Msimamo mkali wa Lisu ndio uliomfanya Mbowe atoke gerezani

Upo sahihi mkuu, huyu jamaa ni inborn qualities, hata ungesoma political science,mpaka phd hawezi ukawa kama lisu, tunamaprof wangapi Tanzania BAdo ni zero kwenye mambo ya harakati, labda watanzania tuache tabia ya "unafiki, " hiyo ndo muhimu kwa mtazamo wangu. Elimu elimu ni Muhimu juu ya kuondoa unafiki na uoga mkuu.
Maprof wanageuka Chawa mithili ya akina Leprofesoer wa buguruni na wengine waliolamba sajili mpya mpya za uchawa.
 
Gentleman,
hapa sio suala la nani anashinda wapi,

Muhimu sana ni kudhibiti ukoloni mambo leo Tanzania kwa mgongo wa huyo kibaraka wao eti anagombea uenyekiti wa chadema Taifa dah 🤣
Ccm imejaa mapumbavu kichwani empty hamjielewi kuwa mamayenu kila siku anaomba misaada kutoka Kwa mabwana zeni wakoloni yani omba omba na mafisadi.
 
Maprof wanageuka Chawa mithili ya akina Leprofesoer wa buguruni na wengine waliolamba sajili mpya mpya za uchawa.
Watu kama lisu ni chache sana duniani, kama aliweza kumchalenge NYERERE yeye akiwa jkt, fikilia mtu huyu ni simba kiasi gani
 
Ccm imejaa mapumbavu kichwani empty hamjielewi kuwa mamayenu kila siku anaomba misaada kutoka Kwa mabwana zeni wakoloni yani omba omba na mafisadi.
Kama ni mla Rushwa akili huwa zinahamia tumboni
 
Ccm imejaa mapumbavu kichwani empty hamjielewi kuwa mamayenu kila siku anaomba misaada kutoka Kwa mabwana zeni wakoloni yani omba omba na mafisadi.
punguza makasiriko basi muerevu asie mpumbavu kichwani empty :pedroP:

ukweli ndivyo ulivyo
 
Ndivyo alivyokudanganya hivyo?.Yeye mwenyewe alishindwa kujisaidia akakimbilia ubalozi wa ujerumani.Tutumie fikra zetu kwa usahihi kwakila tunachokisikia.
 
Sasa ulitaka afanyaje kama mafisadi na walarushwa mnataka kumua
 
Back
Top Bottom