Uchaguzi 2020 Msimamizi wa Uchaguzi awanyima fomu CHADEMA Jimbo la Kibamba, adai fomu yao imeshachukuliwa

SGR na Mindege lakini bado wanaona haitoshi mpaka wafanye figisu kwa wapinzani.
CCM wamegundua kuwa wananchi wanajua kwenye miradi yote mikubwa kuna ufisadi mkubwa ndiyo maana hawaikubali CCM kupitia hiyo miradi yote
 
Halafu wanasaccos wanasema hawa wahuni tuwape nchi watuongoze kama huko kwao kila mtu ni kambale sasa tukiwapa nchi kweli nchi itatawalika?? Urais watausikia na kuona kwenye TV na Radio!!
 
Mkienda kuchukua form nendeni na viberiti, wakileta alflelaulayla manawageuza bbq
 
Una akili sana ndugu. CHADEMA Wamebaki kulialia tu kwenye mitandao. Kama mtu mnafahamu familia yake ilipo huko kulialia kwa nini
CCM ndiyo mnalia lia mitandaoni kwa kutengeneza ujinga kisha mtake chadema wakae kimya? Wewe na huyo mama shetani mnafanya vitendo haramu kisha unataka chadema wakae kimya?
 
Hajawahi kutoa form hata moja iweje useme form mbili? au alikupa wewe hiyo form ?
Kwani hapa tunajadili nn? Mkurugenzi si amesema ameshatoa fomu kwa CHADEMA? Sasa anawezaje kutoa fomu tena.
 
Amini usiamini hapa huyo mama siyo mjinga kuna Jambo hapo na sidhani me sidhani hata Kama ni ukandamizaji wa upinzani but it can't be like this! Chadema watakuwa wamezungukana wenyewe kwa wenyewe.
Mama ni mjinga sana hajatoa form kokote kaamua kuwakomoa chadema kwa lengo la kujipendekeza kwa mtukufu apate uteuzi kwenye vile viti 10 vya mtukufu Rais
 
Mkuu kweli uwezo wako wa kufikiri umeishia hapa?
 
mie namshangaa Ngosha, kama hawezi siasa za ushindani anashindwa nn kufuta mfumo wa vyama vingi nchini? Mamlaka yote anayo sasa anakwama wapi??.
Chaguzi zote ambazo Ngosha Magu alishindana na wengine aliishia kuangukia pua, baada ya kuwa mbunge 1995 , chaguzi zioizofuata alihakikisha kila ukifika wakati wa uchaguzi anabaki peke yake.

Alikuwa anafanya nini ili abaki peke yake ilo analijua yeye.
 
Kwani hapa tunajadili nn? Mkurugenzi si amesema ameshatoa fomu kwa CHADEMA? Sasa anawezaje kutoa fomu tena.
Form hakutoa katengeneza story ya uongo kuwa alitoa form kwa mtu Asiyejulikana ni aina fulani ya kisingizio cha kishamba sana, Tatizo la wanaccm ni kukariri zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM hadi kujitoa fahamu zote
 
nimekupata chief Ila naomba uniombe radhi kwa kuniona Mimi Ni mmoja Kati ya Wana Sacco's.

nooo.[emoji119][emoji119][emoji119].

siwezi kuwa mpanua vidole na matako ili kuwadekia barabara hao wajinga badala ya kupanua akiri.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Umeambiwa aliyechukua fomu ni mamluki wa ccm na kwavile nec ni tawi la ccm ndio maana akapewa, kwa taarifa yako huyo aliyechukua fomu hakugombea ngazi ya chama, inshort hafahamiki huko chadema ila anafahamika na tume tu
 
Wapinzani ni vilaza sana, yani mother kawazidi hoja na akili... Yaani hata kama kuna ujanja chadema hawawezi kuukwepa hapo.

Yaani kama wanataka namba ya simu kwa msimamizi mbona hawakumuomba ya Boni
Kwa jinsi unavyoshadadia , inaoneonekana wazi hata wewe akili zako sio timamu.
 
Wanasaccos nyinyi uelewa wenu ni mdogo sana wa kila kitu! Ndiyo maana Faru John anawazungusha atakavyo.
Wangekuwa wanasacos na uelewa Mdogo wasingekuwa wanabambikiwa kesi kupigwa risasi kuwahujumu kuwadhoofisha kwa kila hali wangeacha wajifie wenyewe, chadema wana uelewa mkubwa kuliko CCM ndiyo maana wamegundua mama shetani hakutoa form kokote bali kaamua kuwahadaa chadema kihuni tu
 
Mama ni mjinga sana hajatoa form kokote kaamua kuwakomoa chadema kwa lengo la kujipendekeza kwa mtukufu apate uteuzi kwenye vile viti 10 vya mtukufu Rais
Ohh! that's not a point mkuu! kuna sehemu nyingine ya kujipendekeza lakini siyo kwenye delicate issue Kama hii bhana!

And yet you and I we have got no proof if that mama is guilty or not.
 
Hahahahaha.. Pole Boss na Samahani sana!!
 
Chadema wanataka wasimamishe wagombea wawili jimbo moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…