controler
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 1,562
- 361
Atleast makene angekuwa anaandika vitu vya msingi na kwa mpangilio kama huu angeonekana yupo timamu.
Hongereni ACT.
Mmeonesha tofauti na wale wachaga.
Mambo ya kudhaa au mambo gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atleast makene angekuwa anaandika vitu vya msingi na kwa mpangilio kama huu angeonekana yupo timamu.
Hongereni ACT.
Mmeonesha tofauti na wale wachaga.
Mlihitaji muda wote huu kuonyesha msimamo wenu kwenye hili la kupatikana katiba mpya? Ni sababu zipi kama zipo, zilizowafanya mchelewe kiasi hiki kuweka msimamo wenu hadharani!?
Walikua wanasubiri copy and paste.
Mapimbi kama nyinyi tu with your sad destiny ndiyo wenye utaahira wa kuja kyanika maisha yenu ya ulaghai na utapeli mitandaoni ili kuwarubuni na kuwatapeli watu.
Why shoud i do that na ili iweje.
I am not such stupid...i am not such dumb kufake maisha yasiyo na uhalisia ili uonekane una influence kumbe ni mchimba chumvi tu.
When we tell you guys muache uchaga na. Ukanda kwenye chama na siasa zenu we do not intend to insult chaga people.
Tunamaanisha kweli kwamba kwenye chama hiko muache ukabila na uuungu mtu.
Fanyeni demokrasia kweli na acheni demokrasia magilini.
Dr. Kitila Mkumbo umefanya vyema kuja hapa tofauti na baadhi ya wanazi waliokua wakikukataza wewe kuja hapa kuwekana sawa.
Kwa bahati mbaya sasa Niko barabarani na simu haina chaji ya kutosha.Nitakuja kujibu baadhi ya maeneo ambayo umepotosha kwa makusudi likiwepo suala la Umri wa Kugombea Urais.CHADEMA kilipendekeza Ushushwe na Dr.Kitila unakumbuka ulishiriki kuandika maazimio hayo kikao cha Mwezi July Mwaka Jana.Nilikuwepo na hata wewe uliunga mkono hoja ya kushusha Umri wa Urais.Umeteleza kwa bahati mbaya au umepotosha kwa makusudi?Maoni hayo ni sehemu ya maoni yaliyopelekwa tume pia kutoka kwenye mabaraza yetu ya katiba
Zitto anafurahisha sana wakati mwingine.
Yani ukisoma vipaumbele mlivyoweka kwenye marekebisho mnayotaka ni kutengeneza mazingira ya kina Zitto type kuendeleza siasa za ndimi mbili-mbili kama afanyavyo sasa na pia kutimiza ile ndoto yake ya kuwania nafasi ya urais wa Tanzania.
Nawaombea mfikie lengo tukapambane huko mbele ajulikane nani ni nani.
Nimebaki nikicheka tu.Karibu. Wewe unajua mie siogopi mijadala. Tulipendekeza lakini wakubwa hawakuchangamkia pendekezo la kushusha umri wakidhani tulikuwa tunalenga kumtengenezea njia hasimu wao kisiasa. Kwa hiyo jambo hili halijawahi kupewa nafasi katika mijadala ndani ya cdm, labda baada ya sie kuondoka.
Karibu. Wewe unajua mie siogopi mijadala. Tulipendekeza lakini wakubwa hawakuchangamkia pendekezo la kushusha umri wakidhani tulikuwa tunalenga kumtengenezea njia hasimu wao kisiasa. Kwa hiyo jambo hili halijawahi kupewa nafasi katika mijadala ndani ya cdm, labda baada ya sie kuondoka.
Maoni ya ACT yanatofauti gani na Maoni yaliyotolewa na CHADEMA?Yaani mna-copy na Ku-paste maoni ya CHADEMA?
Tena asilimia kubwa ya maoni hayo ni kwa tume ya katiba.Hilo la kuahirisha Bunge pia ni maoni ya CHADEMA na hata marekebisho ya katiba kuruhusu uundwaji wa tume huru ya uchaguzi na taasisi nyingine za kidemokrasia ni maoni ya CHADEMA
Huu ujanja ujanja wa kudandia hoja ndio uliowapeleka JB Hotel kuitisha Press?

Wee jamaa leo upo kibange bange!
Mnasoma kwanza upepo halafu ndo unakuja na hv viroja!
Karibu. Wewe unajua mie siogopi mijadala. Tulipendekeza lakini wakubwa hawakuchangamkia pendekezo la kushusha umri wakidhani tulikuwa tunalenga kumtengenezea njia hasimu wao kisiasa. Kwa hiyo jambo hili halijawahi kupewa nafasi katika mijadala ndani ya cdm, labda baada ya sie kuondoka.
i) Tuwekee statement ya CHADEMA tulinganisha kama maoni yanafanana.
ii) Dhana inaweza kufanana lakini details zikawa tofauti kabisa. Kwa mfano ACT-Tanzania tunaunga mkono muundo wa serikali tatu lakini wenye sura tofauti na ule ambao CHADEMA wanataka. Sisi tunataka muundo wa serikali tatu utakaozaa muungano imara, na serikali za Tanganyika na Zanzibar zenye jukumu la utendaji. CHADEMA wanataka serikali tatu ambazo zitazaa Tanganyika na Zanzibar huru zitakazoacha muungano legelege na hatimaye kufa. Kwa hiyo utaona hapa kwamba CHADEMA wanataka serikali tatu kama njia ya kufikia lengo fulani wakati sisi tunataka serikali tatu kama lengo kamili.
iii) Ndiyo tunafanana katika marekebisho ya Katiba, lakini details zinatofautiana sana. Sisi tunataka marekebisho katika vipengele kumi (10) nyie mnataka marekebisho katika vipengele vinne tu na kuna vipengele mnavipinga kabisa. Kwa mfano CHADEMA hamtaki umri wa kugombea urais ushushwe ili kuwapa wapiga kura vijana ambao ni asilimia 65 ya wapiga kura wote haki na fursa ya kugombea, wakati ACT-Tanzania tunataka umri wa kugombea urais ushushwe ili kuakisi jamii tuliyo nayo na ukweli kwamba wananchi walio wengi (53.7%) waliotoa maoni kwenye Tume walitaka umri wa urais ushushwe.
Kwa hiyo kwamba ACT-Tanzania imedandia hoja ya CHADEMA sio kweli hata kidogo. Tuna hoja za msingi ambazo CHADEMA wala hawawezi kuzigusa.
Inasound vizuri sana "Mr Zero a.k.a Zitto". Mkurugenzi wa SACCOS ya ACT ambayo pia ni nyumba ndogo ya CCM.
Hii ID ni sehemu ya mkakati huu?
Nimebaki nikicheka tu.