ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 3,971
- 4,440
Kibaraka hizo ni propaganda za hapo lumumbahakuna haja yakushindana na kibaraka gentleman,
tafadhali sana![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibaraka hizo ni propaganda za hapo lumumbahakuna haja yakushindana na kibaraka gentleman,
tafadhali sana![]()
si ndiyo huyo kibaraka anatuletea ukuwadi wa hao mabwenyenye nchini kupitia chademaHizi slogans mlizokuwa mkiimba kwa miaka 60 wakati ninyi ndio mnaifasadi hii Nchi.

Lissu ndiye aliyeleta wanunuzi wa Bandari na Misitu ya Tanzania?si ndiyo huyo kibaraka anatuletea ukuwadi wa hao mabwenyenye nchini kupitia chadema![]()
eti anataka kuiuza chadema kwa mabwenyenye ya magharibiLissu ndiye aliyeleta wanunuzi wa Bandari na Misitu ya Tanzania?
Au mgao wa Pikipiki za Mama ndio unaokuzuzua?

Lissu amezaliwa kushinda, hajawahi shindwa vita zote alizopigana.Lisu hashindwi ,ila atashinda
ni mwehu kama lisu huyu mtoa mada.ana ukali gani kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ana mdomo na makelle tu acha upotoshaji gentleman [emoji205]
Umeishiwa na hoja umebakia kuposti uchawa tu.eti anataka kuiuza chadema kwa mabwenyenye ya magharibi
jamaa ana dharau sana kwa wanachadema kwa tamaa na mdomo wake![]()
Mbona unasahau Mbowe alivyohangaika huyo Lissu alivyotwangwa risasi?Jamani Lisu ni hazina ya taifa,
Ni Tunu ya taifa, Lisu ndio mtu aliejitoa kwa ajili ya kupigania haki ya kweli kwa Tanzania. Amejotoa kimwil,kiroho,kiakili kwa ajili ya ukombozi wa watanzania.
Bila msimamo mkali wa Lisu Mbowe angekuwa BAdo yupo gerezani mpaka leo, Lisu ndio alimwambia rais mtoe kwanza Mbowe ndipo tuendeleee na maridhiano.
Wapiga kura ndani ya chadema mpeni kura za ndio lisu kwa ajili ya masilai mapana ya taifa letu pendwa la Tanzania. Haki HUINUA TAIFA. RUSHWA NI ADUI WA HAKI. lisu ni mpango wa Mungu.nawatakia sikukuu njema Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Huyu atakataa kama vile amekuw programmed kukataa,naweza ita roboti ya kukodi ya mbogamboga.ana ukali gani kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ana mdomo na makelle tu acha upotoshaji gentleman 🐒
Maisha kusaidiana na sii kusalitiana,kwani ni ipi imani yenu hapo mboga mboga,ni kutoachiana maji ya kunywa mezani tu au mnayo zaidi?Mbona unasahau Mbowe alivyohangaika huyo Lissu alivyotwangwa risasi?
Mboga mboga ndio nini kamanda?Maisha kusaidiana na sii kusalitiana,kwani ni ipi imani yenu hapo mboga mboga,ni kutoachiana maji ya kunywa mezani tu au mnayo zaidi?
Chama chukua chako mapema CCMMboga mboga ndio nini kamanda?
Cuba ndio wapi huko kamanda?😁Kama hujasoma cuba huwezi kuelewa,nikusaidia kitu hapa, umewai ona anajipiga risasa kwa ajili kuwaminisha uma, hiyo ni mbinu ya kishadow sumbuse kukodi chopa?
Sure lisu aishi miaka mingiKwa kweli Lissu anaweza kuonekana ana msimamo mkali lakini Tanzania ni nchi legelege sana hata mtu akiwa na msimamo wa kawaida anaonekana ana msimamo mkali.
Mambo anayoongelea Lissu ya haki za binadamu, uwqzi, usawa, simoke logic tu, si extreme. Tatizo ukimwambia Ntanzania kwamba kupata kazi ukiyosomea ni haki yako ya kikatiba na kibinadamu, jwa sababu yeye hajui katiba wala haki za binadamu, anaweza kukuona wewe extreme.
Ni sawa na watu wanaosema fulani ana Kiingereza kigumu sana, wakati kiukweli ni Kiingereza cha kawaida sana tatizo Watanzania wengi hata Kiingereza cha kawaida tu ni mgogoro, hivyo ukiongea Kiingereza cha kawaida kimataifa, Tanzania kinaonekana kigumu.
Na kabla watu wasiojua kusoma kwa ufahamu hawajanishambulia kuwa namdogosha Lissu, sina nia ya kumdogosha Lissu, naonesha kuwa Lissu si extremist hivyo, namtetea Lissu, tatizo ni Watanzania wengi wanacheza chini ya kiwango mchezaji akicheza kawaida anaonekana anakimbia sana.
Nchi nyingine mtu kama Lissu ndiye mbunge average.
Una maana gani?Chama chukua chako mapema CCM