Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini: Tutaelewana tu!

Doctor Mama Amon

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Posts
2,089
Reaction score
2,725

Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini ni wa kujadiliwa kwa kina kusudi watu wengi wauelewe na kuukubali.

Tayari kuna maoni kadhaa yametolewa tangu alipofanya mahojiano yake na BBC, na kuuweka bayana.

Kuna maoni ya Askofu Bagonza, Kauli za Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, mawazo ya Godbless Lema na maoni ya watu baki. Nami napenda kutoa maoni yangu leo.

1. Tofauti kati ya "demokrasia ya kisiasa na fujo za kisiasa" haikuanzishwa na Rais Samia.

Ipo siku zote kwa sababu ya mstari unaotenganisha siasa za watu wengi zinazoendeshwa kwa kutumia nguvu ya ushawishi wa hoja (democratic people's power) na siasa za watu wengi zinazoendeshwa kwa kutumia nguvu za ubabe na mitulinga (coercive people's power).

Fujo za kisasa zinazofanywa na vyama vya upinzani huwa ni mkakati wa kuiondoa serikali katika vipaumbele vyake. Hilo jambo halikubaliki popote duniani. Viongozi wa Chadema wanapaswa kuzingatia ukweli huu.

2. Kuna fujo zinazofanywa na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, akipinga kauli za Rais Samia. Mnyika anasema kuwa uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano hauna mipaka.

Hapana. Hakuna haki isiyo na mipaka. Ni kweli vyama vya siasa vina haki ya kufanya mikutano ya hadhara ili kueneza sera zake.

Lakini pia vinalo jukumu la kujizuia kuikwamisha serikali katika azima yake ya kutekeleza programu ambazo ni vipaumbele vya kitaifa kwa mujibu wa Ilani ya chama tawala.

Kwa mujibu wa
tangazo la Mbowe pale Mwanza, Chadema hawatambui jukumu hilii. Wanapaswa kulazimishwa kulitambua jukumu hili.

3. Kuna viongozi wa Chadema wanafanya fujo za kisiasa kupitia mgongo wa dini makanisani.

Wanazunguka makanisani na kuwaomba viongozi wa makanisa kuingiza katika ratiba zao za kikanisa kumwombea Mbowe ili aachiwe huru.

Kwa kitendo hiki, viongozi wa kidini wanashiriki kutekeleza programu za chama cha siasa. Aidha, kwa njia hii viongozi na wanachama wa Chadema wanatumia dini kufanya siasa.

Naona kwamba hapa inakuja hatari kama ile ya "mitano kwanza" ya Askofu Bagonza dhidi ya "mitano tena" ya Shehe nanihii.

Na bado hadi sasa Askofu Bagonza anaendeleza chokochoko kwa sababu ya
ugonjwa wa theomania unaomsumbua.

Theomania ni ugonjwa wa kichaa cha kidini kinachomfanya mhusika kuamini kwamba yeye ama ni Mungu au mpaka mafuta wa Mungu, na kwamba kwa sababu hiyo, yeye ni mtu mwenye uwezo wa kujua kila kitu, kufanya kila kitu, kusikilizwa na kila mtu, na kupewa utii na kila mtu.

Naye Askofu Mwamakula ametunga novena ya kumwombea Mbowe yenye kibwagizo "Mwanakondoo Ameshinda," na hivyo, kuigeuza CHADEMA kuwa Chama cha Demokrasia na Mwanakondoo Ameshinda"

Hatua za haraka zichukuliwe kwa mujibu wa sheria na Katiba ya nchi kusimamia kanuni inayokataa jaribio lolote kuanzisha na kuendesha chama cha siasa chenye kutafuta ufuasi kwa kutumia mafundisho ya kidini.

Nawasilisha.
 
Kwa mujibu wa tangazo la Mbowe pale Mwanza, Chadema hawatambui jukumu hilii. Wanapaswa kulazimishwa kulitambua jukumu hili.

3. Kuna viongozi wa Chadema wanafanya fujo za kisiasa kupitia mgongo wa dini makanisani.

Wanazunguka makanisani na kuwaomba viongozi wa makanisa kuingiza katika ratiba zao za kikanisa kumwombea Mbowe ili aachiwe huru.

Kwa kitendo hiki, viongozi wa kidini wanashiriki kutekeleza programu za chama cha siasa. Aidha, kwa njia hii viongozi na wanachama wa Chadema wanatumia dini kufanya siasa.

Naona kwamba hapa inakuja hatari kama ile ya "mitano kwanza" ya Askofu Bagonza dhidi ya "mitano tena" ya Shehe nanihii.

Na bado hadi sasa Askofu Bagonza anaendeleza chokochoko kwa sababu ya ugonjwa wa theomania unaomsumbua.

Naye Askofu Mwamakula ametunga novena ya kumwombea Mbowe yenye kibwagizo "Mwanakondoo Ameshinda," na hivyo, kuigeuza CHADEMA kuwa Chama cha Demokrasia na Mwanakondoo Ameshinda"

Hatua za haraka zichukuliwe kwa mujibu wa sheria na Katiba ya nchi kusimamia kanuni inayokataa jaribio lolote kuanzisha na kuendesha chama cha siasa chenye kutafuta ufuasi kwa kutumia mafundisho ya kidini.

Nawasilisha.

Kila haki na wajibu vimeorodheshwa kwenye sheria. Onyesha msimamo wako kisheria
 
Sawa. Kuna haja ya kurejea misingi ya human rights based ideologism (“huribatism”) ambayo imefafanuliwa vizuri na Profesa John Finnis kama ifuatavyo:

"The fundamental postulates of Hohfeld’s system [of human rights] are:

(i) that all assertions or ascriptions of rights can be reduced without remainder to ascriptions of one or some combination of the following four ‘Hohfeldian rights’: (a) ‘claim-rights’, (b) ‘liberty rights’, (c) ‘power rights’, and (d) ‘immunity rights’; and

(ii) that to assert a Hohfeldian right is to assert a [four-term relation] between one person, one act-description, one other person, [and a normative rule R].

"[Concerning claim-rights and liberty-rights,] if A and B signify persons, F stands for an act description signifying some act, and R signifies a rule that relates the two parties, then, the following logical relations among A, B, [R] and F will obtain:

(1) A has a claim-right that B should F, if and only if [there is a rule R which specifies that] B has a duty to A to F.

(2) B has a liberty (relative to A) to F, if and only if [there is no rule R which negates the claim that] A has no-claim-right (‘a no-right) that B should not F.

(2’) B has a liberty (relative to A) not to F, if an only if [there is no rule R which negates the claim that] A has no-claim-right (‘a no right’) that B should F.

"From the above, one can easily see, in light of these four-term relations that, the most important of the aids to clear thinking provided by Hohfeld’s schema is the distinction between A’s claim-right (which has as its correlative B’s duty) and A’s liberty , which is A’s freedom from duty and thus has as its correlative the absence or negation of the claim-right that B would otherwise have.

"A claim-right is always either, positively a right to be given something (or assisted in a certain way) by someone else, or, negatively, a right not to be interfered with or dealt with or treated in a certain way, by someone else. When the subject-matter of one’s claim of right is one’s own act(s), forbearance(s), or omission(s), that claim cannot be to a claim-right, but can only be to a liberty ."

(Source: John Finnis, Natural Law and Natural Rights. New York/Oxford: Clarendon Press, 1980, p. 199-200.)."

Tafsiri nyepesi ya maneno haya ni kwamba, katika anatomia ya kila haki inayoweza kufikirika kuna sehemu nne muhimu. Sehemu hizo ni: madai, mdai, mdaiwa na sababu ya madai. Ufafanuzi ni huu:
  1. Madai (claim): Haya na madai ya kufanyika au kutofanyika kwa tendo fulani; au madai ya kitu fulani.
  2. Mdai (right-holder): Huyu ni mtu anayedaiwa afanyiwe au asifanyiwe tendi fulani; au anayedai kitu fulani.
  3. Mdaiwa (duty-bearer): Huyu ni mtu anayedaiwa afanye au asifanye tendi fulani; au anayedaiwa kitu fulani.
  4. Sababu ya madai (normative justiification): Hiki ni kifungu cha kanuni, sheria au utaratibu kinachotumika kuonyesha kwamba madai ni halali, mdai ni yupi na mdaiwa ni yupi.
Kwa kuzingatia mwongozo huu wa HURIBATISM,naona kwamba, haki zinazohusiana na DEMOKRASIA zitajadilika vizuri zaidi ikiwa ufahamu wa kategoria anuai za haki zinazojadiliwa katika hoja iliyo mbele yetu utakuwa hudu dhidi ya kosa la kimantiki liitwalo “equivocation,” yaani kutumia neno “haki” katika major premise likiwa na maana “x” na kasha kulitumia neno hilo hilo katika minor premise au katika conclusion likiwa na maana “y”.

Angalizo hili ni muhimu kwani, kwa kuzingatia mwongozo wa profesa John Finnis hapo juu ni wazi kwamba tunazo aina kuu nne za haki za binadamu, ambapo kila haki inazo sehemu nne pia kama ifuatavyo:

  1. Haki ya raia A kufanyiwa tendo T na raia B kwa mujibu wa maagizo ya sheria S inaitwa haki ya madai chanya (POSITIVE CLAIM RIGHT)
  2. Haki ya raia A kutofanyiwa tendo T na raia B kwa mujibu wa makatazo ya sheria S inaitwa haki ya madai hasi (NEGATIVE CLAIM RIGHT)
  3. Haki ya raia A kufanya tendo T bila hofu ya kuhojiwa na raia B kwa mujibu wa ombwe lililo katika makatazo ya Sheria S inaitwa haki ya uhuru chanya (POSITIVE LIBERTY RIGHT).
  4. Haki ya raia A kutofanya tendo T bila hofu ya kuhojiwa na raia B kwa mujibu wa ombwe lililo katika makatazo ya sheria S inaitwa haki ya uhuru hasi (NEGATIVE LIBERTY RIGHT)
Katika muktadha huu wa huribatism, Alan Gewirth, aliandika makala yake “Are there any absolute rights?” kupitia jarida la “The Philosophical Quarterly, Volume 31, Number 122 (Jan. 1981), pg 1-16”, na kufanya uchambuzi murua kwa ajili yetu.

Gewirth (1981) anasema kwamba, mienendo ya watawala na watawaliwa yaweza kuifanya haki ya binadamu kuanguka katika kundi moja wapo kati ya makundi haya manne: FULFILLED, VIOLATED, INFRINGED, AND OVERRIDDEN. Kwa ukamilifu Gewirth anasema:

A right is FULFILLED when the correlative duty is carried out, i.e. when the required action is performed or the prohibited action is not performed.

"A right is INFRINGED when the correlative duty is not carried out, i.e. when the required action is not performed or the prohibited action is performed…

"A right is VIOLATED when it is unjustifiably infringed, i.e. when the required action is unjustifiably not performed or the prohibited action is unjustifiably performed.

"And a right is OVERRIDDEN when it is justifiably infringed, so that there is sufficient justification for not carrying out the correlative duty, and the required action is justifiably not performed or the prohibited action is justifiably performed.

"A right is absolute when it cannot be overridden in any circumstances, so that it can never be justifiably infringed and it must be fulfilled without any exceptions (Gewirth, pg.2).

Kwa kuzingatia mchanganuo huo hapo juu, ni wazi kwamba, utekelezaji wa " POSITIVE LIBERTY RIGHT" unayo mipaka inayotokana na uwepo wa " NEGATIVE CLAIM RIGHT."

Kwa lugha ya walei wa mitaani tunasema kuwa uhuru wa kunyoosha mikono yako hewani na kujizungusha unaishia pale pua ya jirani yako inapoanzia.

Hii ndiyo sababu haki ya mvuta sigara inaminywa na jukumu lake la kuheshimu haki za majirani zake (kwa mfano wagonjwa waliolazwa wodini).

Vivyo hivyo, haki ya mwimbaji inaminywa na jukumu lake la kuheshimu haki za majirani zake (kwa mfani wanafunzi walio darasani wanajisomea).

Na hatimaye, haki ya kuandamana na haki ya kufanya mikutano ya hadhara ni "liberty rights" ambazo urefu wake unaishia pale yanapoanzia majukumu ya kuheshimu haki za watu baki, na katika hoja ya sasa, haki za serikali kutekeleza programu zake za maendeleo.

Nadhani nimejibu dukuduku zako kisheria.
 
Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini ni wa kujadiliwa kwa kina kusudi watu wengi wauelewe na kuukubali.

Tayari kuna maoni kadhaa yametolewa tangu alipofanya mahojiano yake na BBC, na kuuweka bayana.

Kuna maoni ya Askofu Bagonza, Kauli za Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, mawazo ya Godbless Lema na maoni ya watu baki. Nami napenda kutoa maoni yangu leo.

1. Tofauti kati ya "demokrasia ya kisiasa na fujo za kisiasa" haikuanzishwa na Rais Samia.

Ipo siku zote kwa sababu ya mstari unaotenganisha siasa za watu wengi zinazoendeshwa kwa kutumia nguvu ya ushawishi wa hoja (democratic people's power) na siasa za watu wengi zinazoendeshwa kwa kutumia nguvu za ubabe na mitulinga (coercive people's power).

Fujo za kisasa zinazofanywa na vyama vya upinzani huwa ni mkakati wa kuiondoa serikali katika vipaumbele vyake. Hilo jambo halikubaliki popote duniani. Viongozi wa Chadema wanapaswa kuzingatia ukweli huu.

2. Kuna fujo zinazofanywa na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, akipinga kauli za Rais Samia. Mnyika anasema kuwa uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano hauna mipaka.

Hapana. Hakuna haki isiyo na mipaka. Ni kweli vyama vya siasa vina haki ya kufanya mikutano ya hadhara ili kueneza sera zake.

Lakini pia vinalo jukumu la kujizuia kuikwamisha serikali katika azima yake ya kutekeleza programu ambazo ni vipaumbele vya kitaifa kwa mujibu wa Ilani ya chama tawala.

Kwa mujibu wa
tangazo la Mbowe pale Mwanza, Chadema hawatambui jukumu hilii. Wanapaswa kulazimishwa kulitambua jukumu hili.

3. Kuna viongozi wa Chadema wanafanya fujo za kisiasa kupitia mgongo wa dini makanisani.

Wanazunguka makanisani na kuwaomba viongozi wa makanisa kuingiza katika ratiba zao za kikanisa kumwombea Mbowe ili aachiwe huru.

Kwa kitendo hiki, viongozi wa kidini wanashiriki kutekeleza programu za chama cha siasa. Aidha, kwa njia hii viongozi na wanachama wa Chadema wanatumia dini kufanya siasa.

Naona kwamba hapa inakuja hatari kama ile ya "mitano kwanza" ya Askofu Bagonza dhidi ya "mitano tena" ya Shehe nanihii.

Na bado hadi sasa Askofu Bagonza anaendeleza chokochoko kwa sababu ya
ugonjwa wa theomania unaomsumbua.

Theomania ni ugonjwa wa kichaa cha kidini kinachomfanya mhusika kuamini kwamba yeye ama ni Mungu au mpaka mafuta wa Mungu, na kwamba kwa sababu hiyo, yeye ni mtu mwenye uwezo wa kujua kila kitu, kufanya kila kitu, kusikilizwa na kila mtu, na kupewa utii na kila mtu.

Naye Askofu Mwamakula ametunga novena ya kumwombea Mbowe yenye kibwagizo "Mwanakondoo Ameshinda," na hivyo, kuigeuza CHADEMA kuwa Chama cha Demokrasia na Mwanakondoo Ameshinda"

Hatua za haraka zichukuliwe kwa mujibu wa sheria na Katiba ya nchi kusimamia kanuni inayokataa jaribio lolote kuanzisha na kuendesha chama cha siasa chenye kutafuta ufuasi kwa kutumia mafundisho ya kidini.

Nawasilisha.

Wanakijani tuanze kuelewana sisi kwa sisi kwanza kabla ya kuelewana na mahasimu wetu,au nasema uongo ndugu zangu.
 
Hizi siyo fujo za kisiasa?
7nbv654311.jpg
 
Cheki para ya mwisho, bandiko namba 5 hapo juu. Jibu halitoshi?
Majukumu ya kuheshimu haki za watu baki ni yapi?
Katika haki ya serikali kutekeleza programu zake za maendeleo, hauni umuhimu wa serikali kushirikisha wadau wengine wa maendeleo Kama vyama mbadala(upinzani) katika kushiriki katika hizo programu badala ya kuwaweka pembeni
 
Sawa. Kama nilivyowahi kuonyesha huko nyuma kupitia jukwa hili mahali hapa, misingi ya human rights based ideologism (“huribatism”) imefafanuliwa vizuri na Profesa John Finnis kama ifuatavyo:

"The fundamental postulates of Hohfeld’s system [of human rights] are:

(i) that all assertions or ascriptions of rights can be reduced without remainder to ascriptions of one or some combination of the following four ‘Hohfeldian rights’: (a) ‘claim-rights’, (b) ‘liberty rights’, (c) ‘power rights’, and (d) ‘immunity rights’; and

(ii) that to assert a Hohfeldian right is to assert a [four-term relation] between one person, one act-description, one other person, [and a normative rule R].

"[Concerning claim-rights and liberty-rights,] if A and B signify persons, F stands for an act description signifying some act, and R signifies a rule that relates the two parties, then, the following logical relations among A, B, [R] and F will obtain:

(1) A has a claim-right that B should F, if and only if [there is a rule R which specifies that] B has a duty to A to F.

(2) B has a liberty (relative to A) to F, if and only if [there is no rule R which negates the claim that] A has no-claim-right (‘a no-right) that B should not F.

(2’) B has a liberty (relative to A) not to F, if an only if [there is no rule R which negates the claim that] A has no-claim-right (‘a no right’) that B should F.

"From the above, one can easily see, in light of these four-term relations that, the most important of the aids to clear thinking provided by Hohfeld’s schema is the distinction between A’s claim-right (which has as its correlative B’s duty) and A’s liberty , which is A’s freedom from duty and thus has as its correlative the absence or negation of the claim-right that B would otherwise have.

"A claim-right is always either, positively a right to be given something (or assisted in a certain way) by someone else, or, negatively, a right not to be interfered with or dealt with or treated in a certain way, by someone else. When the subject-matter of one’s claim of right is one’s own act(s), forbearance(s), or omission(s), that claim cannot be to a claim-right, but can only be to a liberty ."

(Source: John Finnis, Natural Law and Natural Rights. New York/Oxford: Clarendon Press, 1980, p. 199-200.)."

Tafsiri nyepesi ya maneno haya ni kwamba, katika anatomia ya kila haki inayoweza kufikirika kuna sehemu nne muhimu. Sehemu hizo ni: madai, mdai, mdaiwa na sababu ya madai. Ufafanuzi ni huu:
  1. Madai (claim): Haya na madai ya kufanyika au kutofanyika kwa tendo fulani; au madai ya kitu fulani.
  2. Mdai (right-holder): Huyu ni mtu anayedaiwa afanyiwe au asifanyiwe tendi fulani; au anayedai kitu fulani.
  3. Mdaiwa (duty-bearer): Huyu ni mtu anayedaiwa afanye au asifanye tendi fulani; au anayedaiwa kitu fulani.
  4. Sababu ya madai (normative justiification): Hiki ni kifungu cha kanuni, sheria au utaratibu kinachotumika kuonyesha kwamba madai ni halali, mdai ni yupi na mdaiwa ni yupi.
Kwa kuzingatia mwongozo huu wa HURIBATISM,naona kwamba, haki zinazohusiana na DEMOKRASIA zitajadilika vizuri zaidi ikiwa ufahamu wa kategoria anuai za haki zinazojadiliwa katika hoja iliyo mbele yetu utakuwa hudu dhidi ya kosa la kimantiki liitwalo “equivocation,” yaani kutumia neno “haki” katika major premise likiwa na maana “x” na kasha kulitumia neno hilo hilo katika minor premise au katika conclusion likiwa na maana “y”.

Angalizo hili ni muhimu kwani, kwa kuzingatia mwongozo wa profesa John Finnis hapo juu ni wazi kwamba tunazo aina kuu nne za haki za binadamu, ambapo kila haki inazo sehemu nne pia kama ifuatavyo:

  1. Haki ya raia A kufanyiwa tendo T na raia B kwa mujibu wa maagizo ya sheria S inaitwa haki ya madai chanya (POSITIVE CLAIM RIGHT)
  2. Haki ya raia A kutofanyiwa tendo T na raia B kwa mujibu wa makatazo ya sheria S inaitwa haki ya madai hasi (NEGATIVE CLAIM RIGHT)
  3. Haki ya raia A kufanya tendo T bila hofu ya kuhojiwa na raia B kwa mujibu wa ombwe lililo katika makatazo ya Sheria S inaitwa haki ya uhuru chanya (POSITIVE LIBERTY RIGHT).
  4. Haki ya raia A kutofanya tendo T bila hofu ya kuhojiwa na raia B kwa mujibu wa ombwe lililo katika makatazo ya sheria S inaitwa haki ya uhuru hasi (NEGATIVE LIBERTY RIGHT)
Katika muktadha huu wa huribatism, Alan Gewirth, aliandika makala yake “Are there any absolute rights?” kupitia jarida la “The Philosophical Quarterly, Volume 31, Number 122 (Jan. 1981), pg 1-16”, na kufanya uchambuzi murua kwa ajili yetu.

Gewirth (1981) anasema kwamba, mienendo ya watawala na watawaliwa yaweza kuifanya haki ya binadamu kuanguka katika kundi moja wapo kati ya makundi haya manne: FULFILLED, VIOLATED, INFRINGED, AND OVERRIDDEN. Kwa ukamilifu Gewirth anasema:

A right is FULFILLED when the correlative duty is carried out, i.e. when the required action is performed or the prohibited action is not performed.

"A right is INFRINGED when the correlative duty is not carried out, i.e. when the required action is not performed or the prohibited action is performed…

"A right is VIOLATED when it is unjustifiably infringed, i.e. when the required action is unjustifiably not performed or the prohibited action is unjustifiably performed.

"And a right is OVERRIDDEN when it is justifiably infringed, so that there is sufficient justification for not carrying out the correlative duty, and the required action is justifiably not performed or the prohibited action is justifiably performed.

"A right is absolute when it cannot be overridden in any circumstances, so that it can never be justifiably infringed and it must be fulfilled without any exceptions (Gewirth, pg.2).

Kwa kuzingatia mchanganuo huo hapo juu, ni wazi kwamba, utekelezaji wa " POSITIVE LIBERTY RIGHT" unayo mipaka inayotokana na uwepo wa " NEGATIVE CLAIM RIGHT."

Kwa lugha ya walei wa mitaani tunasema kuwa uhuru wa kunyoosha mikono yako hewani na kujizungusha unaishia pale pua ya jirani yako inapoanzia.

Hii ndiyo sababu haki ya mvuta sigara inaminywa na jukumu lake la kuheshimu haki za majirani zake (kwa mfano wagonjwa waliolazwa wodini).

Vivyo hivyo, haki ya mwimbaji inaminywa na jukumu lake la kuheshimu haki za majirani zake (kwa mfani wanafunzi walio darasani wanajisomea).

Na hatimaye, haki ya kuandamana na haki ya kufanya mikutano ya hadhara ni "liberty rights" ambazo urefu wake unaishia pale yanapoanzia majukumu ya kuheshimu haki za watu baki, na katika hoja ya sasa, haki za serikali kutekeleza programu zake za maendeleo.

Nadhani nimejibu dukuduku zako kisheria.
Aliekuuliza swali harudii tena kukuuliza,kha![emoji1787][emoji1787][emoji1787],noma
 
Msimamo wa Rais Samia kuhusu demokrasia ya kisiasa, fujo za kisiasa na fujo za kidini ni wa kujadiliwa kwa kina kusudi watu wengi wauelewe na kuukubali.

Tayari kuna maoni kadhaa yametolewa tangu alipofanya mahojiano yake na BBC, na kuuweka bayana.

Kuna maoni ya Askofu Bagonza, Kauli za Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, mawazo ya Godbless Lema na maoni ya watu baki. Nami napenda kutoa maoni yangu leo.

1. Tofauti kati ya "demokrasia ya kisiasa na fujo za kisiasa" haikuanzishwa na Rais Samia.

Ipo siku zote kwa sababu ya mstari unaotenganisha siasa za watu wengi zinazoendeshwa kwa kutumia nguvu ya ushawishi wa hoja (democratic people's power) na siasa za watu wengi zinazoendeshwa kwa kutumia nguvu za ubabe na mitulinga (coercive people's power).

Fujo za kisasa zinazofanywa na vyama vya upinzani huwa ni mkakati wa kuiondoa serikali katika vipaumbele vyake. Hilo jambo halikubaliki popote duniani. Viongozi wa Chadema wanapaswa kuzingatia ukweli huu.

2. Kuna fujo zinazofanywa na Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, akipinga kauli za Rais Samia. Mnyika anasema kuwa uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na maandamano hauna mipaka.

Hapana. Hakuna haki isiyo na mipaka. Ni kweli vyama vya siasa vina haki ya kufanya mikutano ya hadhara ili kueneza sera zake.

Lakini pia vinalo jukumu la kujizuia kuikwamisha serikali katika azima yake ya kutekeleza programu ambazo ni vipaumbele vya kitaifa kwa mujibu wa Ilani ya chama tawala.

Kwa mujibu wa
tangazo la Mbowe pale Mwanza, Chadema hawatambui jukumu hilii. Wanapaswa kulazimishwa kulitambua jukumu hili.

3. Kuna viongozi wa Chadema wanafanya fujo za kisiasa kupitia mgongo wa dini makanisani.

Wanazunguka makanisani na kuwaomba viongozi wa makanisa kuingiza katika ratiba zao za kikanisa kumwombea Mbowe ili aachiwe huru.

Kwa kitendo hiki, viongozi wa kidini wanashiriki kutekeleza programu za chama cha siasa. Aidha, kwa njia hii viongozi na wanachama wa Chadema wanatumia dini kufanya siasa.

Naona kwamba hapa inakuja hatari kama ile ya "mitano kwanza" ya Askofu Bagonza dhidi ya "mitano tena" ya Shehe nanihii.

Na bado hadi sasa Askofu Bagonza anaendeleza chokochoko kwa sababu ya
ugonjwa wa theomania unaomsumbua.

Theomania ni ugonjwa wa kichaa cha kidini kinachomfanya mhusika kuamini kwamba yeye ama ni Mungu au mpaka mafuta wa Mungu, na kwamba kwa sababu hiyo, yeye ni mtu mwenye uwezo wa kujua kila kitu, kufanya kila kitu, kusikilizwa na kila mtu, na kupewa utii na kila mtu.

Naye Askofu Mwamakula ametunga novena ya kumwombea Mbowe yenye kibwagizo "Mwanakondoo Ameshinda," na hivyo, kuigeuza CHADEMA kuwa Chama cha Demokrasia na Mwanakondoo Ameshinda"

Hatua za haraka zichukuliwe kwa mujibu wa sheria na Katiba ya nchi kusimamia kanuni inayokataa jaribio lolote kuanzisha na kuendesha chama cha siasa chenye kutafuta ufuasi kwa kutumia mafundisho ya kidini.

Nawasilisha.
Hakika umeandika vema na kwa kuzingatia haki yako ki Katiba kongole kwako..

"Nitasema ukweli uongo kwangu mwiko"..tulipokubali kuanzisha mfumo wa vyama vingi tulijiwekea na utaratibu wa kufanya siasa zetu,hakuna vurugu za kisiasa mpaka sasa zilizofanyika kwenye hili la wenzetu CDM,wanazo hoja na sisi CCM tuzijibu hoja zao..yaani ni hoja kwa hoja,siyo hoja kwa vitisho..
 
Wanazo hoja ni kweli.
Lakini, ni hoja gani ambayo haijajibiwa hadi sasa?
Ilete hapa tuidadavue.
 
Majukumu ya kuheshimu haki za watu baki ni yapi? Katika haki ya serikali kutekeleza programu zake za maendeleo, hauoni umuhimu wa serikali kushirikisha wadau wengine wa maendeleo Kama vyama mbadala(upinzani) katika kushiriki katika hizo programu badala ya kuwaweka pembeni
Vyama vya upinzani vinashiriki vipi kwenye programu za maendeleo?

Kwa kutekeleza ilani ya Chama tawala? Hapana. Ni hivi:

Baada ya uchaguzi na chama mshindi kuunda serikali, kila chama baki hupitia ilani yake na kufanya mambo matano:

1. Kutambua uimara wake kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake

2. Kutambua udhaifu wake kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake

3. Kutambua fursa dhidi yake kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake

4. Kutambua vitisho kwake kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake

5. Kubuni mikakati ya kubadili udhaifu na fursa kuwa nguvu kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake.

Hapa, chama hubuni mikakati ya kutekeleza sera zake, lakini bila kutumia kodi ya umma, maana hawataipata.

Yaani, chama kitabuni miradi ya kutekeleza sera yake ya afya, elimu, ikolojia, ajira, mawasiliano, viwanda, nk.

Wanaweza kuanzisha vyuo vya uganga, mashule, vyuo vya kutunza mazingira, kuanzisha makampuni ya kubuni na kutekeleza miradi ya biashara za kuzalisha ajira, kuwekeza katika vinwanda, nk

6. Kutembeza bakuli na kupata fedha ya kutekeleza mikakati ya chama kwa mujibu wa Katiba, Kanuni na ilani yake.

Haya hufanyika hatua kwa hatua wakati chama kinajiimarisha kuelekea uchaguzi mwingine.

Kwa hiyo, chama cha upinzani kikialikwa kutekeleza sera za chama tawala hakitakubali, maana hicho ndio kitanzi chake!
 
Hizi siyo fujo za kisiasa?
View attachment 1888683

Kauli kwamba "Hata ukipiga kura kwingine CCM itaunda serikali" yaweza kuwa ni uchokozi kwa sababu tayari CCM walikuwa wamejihakikishia, sio kura halali za ushindi, bali kura haramu za ushindi.

Lakini, Kauli kwamba"Hata ukipiga kura kwingine CCM itaunda serikali" ilitamkwa kwa sababu tayari CCM walikuwa wamejihakikishia kura halali za ushindi.

Kwa hiyo, Kauli kwamba"Hata ukipiga kura kwingine CCM itaunda serikali" sio kauli ya kichokozi.

Kuna swali jingine?
 
Najua wachangiaji na wauliza maswali watakuwa wachache, ni ile "come and go"
Kongole kwa ufafanuzi maana kuna wengi wanaamini Demokrasia ni uhuru wa kufanya chochote na vijana wengiii WANADANGANYWA na KUTUMIKA VIBAYA
 
Hayo mambo yote yanafanyikaje wakata kwa mazingira ya siasa Tanzania vyama vya upinzani hawapewi nafasi hata kukutana na wanachama wao na hata ikitokea wamekutana tunaona vyombo vya usalama (polisi na Tiss) wanaingilia.
Kwenye suala la kutembeza bakuli wanatembeza vipi wakati vyombo wa usalama vinaingilia
Kimsingi kwa namna uliyoieleza wewe Tanzania haifanyiki tunaona jinsi chama tawala kinavyotumia vyombo vya usalama kuvuruga kwa lengo la kudhoofisha vyama mbadala
Vyama vya upinzani vinashiriki vipi kwenye programu za maendeleo?

Kwa kutekeleza ilani ya Chama tawala? Hapana. Ni hivi:

Baada ya uchaguzi na chama mshindi kuunda serikali, kila chama baki hupitia ilani yake na kufanya mambo matano:

1. Kutambua uimara wake kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake

2. Kutambua udhaifu wake kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake

3. Kutambua fursa dhidi yake kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake

4. Kutambua vitisho kwake kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake

5. Kubuni mikakati ya kubadili udhaifu na fursa kuwa nguvu kwa mujibu wa Katiba, kanuni na ilani yake.

Hapa, chama hubuni mikakati ya kutekeleza sera zake, lakini bila kutumia kodi ya umma, maana hawataipata.

Yaani, chama kitabuni miradi ya kutekeleza sera yake ya afya, elimu, ikolojia, ajira, mawasiliano, viwanda, nk.

Wanaweza kuancisha vyuo vya uganga, mashule, vyuo vya kutunza mazingira, kuanzisha makampuni ya kubuni na kutekeleza miradi ya biashara za kuzalisha ajira, kuwekeza katika vinwanda, nk

6. Kutembeza bakuli na kupata fedha ya kutekeleza mikakati ya chaka kwa mujibu wa ilani yake.

Back
Top Bottom