Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

Eti goli 2 kwa bahati mbaya
20231109_191007.jpg

Shadeeya Frank Wanjiru Labani og wekeni msimamo wa ligi hapa 😀
 
Simba itaendelea kudondosha pointi, kichapo toka Yanga kimevuruga morale na benchi ya ufundi...

Viongozi badala ya kushikamana, wao wanaanza kutafuta mchawi nani wakati timu yao imekuwa tia maji tia maji tangu msimu jana...
 
Na mwisho wa msimu utakuja tena kuukimbia huu uzi kama ulivyofanya kwenye zile nyuzi zako 2! Ni suala tu la muda.
Mhasibu OKW BOBAN SUNZU, nilikutabiria mapema kabisa kuukimbia huu uzi kama ulivyofanya kwenye zile nyuzi zako mbili!

Je, na huku nako muda umewadia? Yaani umekubali matokeo!! Au tuendelee kukusubiri, labda mnaweza kupindua meza?
 
Back
Top Bottom