Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Ni bora Simba imalize ya 3 na kujipanga upya. Bado haina timu ya kushindana champions league na inahitaji kusajili wachezaji kama 8 wapya na kutengeneza uongozi unaosikilizana na timu yenye ari mpya.

Wapunguze pressure msimu ujao huku wakitafuta zaidi kikombe cha ligi ili kurudisha imani kwa wanachama na mashabiki wake.

Wakubali kushiriki shirikisho ambapo hakuna pressure.

Huo ni ushauri wangu kama shabiki wa Coastal Union.
 
Timu ya wananchi kileleni mawinguni , my wetu anapendeza nafasi ya tatu
 

Attachments

  • sokavibe6_1717060562453222.mp4
    3.3 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…