Fifteen
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 512
- 594
Ata uyo TLS nae angeua wakwake lazma politics are not for weak lakini yeye amekaa kumchukia magu kisa ushabiki tuNdio tunaambiwa Nyerere alikuwa anawashughulikia wapinzani wake alikuwa hana mchezo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata uyo TLS nae angeua wakwake lazma politics are not for weak lakini yeye amekaa kumchukia magu kisa ushabiki tuNdio tunaambiwa Nyerere alikuwa anawashughulikia wapinzani wake alikuwa hana mchezo.
Ok Boy. Lakini hizo ni tetesi tu. Sidhani kama JKN angetaka kuua hao watu.Nlima
Nlimaanisha sokoine mkuu
Nlima
Nlimaanisha sokoine mkuu
Mtu ukiwa rais wa nchi, una deal na vitu solid only, hizo tuhuma za TL kuwa mhusika ni JPM aliziwasilisha wapi?, au ulitaka rais wetu pia anze kujibu kila tuhuma za mitandaoni!.
TL alipoitisha ile press conference na kutangaza anafuatiliwa, alipaswa afanye nini ili issue ile ishughulikiwe?, alipaswa kuripoti kunakohusika na pale angeulizwa unamhisi nani, angesema!.
Na baada ya tukio yeye hakuhojiwa, but as a lawyer and a good law abiding citizen, baada ya kurejea nchini, alipaswa yeye mwenyewe kujipeleka polisi na kuroa statement yake na hapo angeeleza anamhisi nani, na kuutoa ule ushahidi, hapo ndipo angejibiwa.
Sio kazi ya rais wa nchi kuitisha uchunguzi wa tukio la kihalifu hiyo ni mandate ya jeshi letu makini la polisi. Uchunguzi ulishindikana kutokana na kukosekana kwa mashahidi wawili pekee wa tukio hilo, maana tunahisi hata silaha walizotumia ni silencer, hakuna mtu mwingine yoyote aliyeona chochote wala kusikia lolote zaidi ya wawili hao. Mpaka sasa wanasubiriwa!.
Kwenye criminal liability kunahitajika kitu kinachoitwa solid evidence na sio circumstantial evidence. The burden of proof lies with the prosecution, kwa vile hakuna any investigation going on kuhusu tukio hili, jinai haina time frame, TL na dereva wake waje waandike maelezo uchunguzi uanze.
Kiukweli uchunguzi wa tukio hili ulikuwa ni simple tuu hata sisi waandishi wa IJ tungeweza kuufanya Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
P
Hivi Sokoine na Karume waliowaua walikamatwa eehhh?
Naomba kumbukumbu TAFADHALI...
Kabisa japo haitosaidia coz muhusika hakuwepo pale na hayupo tenaKalemani ajitokeze kueleza kilichorekodiwa ktk CCTV cameras zake siku aliyoshambuliwa Tundu Lissu.
Drive wa Liso na Kalimeni wote wasimame pamoja. Hiyo unaionaje
Ila upinzani wanapitia magumu,sema wavumilivu sanaNa ile ya mbowe kuvunjwa mguu na wahuni usiku mzito. Authorities have to come out clean 😆😆
Mkuu usifumbe macho alkua anaenda wapi? Je walkufa wangap? Gari ilio husika vp? Kama ukisema Sina uthibitisho na ww naomba uthibitisho wa mtu yoyote alie uliwa na magu..Sokoine alikufa kwa ajali ya gari.
..Na mwili wake uliwekwa Karimjee Hall na wananchi walimuona.
..Pia kuna taratibu za kimila za Wamasai ambazo mwili wake ulifanyiwa na ilihusisha wanawe wa kiume.
..Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi walimpaka mafuta yaliyotoka ktk ng'ombe dume.
..Kama angekuwa amefanyiwa foul play basi wanawe au ndugu zake wangesema kuna mchezo mbaya alifanyiwa.
Alie muua karume alitoka wapi? Mkuu ukisema ugomvi wao binafsi vipi na tundu tukisema alkua na ugomvi na watu wake binafsiSokoine alikufa kwa ajali, aliyemuua Karume na yeye aliuwawa.
Mkuu usifumbe macho alkua anaenda wapi? Je walkufa wangap? Gari ilio husika vp? Kama ukisema Sina uthibitisho na ww naomba uthibitisho wa mtu yoyote alie uliwa na magu
Kwani tundulisu alipigwa risasi na Nan na kwa namna gan..Sokoine alikuwa anatoka Dodoma kuja Dsm.
..Kwa kumbukumbu zangu alikufa Sokoine peke yake.
..Dereva wa Sokoine aliumia na tuliona picha zake akiwa hospitali.
..Pia dereva wa gari iliyomgonga, alishtakiwa mahakamani, na kufungwa.
..Taarifa nyingi kuhusu tukio hilo zilionyeshwa ikiwemo picha za magari yaliyogongana na eneo la tukio.
NB.
..Unaposema Sokoine aliuawa inabidi utueleze aliuawa na nani, na namna gani.
Kwani tundulisu alipigwa risasi na Nan na kwa namna gan
Inshort kama ilvo tetesia magu alihusika kushambuliwa tundu basi pia sokoine alkua anenda kuumbua uovu wa Nyerere akitoka kuhutubia bunge ndo maana wakapita nae juu
Mkuu kwani issue ya walinzi inahusiana na rais bunge SI ni muhimili unajitegemea vipi kama speaker ndo aliamua kufanya ivo binafsi nchii viongozi au watu maarufu wangapi wanauwawa kwaio wote lawama ziende kwa mh rais si ndio?..kuna ushahidi toka eneo la tukio unaoiunganisha serikali na jaribio la kumuua Tundu Lissu.
..Ushahidi mmojawapo ni kuondolewa kwa WALINZI WA SERIKALI eneo la tukio siku aliyoshambuliwa Lissu.
..Walinzi wa serikali huwa hawawekwi lindoni kienyeji, na kuondolewa kwao hakufanyiki kienyeji.
..Kwa hiyo bila serikali kueleza kinagaubaga kwanini walinzi waliondolewa, na waliondolewa na nini, itakuwa ni vigumu sana kutokuhusishwa na tukio lile.
..Magufuli anatuhumiwa sio kwasababu alionekana eneo la tukio bali kwasababu yeye ndiye mkuu wa serikali ambayo inatuhumiwa kumshambulia Tundu Lissu.
..Ukiacha ushahidi toka eneo la tukio matendo ya Magufuli na serikali yake baada ya tukio yanakaribisha lawama na tuhuma dhidi yake.
..Kwa mfano, kwanini kuna danadana ktk kufanya uchunguzi? Hali hiyo inazua lawama na hisia kwamba waliomshambulia Lissu wanalindwa na serikali. Na serikali ni ya nani? Jibu, ni ya Magufuli.
..Serikali ilikataa kumtibu Tundu Lissu na kumuacha atibiwe kwa kuombaomba. Hivi serikali nzima haikuwa na mtu mwenye busara wa kupitisha maamuzi kwamba matibabu ya Lissu yagharamiwe na serikali?
..Madai kwamba Magufuli amehusika na tukio la Lissu msingi wake ni huo nilioueleza hapo juu.
Mkuu kwani issue ya walinzi inahusiana na rais bunge SI ni muhimili unajitegemea vipi kama speaker ndo aliamua kufanya ivo binafsi nchii viongozi au watu maarufu wangapi wanauwawa kwaio wote lawama ziende kwa mh rais si ndio?
Vipi kama tundu alitumia tukio Ilo kwa manufaa yake kisiasa maana kweny kampeni zake moja ya sera ilkua ni kwamba serikali katili imempga risasi
Ni ngumu kuamin mtu alipona risasi zote zile vipi kama alijipanga na Ilo shambulio au anamafunzo ya kivita?
Walikua na haki kuto mtibu kama Sheria haitaki ivo ndo maana Kuna bima kila mtu akitibiwa kwa pesa za serkali nn kitafanyika kama ingempendeza kwa mapenzi yake angemtibu lakini ata wewe Kuna omba omba akiomba utampa na Kuna utae mnyima ni mapenzi yako tu
Kuhusu danadana ndo tunakuja kama kifo Cha sokoine ukijaji critical maelezo hayajanyooka mbona husemi Kuna mashaka apo lakini ukiacha ivo unajua Kuna watu wangap hukaa mahabusu mpaka miaka 20 upelelezi bado je hao hawana haki lakin kwa tundulisu ushahidi kutoka mnasema ni mpangi
Tundu lisuu ni nani na ni nini kwa mustakabali wa Taifa hili kwa sasa?Kalemani ajitokeze kueleza kilichorekodiwa ktk CCTV cameras zake siku aliyoshambuliwa Tundu Lissu.
Wewe ni pusi?.Si mwende mahakamani nyie chura...!!
Tundu lisuu ni nani na ni nini kwa mustakabali wa Taifa hili kwa sasa?
Mpaka sasa tuwekee mchango wa kukumbukwa kwake katika uchumi au maendeleo ya nchi hii?
Tofauti na kuwa kiongozi mchumia tumbo ndani ya genge lenu Chadema!
Ni nini tutaendelea kumkumbuka nacho,tofauti na hilo shambulio?
Stop the nonsense kila saa shambulio,shambulio,shambulio,shambulio......
Mpaka lini?
Watu maisha lazima yaendelee huku changamoto mpya zikiibuka kila uchao Dunia muzima!
Nyinyi Misukule wa Ufipa mnatulazimisha wooote tuabudu katika Lissuuu!
Acheni ujuha wenu.....nchi hii wamekufa wengi sana,tena vifo vya utata,na walikuwa na michango kwa jamii kuliko huyo msaliti wenu.
Lakini vifo vyao havijageuka ibada!