LGE2024 Msimamizi Wa Uchaguzi Katavi: Msifungue vituo kabla ya saa mbili, saa kumi askari atasimama nyuma ya mtu wa mwisho.

LGE2024 Msimamizi Wa Uchaguzi Katavi: Msifungue vituo kabla ya saa mbili, saa kumi askari atasimama nyuma ya mtu wa mwisho.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya vituo halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia muda wa kufungua na kufunga vituo vya kupigia kura ili kuepusha vurugu zinazoweza kutokea katika vituo hivyo.

Akizungumza mara baada ya kufanga mafunzo hayo Msimamizi wa uchaguzi halmashauri ya Nsimbo Stephano Kaliwa amewataka washiriki hao kuzingatia kanuni na sheria walizoelekezwa ili kufanya uchaguzi uwe wa amani na haki

Unaweza kumsikiliza vizuri hapa!

 
Back
Top Bottom