Msimhukumu Rais Samia pasipokuwa na uhakika

Mkatava huu ndio foundation ya ijayo,haufai.
Sahihi, ila sio kwenye kila aspect isipokuwa zilizotajwa tu, na kwa upande mkubwa ni stabilisation clauses za mkataba. Mainly protection against future political changes and processes of dispute resolution; na ni mambo ya kawaida kwenye BIT yeyote.

Mengine hayapo bado kwenye huo mkataba hasa yale ya kibiashara na muda; mpaka wakae kitako na kuyajadili baina TPA na DPW.
 

Mpumbavu wewe ! Mbona Zanzibar hajaiingiza kwenye huo utamu ?
 
Acha kujitoa ufahamu mzee..... unadhanì wanaopinga wanapinga uwekezaji au wanapinga terms??
Ebu nipe.majibu nipate elimu
 
Shida kuna vilaza hapa wameegemea upande mmoja kitu sicho hakuna mtu anakurupuka kufanya maamuzi binadamu ana shukuran
 

So Kwa nini huo uchafu umepelekwa Bungeni?
Kwa uelewa wangu Bunge linatakiwa kuridhia Mikataba na sio huo uchafu IGA.
Halafu mbona hao Government of Dubai hawajasaini popote wala hawakumpa Power of Attorney huyo mwarabu aliyesaini Kwa niaba ya DP World
 
Bungeni waliridhia nini??
 
Mpumbavu wewe ! Mbona Zanzibar hajaiingiza kwenye huo utamu ?
Humu tunaenda kistaarabu, kama uwezi kuja kwa mtindo wa mada ulioukuta tafadhali mambo ya kulia kulia bila ya sababu kama Edna kwenye club ya Msigwa usije haribu mjadala.
 
Uamuzi wa kuwakabidhi DP World hakuufanya mwenyewe, aidha alishinikizwa ama lah. Tunaweza kumnyooshea kidole kumbe wapo waliomsababishia hilo tatizo.
Kwanini umsemee? Kwanini hataki kujitokeza hadharani kujibu maswali ya anaowatarajia kumpigia kura 2025?
 
hata wakati wa Mkataba wa TICTS watu walipiga kelele sana wakaambiwa wataona Matunda yake badala yake tunaona matundu badala ya matunda
 
Dawa ya DPW ni kuvunja muungano, hawa wazanzibari warudi kwao watuachie bandari zetu
 
Kwenye huo mkataba power of attorney doesn’t matter, kwa sababu aliekuwa na mamlaka ya juu kwenye huo mkataba ni Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania sio mwingine yeyote.

Na bunge limepitisha hiyo sheria na kutambulika rasmi.

Hiyo sheria ni implied term ya mkataba, na hakuna sheria bila ya bunge (unless bylaws na zenyewe msingi wake ni sheria ya bunge).

Kwa hivyo bunge lilikuwa na ulazima wa kuridhia, ili baadhi ya terms zilizopo kwenye IGA zitambulike katika mikataba ya baadae.

Bunge aliridhii mikataba ya kibiashara (IGA sio mkataba wa kibiashara) unless kuna sheria mahususi inayoelezea ivyo.
 
The Intergovernmental Agreement iliyosainiwa ni bilateral agreement ambayo badala ya concessions imeweka obligations. Haiwezi kuwa commercial agreement kwa sababu both parties sio commercial au business entities.

Kwa hiyo usiyeelewa ni wewe ambae unadhani kwa sababu sio commercial agreement basi sio contract kwa sababu hamna mahali palipotajwa considerations. Mambo ya ku cram siyo mazuri.

Kama upande wowote hautatekeleza kilichoahidi katika IGA ( kwa JMT ni kufacilitate uwekezaji kwa kuingia katika HGA na Emirate ya Dubai kuwekeza), IGA haitakufa kwa sababu ibara ya 23 inasema hilo haliwezekani. Kitakachofanyika ni upande utakaoona kuwa mwenzake hatekelezi wajibu wake atatangaza mgogoro na suala hilo kulipeleka Johannesburg. Bila shaka, kabla ya kufanya hivi suala hilo litakuwa limejadiliwa katika IGA Consultative Committee.

Niliwasahau Tibaijuka na Warioba ( bingwa wa international maritime law) katika vichwa vilivyotilia shaka hiyo IGA.

Amandla...
 
Naona kila wakati unazungumzia sheria. Ni sheria gani ambayo Bunge limeridhia? Ninachojua Bunge limetoa baraka tu kwa mkataba huo kutekelezwa. Unaposema Bunge ndio lenye mamlaka ya juu kuhusu sheria una maana gani wakati Rais bila Rais kusaini kilichopitishwa na Bunge hakiwi sheria.

IGA kutokuwa commercial agreement hakumaanishi kuwa sio enforceable contract maana kila upande una obligations.

Amandla...
 
Sasa mimi nitajuaje?

Wewe umesema watu wanapinga terms nakuuliza zipi unasema nitafute kwa wanaopinga.

Like seriously 😳
Sikiza nikutolee mfano wa maamuzi ya serikali yako ya ki mangungo na bwana wake Dp ilivyo
Yaani wewe ni mzazi upo tayari kumuoza binti yako kwa tajiri mchawi mtoa kafara na muathirika wa ukimwi kwakua tuu mwanaume ni tajiri ataishi maisha mazuri...
Kama utanielewa ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…