Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

Nani waziri wa hovyo, Kalemani au makamba!! Mi naona kalemani ndio alikuwa waziri wa hovyo. Tanesco ilikuwa inajiendeaendea tu bila matengenezo yoyote kwa sifa za muda mfupi.
Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake kusema hadharani kuachia ngazi, (kujihudhuru nafasi zao)

Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania hiyo nafasi ya Uwazari wa Nishati,

Nadhani ilikupa wakati mgumu saana, ila mwishowe uliamua Kwa hekima nyingi mno

Watanzania tunafahamu, wewe ni miongoni mwa mawaziri mliotumbuliwa pasina kufahamu sababu za kutolewa kwenye nafasi zenu

Ulifanya Kwa juhudi kubwa, kama kiatu, basi wizara hiyo ilikuenea vema! Ulienda Kwa kasi ya ajabu kiutendaji,

Ilikuwa vigumu sana kuelewaka kwetu ikiwa ungelikubali kuendelea kuongoza wizara hiyo Kwa mabadiriko yaliyoletwa na uongozi huu

Nafahamu, ugum.u uliojitokeza kwako ni pale ulipoambiwa, utoke ukawaambie wananchi being mpya ya kuwaingizia umeme majumbani mwao, kutoka 27,000 had I 310,000,

Uliwaza mbali sana, na hatimaye ukamweleza mkuu wako kuwa, hautaeleweka, ni bora awekwe mwingine, na ndipo watanzania tukapata waziri wa hovyo kuwahi kutokea

Mungu akubariki sana Mh Kalemani

Hekima na busara zako, tunakuombea uendelee kuitumikia nchi yako Kwa juhudi hizo hizo bila kuchoka

Kawaida ya chama chako, huwa hakipendi watu wenye kujitambua kama wewe, na ukiona vema, piga hesabu za kuzidisha ili upate jibu

Mungu akutunze mkuu!
 
Matusi yako haya, hayabadiri chochote Kwa kilichotokea! Kitabaki vile vile na hata ikitokea vinginevyo, bado itabaki vilevile!

Tukana uwezavyo, Ila bado kile kilichotokea hutakibadirisha na hakiwezi kubadirika,

Wenzako wenye akili timamu, husahau yaliyopita na kupiga mwendo kuendelea mbele,

Pumbavuu!
Hatuwezi sahau tutawatumia JPM na Kalemani Kama reference ya viongozi wa hovyo kuwahi kutokea in this universe
 
Atafikiwa tu soon. Hatucheki na wauaji sisi hata siku moja. Tusipomfikia mungu atafanya yake kamaalivyofanya kwa kambale jpm baada ya viliio vya wazazi wa vijana wanaopotezwa ovyoovyo na kuokotwa kwenye viloba
Kwani ulikuwa unajua umri aliyopangiwa kuishi JPM kabla Mungu hajafanya yake? Maalim seif nae alifanya nini hadi Mungu akaamua kufanya yake?
 
Kwani ulikuwa unajua umri aliyopangiwa kuishi JPM kabla Mungu hajafanya yake? Maalim seif nae alifanya nini hadi Mungu akaamua kufanya yake?

..sasa kwanini Jpm aliamua kukatisha maisha ya TL kikatili namna ile?

..kwanini asimpeleke mahakamani kama aliamini ana makosa na kuna ushahidi wenye mashiko?
 
Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake kusema hadharani kuachia ngazi, (kujihudhuru nafasi zao)

Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania hiyo nafasi ya Uwazari wa Nishati,

Nadhani ilikupa wakati mgumu saana, ila mwishowe uliamua Kwa hekima nyingi mno

Watanzania tunafahamu, wewe ni miongoni mwa mawaziri mliotumbuliwa pasina kufahamu sababu za kutolewa kwenye nafasi zenu

Ulifanya Kwa juhudi kubwa, kama kiatu, basi wizara hiyo ilikuenea vema! Ulienda Kwa kasi ya ajabu kiutendaji,

Ilikuwa vigumu sana kuelewaka kwetu ikiwa ungelikubali kuendelea kuongoza wizara hiyo Kwa mabadiriko yaliyoletwa na uongozi huu

Nafahamu, ugum.u uliojitokeza kwako ni pale ulipoambiwa, utoke ukawaambie wananchi being mpya ya kuwaingizia umeme majumbani mwao, kutoka 27,000 had I 310,000,

Uliwaza mbali sana, na hatimaye ukamweleza mkuu wako kuwa, hautaeleweka, ni bora awekwe mwingine, na ndipo watanzania tukapata waziri wa hovyo kuwahi kutokea

Mungu akubariki sana Mh Kalemani

Hekima na busara zako, tunakuombea uendelee kuitumikia nchi yako Kwa juhudi hizo hizo bila kuchoka

Kawaida ya chama chako, huwa hakipendi watu wenye kujitambua kama wewe, na ukiona vema, piga hesabu za kuzidisha ili upate jibu

Mungu akutunze mkuu!
Tanzania au Uingereza? Rubbish 🚮🚮
 
Atafikiwa tu soon. Hatucheki na wauaji sisi hata siku moja. Tusipomfikia mungu atafanya yake kamaalivyofanya kwa kambale jpm baada ya viliio vya wazazi wa vijana wanaopotezwa ovyoovyo na kuokotwa kwenye viloba
Endelea kusubiri sasa! Ila, jitahidi kuongoza ufahamu zaidi ili usiishi Jana, ishi Leo, ya Jana yawe namna bora ya kuboreshea ya Leo na ujifunze kuendana na mada iliyoko kwenye mada tajwa
 
..sasa kwanini Jpm aliamua kukatisha maisha ya TL kikatili namna ile?

..kwanini asimpeleke mahakamani kama aliamini ana makosa na kuna ushahidi wenye mashiko?
Utaniulizaje mimi habari hizo wakati humu ndiyo kunasemwa kuwa Magufuli ndiye aliyeagiza shambulizi la Lissu ila mwenyewe JPM hakuwahi kuzungumzia hilo suala, nachojua ni kwamba hao wawili Lissu na Magufuli walikuwa haziivi ila kujua sababu za JPM kutaka kumuuwa Lissu siwezi kujua.
 
Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake kusema hadharani kuachia ngazi, (kujihudhuru nafasi zao)
Sii kweli, viongozi wanao jiuzulu wenyewe, huandika barua na kutoa sababu au hutangaza kama EL. Viongozi wanaotumbuliwa ndio hukaa kimya, na ikitokea mtumbua majipu asiposema ni kwa nini amelitumbua jipu fulani, mtumbuliwa hutulia kimya anyolewe kimya kimya.
Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania hiyo nafasi ya Uwazari wa Nishati,
Hii sii kweli!, kitu unachopata kwa kuazimwa tuu kwa hisani, huwezi kuking'ang'ania as if ni chako!. Mwenye chake anaweza kukichukua wakati wowote, yeye chake ni ubunge tuu na sio uwaziri!.
Nadhani ilikupa wakati mgumu saana, ila mwishowe uliamua Kwa hekima nyingi mno
Pia hii sii kweli hakuamua chochote bali aliamuliwa!.
Watanzania tunafahamu, wewe ni miongoni mwa mawaziri mliotumbuliwa pasina kufahamu sababu za kutolewa kwenye nafasi zenu
Kwani unaijua sababu ya yeye kuteuliwa?, aliambiwa sababu?. Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga!, anaeteuliwa bila kuambiwa sababu, atatumbuliwa bila kuambiwa sababu!, juzi kati katumbuliwa MFA, Balozi Mulamula, ulizisikia sababu?. Hapa unataka kujenga hoja kuwa Kalemani kaonewa!, kwani uwaziri ni haki yake au mali yake?.
Ulifanya Kwa juhudi kubwa, kama kiatu, basi wizara hiyo ilikuenea vema! Ulienda Kwa kasi ya ajabu kiutendaji,
Hapa nakuunga mkono hata mimi ni shahidi kupitia one on one na Kalemani

Ilikuwa vigumu sana kuelewaka kwetu ikiwa ungelikubali kuendelea kuongoza wizara hiyo Kwa mabadiriko yaliyoletwa na uongozi huu
Hii sii kweli!, issue ya kuendelea kuongoza wizara sii yake, huyu hakujiuzu ni
Uliwaza mbali sana, na hatimaye ukamweleza mkuu wako kuwa, hautaeleweka, ni bora awekwe mwingine,
Hii sii kweli!, yaani Kalemani ampangie cha kufanya mkuu wake?!, ingekuwa ni hivi si angejiuzulu?. Mbona hakujiuzulu na badala yake ametumbuliwa?
na ndipo watanzania tukapata waziri wa hovyo kuwahi kutokea
Hii sii kweli kabisa!. Huyu aliyepo sasa ni jembe kazi!.
Hebu mshuhudie

Mungu akubariki sana Mh Kalemani
Naunga mkono hoja.
Hekima na busara zako, tunakuombea uendelee kuitumikia nchi yako Kwa juhudi hizo hizo bila kuchoka
Naunga mkono hoja.
Kawaida ya chama chako, huwa hakipendi watu wenye kujitambua
Unamaanisha chama chake kinapenda mazuzu?, kimejaa majitu yasiyojitambua?, kama hii ni kweli ilikuwaje akawa huko na hadi sasa bado yupo?. Kama lengo ni kumfagilia Kalemani we mfagilie tuu lakini usimfagilie huku unakipondea chama chake ambacho kwake CCM ni baba ni mama!.

Ukiwa chama fulani na hiko chama kinapenda mazuzu, then na wewe ni zuzu!.
Sii kweli kuwa CCM haipendi watu wanaojitambua, CCM haipendi watu wasiojitambua ambao wanaboronga hadi kutumbuliwa!. Wanaojitambua wakiona tuu upepo umebadili mwelekeo hawasubiri na wao wanabadilika ama kuendana na kasi ya upepo au kupisha kwa kuachia ngazi na sio kusumbiri hadi kusombwa na kimbunga!.
P
 
CCTV zile sii zake, yeye ni mpamgaji tuu kaingia kwenye nyumba, kazikuta, baada ya tukio lile mwenye CCTV zake akazichukua camera zake, this has nothing to do with Kalemani!.
P

Unapofumbia macho uhalifu na ww ni muhalifu. Mimi sio mwanasheria kama wewe, ila najua kuna sehemu kwenye sheria inatambua hilo. Kalemani aliposikia CCTV zilizokuwa kwenye nyumba yake zimefichwa kupoteza ushahidi, angesema CCTV kabla ya shambulio zilikuwepo, na baada ya shambulio zimetolewa. Hizi ndio sign pamoja na kuondoa askari getini siku ya shambulio, zinazofanya hadi leo tuone dhalimu ndio muhusika wa shambulio la Lissu. Na huo ndio ukweli.
 
Mkuu JokaKuu, with a due respect, this is a very serious allegations!, do you have any solid evidence to prove this?.
P

Kwa vyombo vya humu ndani hizi tahuma zake lazima zifichwe, lakini kikija chombo huru wala haichukui nusu saa ukweli wote kukaa hadharani. Haya maswali ya kuuliza watu ili kuwatisha ni mambo ya kizamani kwelikweli. Ukweli uko wazi. Siku serikali inabadilika hasa kwa njia ya machafuko ukweli wote utakaa wazi peupe.
 
Unapofumbia macho uhalifu na ww ni muhalifu. Mimi sio mwanasheria kama ww, ila najua kuna sehemu kwenye sheria inatambua hilo.
Ni kweli kunapofanyika jinai, ukijua unapaswa kuripoti sehemu husika, ukijua uwepo wa jinai kabla haijatendeka na hauja ripoti, wewe unakuwa ni mshirika wa uhalifu huo na unashitakiwa as an accesory before the facts, na ukijua jinai baada ya kutendeka ukainyamazia wewe pia ni mshirika wa jinai hiyo as an eccesory after the facts.

Kalemani hakuwepo, hakuijua hiyo jinai kabla, hakuijua baada ya tukio, usikute wala hakujua kuhusu hizo CCTV cameras kama zimerekodi tukio au laa, na he had no say zilipochukuliwa, na hakuna yeyote aliyekwenda pale kuziulizia au kumuulizia na usikute hata hajui hizo CCTV cameras ni za nani, zimechukuliwa na nani na zimepelekwa wapi!. Kalemani kama Kalemani has no any criminal liabilities yoyote kwa tukio hili!.
Kalemani aliposikia CCTV zilizokuwa kwenye nyumba yake zimefichwa kupoteza ushahidi,
Angejuaje hayo na yeye hahusiki na hizi CCTV cameras?. Kuna yeyote anayejua kama zilikuwa on na zilirekodi chochote?.
Zilipochukuliwa na mhusika, mpangaji angejuaje kama zimefichwa kupoteza ushahidi au zimechukuliwa tuu na mwenyewe?.
angesema CCTV kabla ya shambulio zilikuwepo, na baada ya shambulio zimetolewa.
Angesema wapi?, ameulizwa chochote na yeyote?. Hebu vaa viatu vya Kalemani, wewe ni mpangaji tuu, mhusika na cctv anapokuja kuchukua cctv zake kwenye nyumba yake wewe mpangaji do you have any say?.
Na baada ya shambulio, uliishasikia uchunguzi wowote?, akaseme wapi bila kuulizwa na yeyote?.

And lets assume shambulio lile halikufanywa na wasiojulikana bali limefanywa na the operatives, Kalemani anajua, angeweza kweli kwenda kuripoti popote?!. Acheni hizo!
Hizi ndio sign pamoja na kuondoa askari getini siku ya shambulio, zinazofanya hadi leo tuone dhalimu ndio muhusika wa shambulio la Lisu.
Kwanza usiite watu majina mabaya kama dhalimu wakati saa hizi mtu huyu yuko peponi mbinguni kwa Baba yake, yuko na Baba yake!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
Na huo ndio ukweli.
Kwenye jinai yoyote ukweli ni ushahidi usiotia shaka!. Una any evidence to prove this?.
P
 
Back
Top Bottom