Ni kweli kunapofanyika jinai, ukijua unapaswa kuripoti sehemu husika, ukijua uwepo wa jinai kabla haijatendeka na hauja ripoti, wewe unakuwa ni mshirika wa uhalifu huo na unashitakiwa as an accesory before the facts, na ukijua jinai baada ya kutendeka ukainyamazia wewe pia ni mshirika wa jinai hiyo as an eccesory after the facts.
Kalemani hakuwepo, hakuijua hiyo jinai kabla, hakuijua baada ya tukio, usikute wala hakujua kuhusu hizo CCTV cameras kama zimerekodi tukio au laa, na he had no say zilipochukuliwa, na hakuna yeyote aliyekwenda pale kuziulizia au kumuulizia na usikute hata hajui hizo CCTV cameras ni za nani, zimechukuliwa na nani na zimepelekwa wapi!. Kalemani kama Kalemani has no any criminal liabilities yoyote kwa tukio hili!.
Angejuaje hayo na yeye hahusiki na hizi CCTV cameras?. Kuna yeyote anayejua kama zilikuwa on na zilirekodi chochote?.
Zilipochukuliwa na mhusika, mpangaji angejuaje kama zimefichwa kupoteza ushahidi au zimechukuliwa tuu na mwenyewe?.
Angesema wapi?, ameulizwa chochote na yeyote?. Hebu vaa viatu vya Kalemani, wewe ni mpangaji tuu, mhusika na cctv anapokuja kuchukua cctv zake kwenye nyumba yake wewe mpangaji do you have any say?.
Na baada ya shambulio, uliishasikia uchunguzi wowote?, akaseme wapi bila kuulizwa na yeyote?.
And lets assume shambulio lile halikufanywa na wasiojulikana bali limefanywa na the operatives, Kalemani anajua, angeweza kweli kwenda kuripoti popote?!. Acheni hizo!
Kwanza usiite watu majina mabaya kama dhalimu wakati saa hizi mtu huyu yuko peponi mbinguni kwa Baba yake, yuko na Baba yake!.
Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Kwenye jinai yoyote ukweli ni ushahidi usiotia shaka!. Una any evidence to prove this?.
P