ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ni Hazina ya watu wajinga kama weweGentleman huyu ni hazina ya taifa tuache uccm na umbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Hazina ya watu wajinga kama weweGentleman huyu ni hazina ya taifa tuache uccm na umbowe
Ni Hazina ya watu wajingaGentleman huyu ni hazina ya taifa tuache uccm na umbowe
Hao hawajawahi kuwa wajinga bali wajanja .Wewe na maskini wenzio ndio wajinga ndio nyie mnadhani mdomo utawalisha 😂😂Wajinga ni wale wala rushwa na mafisadi,
MNajivika majani ya mbogaUna maana gani?
Wanambogamboga mnalishwa na tumbo zenu sio au midomo?Hao hawajawahi kuwa wajinga bali wajanja .Wewe na maskini wenzio ndio wajinga ndio nyie mnadhani mdomo utawalisha 😂😂
Mkuu,Sure lisu aishi miaka mingi
Sio kweli. Kesi ya kubambika ya ugaidi dhidi ya mh Mbowe, serekali iliamua kuiondoa baada ya kujua wanalwenda kushindwa vibaya kwa ushahidi uliowakilishwa na upande wa serekali.Jamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania.
Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais mtoe kwanza Mbowe ndipo tuendeleee na maridhiano.
Wapiga kura ndani ya chadema mpeni kura za ndio lisu kwa ajili ya masilai mapana ya taifa letu pendwa la Tanzania. Haki HUINUA TAIFA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI. lisu ni mpango wa Mungu.nawatakia sikukuu njema Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Kibaraka kuliko mamayenu kibaraka wa warabu wa dpwod.ana ukali gani kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ana mdomo na makelle tu acha upotoshaji gentleman 🐒
Kibaraka kuliko mamayenu anayezurura kama mbwa Koko Hadi Kwa warabu wa dpwodFriends, ladies and gentlemen
naeleza haya kwa wadau, tena kwa ukweli na uwazi bila kificho wala kupepesa macho,
kwamba,
kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi anajaribu kujipenyeza kwenye siasa za Tanzania kwa maslahi ya mabwenyenye wanaomfadhili na si vinginevyo 🐒
Lissu hawezi kumshinda mh Mbowe by any means. Lissu ajiandae kuwa cammander mpiganaji asiye na cheo lakini aongoze bataliani.1. Sipati picha maisha ya wana chadema baada ya uchaguzi
2. Mbowe akishinda kambi ya Lissu haitarudhika
3. Lissu akishinda nako makundi ya Mbowe yatamsumbua
Tunapiga kazi sio kuchingeaWanambogamboga mnalishwa na tumbo zenu sio au midomo?
Upo sahihi mkuu, huyu jamaa ni inborn qualities, hata ungesoma political science,mpaka phd hawezi ukawa kama lisu, tunamaprof wangapi Tanzania BAdo ni zero kwenye mambo ya harakati, labda watanzania tuache tabia ya "unafiki, " hiyo ndo muhimu kwa mtazamo wangu. Elimu elimu ni Muhimu juu ya kuondoa unafiki na uoga mkuu.Mkuu,
Zaidi ya Lissu kuishi miaka mingi, nchi inatakiwa kujenga taasisi, inatakiwa kuelimisha watu wengi wawe kama Lissu na zaidi,
Napenda kazi anayofanya Lissu, lakini naona pia tatizo la Watanzania kumtegemea sana mtu mmoja na kumuwekea matumaini sana huyo ntu.
Kwa teknolojia ya sasa na miaka mingi ijayo, kila mtu atafariki. Inabidi tujenge taasisi zifanye maendeleo endelevu na tuachane na tabia za ku lionize na ku deify watu.
Uzuri ni kwamba Lissu mwenyewe anaelewa hili jambo na kashalizungumzia mara kadhaa. Hii itamsaidia ajikinge dhidi ya kujenga a cult of personality.
Juzi kuna mtu (Baba Mary) alikuwa anamuuliza swali Lissu akawa anampamba kwa kusema "Lissu atapita, Lissu ni mwenyekiti mtarajiwa", kimsingi yule jamaa alikuwa chawa wa Lissu anampigia Lissu jaramba.
Lissu alivyojibu kimsingi alimuambia kwamba hatujavuka huo mto, usishangilie ushindi, kuna kazi kubwa mbele yetu. Lissu alionesha uwezo mkubwa wa kubaki kwenye reli na kukataa sifa za kichawa huku akijikita kwenye uchambuzi wa kimantiki.
Ni wanasiasa wachache sana wanaweza kufanya hivyo.
Hilo ni bwabwa la kina mwigulu nchemba yule mrudia shule ya msingi Kwa jina fake.Wewe Lissu alikufanya nini?
Sitashangaa kwani mwamba na mbogamboga waenguzi na wasimamizi wasaidizi ni pete na kidole .TL najua amesha jiandaa kisaikolojia kwa vitimbi vyote tarajiwa.Lissu hawezi kumshinda mh Mbowe by any means. Lissu ajiandae kuwa cammander mpiganaji asiye na cheo lakini aongoze bataliani.
Atamnyoosha nani wakati hana kinyosheo? Ikitokea bahati mbaya anakuwa Rais hawezi toboa kama wenzieHao ni dead walker, nafsi zao zikufa mda, ngoja lisu wanyooshe