Msimamo wa chama cha ACT-Tanzania na katiba mpya


Hongera sana ACT-Tanzania hongera sana Mwigamba
 
Wachaga wa chadema ni vigeu geu sana.

Juzi tuh hapa walikuwa wanamtukana prof lipumba na kukiita cuf ni ccm b au mke wa ccm.

Leo from nowhere eti ni maswahiba wao.

Hakuna watakaemchezea akili woote ni waganga njaa tuh hawa.

Sion kipi wanachomwaga povu kwa ACT kama sio uoga na kuanguka kisiasa.

Mbona wapinzani wenzao kama cuf na nccr hawana ugomvi na act?wala adc??

Hawa wachaga nin kinawasumbua.
 

Oky huyo unayedai kuwa anafua nepi za junior tunamfaham na kazi anayofanya tunaifaham hiyo ya kufua nepi unatuambia wewe hapa......

Sasa we si unajifanya kidume mwenyekazi nzuri ya kuuza dhahabu maybe, njoo na jina lako halisi kama anavyofanya mwenzio Ben hapo ili nawe tukujue ni nani na unafanya kazi gani?

Maana akija mtu hapa kutuambia wewe ni shoga na unafanya kazi ya kuosha mabatock ya Nape hatutabisha maana hatujui unakokaa wala kazi unayofanya njoo kwa ID halisi ya jina lako kama afanyavyo Ben Saanane ili tutoe ubishi wewe na yeye ni nani mwenye kazi nzuri

BACK TANGANYIKA
 
Last edited by a moderator:

Wivu wa kijinga huu.
 
Msukule wa Zitto kazini. Suala la gesi alitoa pendekezo wakati tunaanzisha CHAUMA.

Ndio tatizo la kuwa "msukule" wa watu na ndio maana kila mtu unamhisi ni msukule kama ulivyo wewe.

Hiyo hoja ya umri..ukiisoma hoja hiyo hapo juu(kama kweli umeisoma)...kwa mujibu wa tume...wananchi asilimia 53% walitaka umri wa mgombea urais ushushwe.

Sasa kama kweli tunataka matakwa ya wananchi yaheshimiwe, then tusiishie kwenye serikali tatu tu, maoni hayo ya wananchi ni pamoja na umri wa mgombea urais ushushwe.

Sasa tusiwalaumu CCM alafu nasi tukafanya yaleyale wanayoyafanya wao, kutojali maoni ya wananchi bali kuchagua la kulikubali na kulikataa.
 

Thats why me nakuambia hawa wehu ni waganga njaa tu.

Wanaangalia wapi kwenye maslahi kisha wanashika mabango.

I am tellling you.

Miongoni mwao hawa hakuna hata mmoja mwenye uchungu na wananchi.

Hizo zoote kelele ni kwa ajili ya vita vya madaraka tu na si vinginevyo.

Wanafiki tu hawa.
 
Another noise from the same non sense, Alliance for Cowards and Traitors
 

Naona umepanic. Pole sana. Tatizo ulilonalo limeshakuwa sugu.
 

i) Tuwekee statement ya CHADEMA tulinganisha kama maoni yanafanana.

ii) Dhana inaweza kufanana lakini details zikawa tofauti kabisa. Kwa mfano ACT-Tanzania tunaunga mkono muundo wa serikali tatu lakini wenye sura tofauti na ule ambao CHADEMA wanataka. Sisi tunataka muundo wa serikali tatu utakaozaa muungano imara, na serikali za Tanganyika na Zanzibar zenye jukumu la utendaji. CHADEMA wanataka serikali tatu ambazo zitazaa Tanganyika na Zanzibar huru zitakazoacha muungano legelege na hatimaye kufa. Kwa hiyo utaona hapa kwamba CHADEMA wanataka serikali tatu kama njia ya kufikia lengo fulani wakati sisi tunataka serikali tatu kama lengo kamili.

iii) Ndiyo tunafanana katika marekebisho ya Katiba, lakini details zinatofautiana sana. Sisi tunataka marekebisho katika vipengele kumi (10) nyie mnataka marekebisho katika vipengele vinne tu na kuna vipengele mnavipinga kabisa. Kwa mfano CHADEMA hamtaki umri wa kugombea urais ushushwe ili kuwapa wapiga kura vijana ambao ni asilimia 65 ya wapiga kura wote haki na fursa ya kugombea, wakati ACT-Tanzania tunataka umri wa kugombea urais ushushwe ili kuakisi jamii tuliyo nayo na ukweli kwamba wananchi walio wengi (53.7%) waliotoa maoni kwenye Tume walitaka umri wa urais ushushwe.

Kwa hiyo kwamba ACT-Tanzania imedandia hoja ya CHADEMA sio kweli hata kidogo. Tuna hoja za msingi ambazo CHADEMA wala hawawezi kuzigusa.
 
Mara nyingi nikiona comment kama hizi lazima najua imetoka kwa tapeli la gesi linalojifanya ni mhasibu.
 

Umaskini wako wa Fikra na mali haujasababishwa na Wachaga. Fanya kazi kwa bidii ili ujikwamue hapo ulipo. Pia isake elimu. Kuwatusi wachaga hakutaboresha maisha yako.
 
Huu uchafu kaandikiwa na CCM aje kuusoma..

Kuna taarifa hata huo mkutano umegharamiwa na CCM
 


Mapimbi kama nyinyi tu with your sad destiny ndiyo wenye utaahira wa kuja kyanika maisha yenu ya ulaghai na utapeli mitandaoni ili kuwarubuni na kuwatapeli watu.

Why shoud i do that na ili iweje.

I am not such stupid...i am not such dumb kufake maisha yasiyo na uhalisia ili uonekane una influence kumbe ni mchimba chumvi tu.
 
Last edited by a moderator:

Msukule wa Zitto na saccos yake inayochangiwa na CCM unataabu sana. Umri wa kugombea umeshadadiwa saana na kibaraka wa CCM Zitto na Januari si wananchi..
 

Msukule wa Zitto na saccos yake inayochangiwa na CCM unataabu sana.
 

Thank you.

Siku zote akili ndogo haiwez kuongoza akili kubwa.

Siku zote hawawez kuwa sawa mwenye elimu na yule asie na elimu.

Wanachofanya chadema ni kutapa tapa.

Na siku zote mfa maji haachi kuwa hivyo.

Wenye akilizao timamu siku zote watawafuata na kuwasikiliza wenye akili timamu wenzao.
 

Kwa hyo ACT mnataka Muungano imara lakini Tanganyika na Zanzibar ziwe legelege? Uimara wa Muungano utaletwa serikali mbili legelege ambazo zipo zipo tu? Tanganyika na Zanzibar imara zitajenga Muungano Imara.
 
Umaskini wako wa Fikra na mali haujasababishwa na Wachaga. Fanya kazi kwa bidii ili ujikwamue hapo ulipo. Pia isake elimu. Kuwatusi wachaga hakutaboresha maisha yako.
When we tell you guys muache uchaga na Ukanda kwenye chama na siasa zenu we do not intend to insult chaga people.

Tunamaanisha kweli kwamba kwenye chama hiko muache ukabila na uuungu mtu.

Fanyeni demokrasia kweli na acheni demokrasia magilini.
 

Vipi ACT mmepata wakristo wa kutosha ili chama chenu kisionekane kuwa ni cha kidini? Mmefanya jitihada gani ACT isionekane ni chama cha ujiji kinachofadhiliwa na MACCM? Zitto atahamia lini ACT? Nakumbuka saana waraka wenu wa usaliti mliposema:

Kwa kuwa ni mwislamu. Hii ni fursa katika kupata kuungwa mkono na wanachama waislamu ambao wamekuwa na kigugumizi wakidhani waislamu hawatakiwi katika uongozi wa taasisi yetu.
 

Kwa hiyo umekopa kauli kwa Msigwa wa CHADEMA kutetea kambi ya CCM na SACCOS ya ZITTO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…