Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

View attachment 2928613
πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ’šπŸ’›
Kwa mtu anayejuwa Mpira vizuri hapo Azam hamna kitu anagombea nafasi ya Pili, na Simba haina uwezo wa kuja kuifikia Yanga.

Hii ligi imeshaisha Simba uanze sasa kutafuta wachezaji wa kusajili na kazi hiyo afanye Mwamedi mwenyewe, akiwaachia wazee wa ten percent mashabiki wa Simba wataendelea kutokuwa na furaha Kwa kipindi kirefu kijacho.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.
 
View attachment 2773305
Yanga mnaendeleaje. Nimeambiwa mna unbeaten 4 kasoro moja(unbeaten kasoro Ihefu)
Ndugu Mwasibu, kama ilivyo kawaida yetu! Yanga tunaendelea vizuri tu. Vipi na nyinyi huko kwenu kuko salama? Unbeaten na vichapo kwa wapinzani vinaendelea kutamalaki!

Na tarehe 20/0/2024 tunaendelea pale tulipoishia. Una lolote la kuongezea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…