Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Ndugu mhasibu Huu uzi tunauhifadhi kwa matumizi ya baadae.
Jamaa atakuwa ana mkosi huyu. Itabidi aende kwa Mwamposa ampake yale mafuta ya upako maana hakuna kitu alichowahi andika kikafanikiwa. Mwambie awake msimamo wa hadi leo mkuu?πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Simba itaendelea kudondosha pointi, kichapo toka Yanga kimevuruga morale na benchi ya ufundi...

Viongozi badala ya kushikamana, wao wanaanza kutafuta mchawi nani wakati timu yao imekuwa tia maji tia maji tangu msimu jana...
 
Na mwisho wa msimu utakuja tena kuukimbia huu uzi kama ulivyofanya kwenye zile nyuzi zako 2! Ni suala tu la muda.
Mhasibu OKW BOBAN SUNZU, nilikutabiria mapema kabisa kuukimbia huu uzi kama ulivyofanya kwenye zile nyuzi zako mbili!

Je, na huku nako muda umewadia? Yaani umekubali matokeo!! Au tuendelee kukusubiri, labda mnaweza kupindua meza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…