Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

Msimamo wako Kalemani utakufikisha mbali sana, Mungu akutunze sana!

..hilo ni swali zuri sana la kumuuliza Rais Samia Suluhu.

..Tanzania inahitaji Tume ya Ukweli na Maridhiano ili wote waliotendewa unyama wajulikane, na watesi wao waombe msamaha.

..Haki sio kwa ajili ya Lissu peke yake. Yeye amebahatika kunusurika na jaribio la kumuua.

..Wako ambao wamepotezwa familia zao zinastahili kuambiwa ukweli, kuombwa msamaha, na kufutwa machozi.
Kuombwa msamaha na nani? Mkuu uhalifu upo toka zamani na utaendelea kuwepo, tatizo ni kutaka kufanya kwamba kila tukio la uhalifu kwenye utawala wa Magufuli basi ni Magufuli ndio kafanya yani mkikuta maiti huko sijui wapi ni Magufuli sijui mtu akitekwa ni Magufuli, sasa hiyo ni akili ya ajabu sasa.
 
Matusi yako haya, hayabadiri chochote Kwa kilichotokea! Kitabaki vile vile na hata ikitokea vinginevyo, bado itabaki vilevile!

Tukana uwezavyo, Ila bado kile kilichotokea hutakibadirisha na hakiwezi kubadirika,

Wenzako wenye akili timamu, husahau yaliyopita na kupiga mwendo kuendelea mbele,

Pumbavuu!
Sio Badiri
Ni Badili

Shuleni mmeenda kusomea Ujinga?
CC FaizaFoxy
 
Huo ndio ukweli wenyewe.kalemani alikataa kuwapandishia bei ya kuunganishwa umeme wananchi na kwa kuwa bosi wa sasa anaendesha na wapiga madili jinsi wanavyotaka akamfukuza na kuweka waziri wa hovyo kuwahi kutokea tz
 
..nilikuwa nachomekea tu.

..Kalemani aeleze CCTV camera zilirekodi nini siku aliyoshambuliwa TL.
Area D yote cctv camera ikobkwa kalemani peke yake wale wengine zinasemaje? Je sengia
 
..hilo ni swali zuri sana la kumuuliza Rais Samia Suluhu.

..Tanzania inahitaji Tume ya Ukweli na Maridhiano ili wote waliotendewa unyama wajulikane, na watesi wao waombe msamaha.

..Haki sio kwa ajili ya Lissu peke yake. Yeye amebahatika kunusurika na jaribio la kumuua.

..Wako ambao wamepotezwa familia zao zinastahili kuambiwa ukweli, kuombwa msamaha, na kufutwa machozi.
Halafu ujue huwa nakuheshimu sana mkuu, lakini hiki kitendo cha kutokuheshimu nyuzi za wengine sio sahihi, kama vipi anzisha Uzi wa hill la kamera
 
Kuombwa msamaha na nani? Mkuu uhalifu upo toka zamani na utaendelea kuwepo, tatizo ni kutaka kufanya kwamba kila tukio la uhalifu kwenye utawala wa Magufuli basi ni Magufuli ndio kafanya yani mkikuta maiti huko sijui wapi ni Magufuli sijui mtu akitekwa ni Magufuli, sasa hiyo ni akili ya ajabu sasa.

..msamaha wataomba waliotenda uovu dhidi ya wenzao.

..mfano mzuri wa nini kifanyike au utaratibu wa kufuata ni Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Afrika Kusini iliyoongozwa na Askofu Desmond Tutu.

..Ni kweli kwamba unyama na ukatili ulianza kabla ya Magufuli.

..Lakini ni ukweli vilevile kwamba kwa upande wa Tanganyika Magufuli ndiye Raisi mkatili kuliko wote.

..Upo uwezekano kuwa utawala wa Sheikh Abeid Karume ulitenda uovu kuliko utawala wa Magufuli.
 
Drive wa Liso na Kalimeni wote wasimame pamoja. Hiyo unaionaje

..Naunga mkono dereva kuchukuliwa maelezo.

..Polisi wa Tz wafuate taratibu za kuchukua maelezo ya dereva ambaye kwa sasa yuko Ubelgiji.
 
Area D yote cctv camera ikobkwa kalemani peke yake wale wengine zinasemaje? Je sengia

..CCTV za Kalemani ndizo zilizokuwa karibu zaidi na kwenye muelekeo mzuri zaidi na eneo la tukio.

..Pia aliyeondoa walinzi siku ya tukio ahojiwe ili amtaje aliyemtuma.
 
..msamaha wataomba waliotenda uovu dhidi ya wenzao.

..mfano mzuri wa nini kifanyike au utaratibu wa kufuata ni Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Afrika Kusini iliyoongozwa na Askofu Desmond Tutu.

..Ni kweli kwamba unyama na ukatili ulianza kabla ya Magufuli.

..Lakini ni ukweli vilevile kwamba kwa upande wa Tanganyika Magufuli ndiye Raisi mkatili kuliko wote.

..Upo uwezekano kuwa utawala wa Sheikh Abeid Karume ulitenda uovu kuliko utawala wa Magufuli.
Lazima uone hivyo kwamba utawala wa Magufuli ulikuwa katili kutokana na sababu niliyoeleza kwamba ilikuwa karibu kila uhalifu mnahusisha na Magufuli, mkiona maiti imetupwa huko basi ni Magufuli ndio anahusika, watu wakitekwa ni Magufuli yani kila kitu ilikuwa ni Magufuli sasa kwa mtazamo huo lazima utawala wake muone ulikuwa katili.
 
Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake kusema hadharani kuachia ngazi, (kujihudhuru nafasi zao)

Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania hiyo nafasi ya Uwazari wa Nishati,

Nadhani ilikupa wakati mgumu saana, ila mwishowe uliamua Kwa hekima nyingi mno

Watanzania tunafahamu, wewe ni miongoni mwa mawaziri mliotumbuliwa pasina kufahamu sababu za kutolewa kwenye nafasi zenu

Ulifanya Kwa juhudi kubwa, kama kiatu, basi wizara hiyo ilikuenea vema! Ulienda Kwa kasi ya ajabu kiutendaji,

Ilikuwa vigumu sana kuelewaka kwetu ikiwa ungelikubali kuendelea kuongoza wizara hiyo Kwa mabadiriko yaliyoletwa na uongozi huu

Nafahamu, ugum.u uliojitokeza kwako ni pale ulipoambiwa, utoke ukawaambie wananchi being mpya ya kuwaingizia umeme majumbani mwao, kutoka 27,000 had I 310,000,

Uliwaza mbali sana, na hatimaye ukamweleza mkuu wako kuwa, hautaeleweka, ni bora awekwe mwingine, na ndipo watanzania tukapata waziri wa hovyo kuwahi kutokea

Mungu akubariki sana Mh Kalemani

Hekima na busara zako, tunakuombea uendelee kuitumikia nchi yako Kwa juhudi hizo hizo bila kuchoka

Kawaida ya chama chako, huwa hakipendi watu wenye kujitambua kama wewe, na ukiona vema, piga hesabu za kuzidisha ili upate jibu

Mungu akutunze mkuu!
Mnapata wapi ujasiri wa kuongea kitu msicho na uelewa nacho? Samia hana kawaida ya kutoa sababu za kutumbua mawaziri wake kama mtangulizi wake laiti kama ungeambiwa sababu za kuvuliwa uwaziri wake ungemuona kenge kabisa. In short ni mpiga deal safi sana.
 
Matusi yako haya, hayabadiri chochote Kwa kilichotokea! Kitabaki vile vile na hata ikitokea vinginevyo, bado itabaki vilevile!

Tukana uwezavyo, Ila bado kile kilichotokea hutakibadirisha na hakiwezi kubadirika,

Wenzako wenye akili timamu, husahau yaliyopita na kupiga mwendo kuendelea mbele,

Pumbavuu!
Wewe ndiye mpumbavu na mkatili sana. Tena shetani kabisa unayefurahia mateso waliyoyapata watu wengine. Jambo hilo lingekupata wewe , baba, mama, mtoto au ndugu yako sidhani kama ungeandika utumbo ulioandika hapa. Mshenzi mkubwa wewe!!!
 
Mkuu JokaKuu, with a due respect, this is a very serious allegations!, do you have any solid evidence to prove this?.
P
Zipo nyingi tu. Mfano kwa nini CCTV ziliondolewa? Kwa nini hakukuwahi kufanyika any investigations by police kuhusu hilo shambulio? Police wakiulizwa wanadai eti hawajampata Lissu au dereva wake ili wawahoji!! Kweli!!! Lissu kazunguka hapa 2020 kwenye kampeni hawakupata muda kumhoji???!!! Kwa hiyo suppose wangeuawa that day ingekuwa case closed kwa sababu waliotakiwa kuhojiwa wamefariki? Wewe Mayalla ndiyo unadai umesomea sheria???!!! Hiyo degree yako katupe chooni!!
 
Ni kweli kunapofanyika jinai, ukijua unapaswa kuripoti sehemu husika, ukijua uwepo wa jinai kabla haijatendeka na hauja ripoti, wewe unakuwa ni mshirika wa uhalifu huo na unashitakiwa as an accesory before the facts, na ukijua jinai baada ya kutendeka ukainyamazia wewe pia ni mshirika wa jinai hiyo as an eccesory after the facts.

Kalemani hakuwepo, hakuijua hiyo jinai kabla, hakuijua baada ya tukio, usikute wala hakujua kuhusu hizo CCTV cameras kama zimerekodi tukio au laa, na he had no say zilipochukuliwa, na hakuna yeyote aliyekwenda pale kuziulizia au kumuulizia na usikute hata hajui hizo CCTV cameras ni za nani, zimechukuliwa na nani na zimepelekwa wapi!. Kalemani kama Kalemani has no any criminal liabilities yoyote kwa tukio hili!.

Angejuaje hayo na yeye hahusiki na hizi CCTV cameras?. Kuna yeyote anayejua kama zilikuwa on na zilirekodi chochote?.
Zilipochukuliwa na mhusika, mpangaji angejuaje kama zimefichwa kupoteza ushahidi au zimechukuliwa tuu na mwenyewe?.

Angesema wapi?, ameulizwa chochote na yeyote?. Hebu vaa viatu vya Kalemani, wewe ni mpangaji tuu, mhusika na cctv anapokuja kuchukua cctv zake kwenye nyumba yake wewe mpangaji do you have any say?.
Na baada ya shambulio, uliishasikia uchunguzi wowote?, akaseme wapi bila kuulizwa na yeyote?.

And lets assume shambulio lile halikufanywa na wasiojulikana bali limefanywa na the operatives, Kalemani anajua, angeweza kweli kwenda kuripoti popote?!. Acheni hizo!

Kwanza usiite watu majina mabaya kama dhalimu wakati saa hizi mtu huyu yuko peponi mbinguni kwa Baba yake, yuko na Baba yake!. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Kwenye jinai yoyote ukweli ni ushahidi usiotia shaka!. Una any evidence to prove this?.
P

Utakuwa umelewa maJohn Walker yako kwa maelezo haya.
 
Back
Top Bottom