ana ukali gani kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ana mdomo na makelle tu acha upotoshaji gentleman πJamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania.
Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais mtoe kwanza Mbowe ndipo tuendeleee na maridhiano.
Wapiga kura ndani ya chadema mpeni kura za ndio lisu kwa ajili ya masilai mapana ya taifa letu pendwa la Tanzania. Haki HUINUA TAIFA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI. lisu ni mpango wa Mungu.nawatakia sikukuu njema Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Gentleman,Gentleman huyu ni hazina ya taifa tuache uccm na umbowe
Ninachokumbuka, wakati Mbowe anatoka, Lissu alikuwa yupo uhamishoni. Labda kama msimamo huo aliutolea akiwa hukoJamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania.
Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais mtoe kwanza Mbowe ndipo tuendeleee na maridhiano.
Wapiga kura ndani ya chadema mpeni kura za ndio lisu kwa ajili ya masilai mapana ya taifa letu pendwa la Tanzania. Haki HUINUA TAIFA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI. lisu ni mpango wa Mungu.nawatakia sikukuu njema Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
mnapeana moyo na kulishana matango pori kirafiki na kindugu sana sana aise dah π€£Kabisa mkuu, ni mtu mbumbavu na njinga anae mpuuza Lisu, huyu ni joshua
Labda kibaraka Kwa mama yako.ana ukali gani kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ana mdomo na makelle tu acha upotoshaji gentleman π
1. Sipati picha maisha ya wana chadema baada ya uchaguziJamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania.
Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais mtoe kwanza Mbowe ndipo tuendeleee na maridhiano.
Wapiga kura ndani ya chadema mpeni kura za ndio lisu kwa ajili ya masilai mapana ya taifa letu pendwa la Tanzania. Haki HUINUA TAIFA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI. lisu ni mpango wa Mungu.nawatakia sikukuu njema Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Friends, ladies and gentlemenGentleman ala unajizima tu data , kwa sbb ya masilai Yako, lakini moyo wako unajua kuwa lisu ni mkombozi
Na huyu big potato mbona nae anashinda kila siku kwa wazunguFriends, ladies and gentlemen
naeleza haya kwa wadau, tena kwa ukweli na uwazi bila kificho wala kupepesa macho,
kwamba,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anajaribu kujipenyeza kwenye siasa za Tanzania kwa maslahi ya mabwenyenye wanaomfadhili na si vinginevyo π
Gentleman,Na huyu big potato mbona nae anashinda kila siku kwa wazungu
Wewe Lissu alikufanya nini?Gentleman,
Labda ni hazina ya mabwenyenye ya magharibi yanayomfadhili na wenye midomo wachache humu nchini π
Mi naona huyu zero brain mbowe aendelee kuongoza kwa utajiri na sio chama, chama tunaitaji watu makini kama TUNDU ANTIPAS LISSU kwa mustakabali wa Tanganyika tuitakayo.Jamani Lisu ni hazina ya taifa,