Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

Cha ajabu alichokifanya ni kusimika ukabila pale Tanesco. Zaidi ya hapo hakuna cha maana. Au nasema uwongo ndugu zangu?
 
Sawa analindwa na serikali lakini kwanini ahusishwe moja kwa moja rais kwamba ndo kahusika ?

Vipi dereva wake ni chadema kwanini asiwape maelezo yote maana kama nakumbuka vizuri yeye hakujeruhiwa ata huisi huenda ane katumiwa?

Kuhusu umaarufu najua ni kiongozi unae mkubari sawa hivyo sera zake ulizsikiliza uchaguzi ule magufuri aliwaaminisha watu wote kwamba anayofanya kwa serkali ni mazuri Japo nakubari Kuna mabaya ndani yake lakini sera kuu ya tundulisu ilkua ni kuiondo serikali ya kidikteta madarakani na sio shughuli nyingine za maendeleo na mifano alioyo kua anatAja ndio io nmemsikia kwa maskio yangu live akisema serikali ya magufuri imenipga risasi haifai hivyo huoni kama alijinufaisha na Ilo tukio na huenda alipanga yeye mwenyw maana sikumbuki sera nyingine ilio kua kuu""uhuru na kazi"
 

1. Raisi analaumiwa kwasababu yeye ndiye kiongozi wa serikali na ktk tukio hilo serikali inahisiwa kuwa imehusika.

Unapokuwa Raisi mwenye madaraka makubwa na ya ki-mungu-mtu kama wa Tz basi yote mema na mabaya ktk serikali yanakuwa ni yako.

2. Polisi wanatakiwa washirikiane na Polisi wa Ubelgiji aliko dereva ili kupata maelezo yake. Ikiwa wanaamini amehusika watachukua hatua za kumkamta.

Lakini kama miaka 5 imepita na Polisi hawajachukua hatua hizo maana yake ni kwamba dereva hajahusika na hana msaada ktk uchunguzi.

3. Lissu alisema serikali ya Magufuli imehusika. Je, ulisikia wasemaji wa serikali au Polisi wakikanusha? Kwanini kila mtu alikaa kimya? Hiyo haiashirii ni ukimya wa watu wenye hatia?

4. Ukimuangalia Lissu alivyokuwa kabla ya kupigwa risasi na alivyo sasa hivi huwezi kusema anajinufaisha. Nadhani unatambua kwamba amepata ulemavu kutokana na tukio lile.

5. Kauli mbiu ya kampeni ya Tundu Lissu ilikuwa ni UHURU, DEMOKRASIA, NA MAENDELEO YA WATU.

Pia alizunguka nchi nzima akizungumzia suala la BIMA YA AFYA KWA WOTE. Nadhani umesikia suala hilo sasa hivi linashughulikiwa na Bunge.

Pia alizungumzia kuufufua mchakato wa KATIBA MPYA. Nadhani umesikia ushauri wa Kikosi kazi cha Rais Samia Suluhu.

Zaidi alizungumzia hoja ya TAX PAYERS BILL OF RIGHT. Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kodi na tozo.

Mpaka hapo utaona kwamba kampeni ya Lissu ilikuwa na hoja nzuri ambazo leo zinaonekana kuifaa jamii na zinatekelezwa.
 
Tumekusikia Kalemani, vipi kuhusina na pesa walizolipwa Symbion?
 
Umejibu hoja za mleta uzi kitaalamu sana mkuu wa bodi hii

Kudos sana umejibu vilivyo mleta hoja akajiapange upya aisee ameboronga kweli
 
CCTV zile sii zake, yeye ni mpangaji tuu kaingia kwenye nyumba, kazikuta, baada ya tukio lile mwenye CCTV zake akazichukua camera zake, this has nothing to do with Kalemani!.
P
Kweli wew ni advocate [emoji817] sina mashaka na wew hadi sas hoja kwa hoja uko vzr mkuu wa bodi
 
Kweli umeiva sasa hyo lst wakupe leseni mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…