Msimamo wa chama cha ACT-Tanzania na katiba mpya

Mlihitaji muda wote huu kuonyesha msimamo wenu kwenye hili la kupatikana katiba mpya? Ni sababu zipi kama zipo, zilizowafanya mchelewe kiasi hiki kuweka msimamo wenu hadharani!?

Walikua wanasubiri copy and paste.
 

Umepaniki sana. Lakini hapa sijaona umeweka wachaga au vina havijakaa vizuri?
 
When we tell you guys muache uchaga na. Ukanda kwenye chama na siasa zenu we do not intend to insult chaga people.

Tunamaanisha kweli kwamba kwenye chama hiko muache ukabila na uuungu mtu.

Fanyeni demokrasia kweli na acheni demokrasia magilini.

There you are, right ar the centre of it. WACHAGA. U can't be more better.
 

Karibu. Wewe unajua mie siogopi mijadala. Tulipendekeza lakini wakubwa hawakuchangamkia pendekezo la kushusha umri wakidhani tulikuwa tunalenga kumtengenezea njia hasimu wao kisiasa. Kwa hiyo jambo hili halijawahi kupewa nafasi katika mijadala ndani ya cdm, labda baada ya sie kuondoka.
 
Last edited by a moderator:

You are just too short sighted. Yaani badala kuangalia hoja unaangalia mtu. Huyu Zitto kwa nini anawatesa hivi? Tunajadili umri wa kugombea tukilenga kukomesha ubaguzi wa umri, wewe unaongelea personality ya Zitto. Mtafute mkanywe naye chai!
 
Last edited by a moderator:
Nimebaki nikicheka tu.
 

Hivi Imebidi ndo Dk Kitila Mkumbo. Sikujua! Sasa inabidi wailink hizi id basi maana kuwa na id mbili mbili ni kutuchanganya.
 

Beni nasikitika kwa namna ulivyochangia hii hoja je ulitaka kila mmoja aje na msimamo unaodhani utakuwa haujagusa sehemu ya misimamo ya watu wengine? hauoni kama utataka hali hiyo basi wanaounga mkono jambo moja wanaweza wakawa ni wachache sana. na je hauoni kama kwa msimamo wako huo unaweza kuhalalisha mawazo ya wengine kuwa na Chadema nayo imekopi kutoka kwa wengine hususan tume iliyokuwa ikiongozwa na jaji Warioba?

Siasa ni njia na kuona fursa ya kuwakwamua wale unaotaka kuungana nao kutoka pale ulipo na si kudhihaki kila jambo au kufikiri wengine hawawezi kufikiri.asante
 

Maoni yote siyo copy and paste ya Chadema. Kushusha umri wa mgombea urais linamhusu Zitto (mwenyekiti mtarajirwa wa ACT - Tanzania).
 

Duh Hii ID ni ya nani?Mbona mimi nilimlenga Kitila Mkumbo kwa verified ID yake hapa?
 

Hoja ya kuweka kikomo cha umri wa mgombea urais liliwekwa kwa madhumuni gani? Na kama ni suala la kuondoa kikomo hicho bado hoja yenu ya ACT - Tanzania bado haijawa na nguvu kwa sababu kama ni suala la umri ambao wapo wetu wengi basi hilo linaweza likawa ni suala la muda tu. Ina maana siku tukiwa na raia wengi wazee ndipo turudi tulikokuwa? Kimsingi hoja yenu ingekuwa na nguvu kama mgelinganisha umri wa mtu kuruhusiwa kupiga kura uwe vile vile umri wa kugombea nafasi ya uongozi hata kwa ngazi ya urais.
 
Inasound vizuri sana "Mr Zero a.k.a Zitto". Mkurugenzi wa SACCOS ya ACT ambayo pia ni nyumba ndogo ya CCM.

Mbowe anaitwa Mr. Zero kwa sababu alitaga mtihani wa form six. Au wewe hujui? Zitto hawezi kuwa Mr. Zero kwa sababu mwenzio ni msomi na anamalizia PhD.
 
Hii ID ni sehemu ya mkakati huu?

Yaan fikra hizi ndio una exponsure ya kuishi nje ya Tenende....sijui ungekuwa bado kijijini Tenende ungekuwaje?

Nakusamehe bure...
 

He! Huu ni mkanganyiko wa I'd au Imebidi
 
Last edited by a moderator:
Hivi hili genge la wachumia tumbo na wanafiki liitwalo ACT bado lipo halijafa tu? Watasubiri sana,watz wa leo si wale wa miaka ile na wanajua kuwa ACT=CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…