneza mbuga mpya chato lakini bado hawajiamini kwenye sanduku la kura wanaendelea kuwatumia wakurugenziccm kuwahujumu chadema .
 
Mimi Ni shabiki wa ccm nasemaje!!! hili hapana kwa kweli wapewe fomu mpya tutaonana kwenye sanduku la Kura.

kwa ufupi aliyetapeliwa hapo Ni mkurugenzi.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Mkurugenziccm hakutoa form kwa yeyote yule mama shetani ni muongo sana, katengeneza kisingizio feki hakuna form imetoka pale kwake kaamua kujipendekeza kwa mtukufu kwa njia haramu
 
Back
Top Bottom