Msimamo mkali wa Lisu ndio uliomfanya Mbowe atoke gerezani

Msimamo mkali wa Lisu ndio uliomfanya Mbowe atoke gerezani

ana ukali gani kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ana mdomo na makelle tu acha upotoshaji gentleman 🐒
Wewe BOYA ,malizeni kwanza KUCHAGUA makamu Mwenyekiti ndio uje kujadili umwenyekiti mtarajiwa wa CHADEMA
 
maskini dah!

ni kazi sana kibaraka yeyote nchini kupata nafasi ya uongozi hata wa chama cha siasa tu gentleman :pedroP:
Gentleman wewe unajua ukweli sema how's unajizima data, ukisema ukweli unakuwa huru
 
Hayo mambo yanahusiana vipi na ulaji rushwa wa sultan Mbowe, kupitia Abdul na Mama yake?
Jamaa ýako na sheria zake hana uthibitisho zaidi ya vijembe vijembe vya kwenye kitchen part - amejishushia hadhi sana.

Kama mkaguzi mkuu wa hesabu za umma anatoa hati safi nyie ni kina nani kama si majungu majungu yasiyo na msingi.
 
Kwenye hii si kweli , kwenye ile kesi Lissu alikuwa bado kwanza nje ya nchi na hakuwa mzungumzaji sana wa yaliyokuwa yakiendelea.

Ile kesi ilikuwa ya kubumba na ilikuwa na matundu kibao kuanzia ushahidi hadi mashahidi wenyewe.

Kesi ile ingeendelea ingeivua nguo zaidi serikali ya CCM maana hadi kuna mashahidi waliamua kuingia mitini kama Kingai na Ziro.

Na mbaya zaidi ni zile update zilizokuwa zikiruka Twitter/X na humu JF zile zilikuwa ni mwiba maana CCM na uwazi ni maji na mafuta


Na siku tukipata tume huru tutakuwa na live updates za uchaguzi kama ule wa Marekani unaona kila kitu kwa muda kinavyojiri huu ni mwiba kwa CCM hawapendi badala yake wanapenda vya gizani.
 
Hayo ni malidhiano ni kuwa chawa, watu wanatekwa, wanakufa,alafu unaita malidhiano, huo ni usaliti kwa taifa
Malidhiano ndiyo nini? We pumbavu nenda kwanza kasome MEMKWA ndiyo uje humu
 
Jamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania.
Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais mtoe kwanza Mbowe ndipo tuendeleee na maridhiano.
Wapiga kura ndani ya chadema mpeni kura za ndio lisu kwa ajili ya masilai mapana ya taifa letu pendwa la Tanzania. Haki HUINUA TAIFA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI. lisu ni mpango wa Mungu.nawatakia sikukuu njema Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
The Lips of Righteousness( TL) teach may but fools die for want of Wisdom.

Lissu is the Lip from Above Earth.
 
Ile kesi ilikuwa ya kubumba na ilikuwa na matundu kibao kuanzia ushahidi hadi mashahidi wenyewe.
What if mwenyekiti alikuwa miongoni mwa waliofabricate?
The End Justifies the meaning.

Baada ya mwaka huu ndio tumeanza kucheck what was that Case reflecting.

Ile case kwa mujibu wa taarifa za Mahakama ilianza seke seke lake tar 20 May 2020.

Huu ulikuwa Mwaka wa Uchaguzi chini ya Tyran regime.

Kwa macho yangu ile kesi ilisubiri mtu mmoja kuunganishwa kwenye ugaidi ahead of General Election.
Huenda Mwenyekiti alikuwa na maslahi nayo.
 
What is Mbowe alikuwa miongoni mwa waliofabricate?
The End Justifies the meaning.

Baada ya mwaka huu ndio tumeanza kucheck what was that Case reflecting.

Ile case kwa mujibu wa taarifa za Mahakama ilianza seke seke lake tar 20 May 2020.

Huu ulikuwa Mwaka wa Uchaguzi chini ya Tyran regime.

Kwa macho yangu ile kesi ilisubiri mtu mmoja kuunganishwa kwenye ugaidi ahead of General Election.
Huenda Mwenyekiti alikuwa na maslahi nayo.
Ilikuwa kiin macho
 
Msimamo mkali wa Mbowe ndio uliomfanya Lissu akatibiwe Nairobi Hospital
 
Back
Top Bottom