Msimhukumu Rais Samia pasipokuwa na uhakika

Hivi wakati wana tia saini walikua na haraka sana kiasi cha kushindwa kurekebisha hapo alipotaka kuweka saini asiye husika.
Na anayehusika kuweka saini hapo alipatika kwa wakati au aliweka mwingine badala yake?

Waliharakisha asije tokea mtu akaharibu dili mkataba ukivuja kabla ya kusaini!!
 
Lina ratify mkataba ili uweze kutekelezwe. Kama linavyo ratify bilateral na multilateral agreements nyingine.

Amandla...
Bilateral na multilateral Agreements zinakuwa sheria za nchi zikishapitishwa na bunge.

Tafuta wanasheria wakusaidie kwenye hilo.
 
jamaa lipuudhi sana na halijielewi

Acha uongo basi ni kwamba aliyesaini hilo li IGA sio mtu wa Serikali ya Dubai wala sio mwakilishi wa Serikali ya Dubai Bali ni mtu wa DP .
Embu nionyeshe hao waliosaini upande wa Serikali ya Dubai
Ni wapi katiba/sheria ya Tanzania inasema lazima unayetaka wewe aweke sign ndio makubaliano yawe halali? Vinginevyo ayatambuliki Tanzania.
 
Ni sheria gani inayosema raisi ndio mwenye power of attorney Tanzania.

Wewe unajua sheria za Dubai nani anamlaka ya kuingia makubaliano ya kimataifa kwa niaba ya nchi na nani hana.

If anything nimeshaeleza huko nyuma aijalishi kuna sign ya nani; ili hayo makubaliano yatambulike yanahitaji kuridhiwa na bunge sio sahihi iliyowekwa na mtu yeyote hapo.
 
Uwezi kuelewa kwa sababu kwanza utaki kukubali IGA ni sheria.

Pili implications zake kama sheria IGA ni implied term kwenye mikataba itakayofuata.

Sasa kuendelea kujadiliana na wewe ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu. Huna abc za contract law, unaelezewa utaki kuelewa.

Ndio shida ilipo ata mwanasheria wa serikali anapowapa facts hamtaki kwa sababu tayari mna illogical reasoning zenu.
 
Mimi siwezi kukuamini kwa sababu nawajua wanasheria wa serikali. Nina imani zaidi na jopo la wanasheria wa TLS, Profesa Shivji kuliko nyie ambao pamoja na kujifanya mnajua contract kila siku mnatuingiza katika matatizo.

Humu ndani hatumuamini mtu kwa sababu ya cheo au wadhfa wake bali tunapima alichosema na kama ni convincing tutamuamini. Wewe huko haujafika.

Amandla...
 
Sasa unajuaje tofauti ya facts and fiction kwenye maswala ya mikataba wakati wewe mwenyewe hujui.

It’s logical kuamini wanasheria kwa sababu there are supposed to be experts. But then what if they lack understanding on pertaining matters how can you tell misleading statements na wewe mwenyewe clueless.

Trust me hao watu unaorudia kuwataja awajawahi kushiriki kesi yeyote ya mgogoro wa kibiashara katika maisha yao na hawana abc za mikataba ni ngumu kwao kuelewa kwa sababu hujui tofauti ya mtu anaejua na asiejua.
 
Kakutuma uje umuongelee?
Me ninavyojua rais ndo msemaji wa mwisho akisema yy hakuna wakuongea kwa wanaccm inakuwaje tena
 
But She's the final decision maker, kwanini asilaumiwe? Ama sababu ya jinsia yake ndio akwepe lawama ya haya mapuuzi?

Mbona kipindi cha kikwete mlimtukana kila tusi bila kusingizia washauri wake? Mbona kipindi cha magu mlitukana pia kusema hashauriki na kila jambo limesababishwa na yeye pasipo kuhusisha institution nzima ya urais?

Sasa kwanini na huyu mama yenu musimtukane na abebe hizi lawama badala ya kuwasingizia hao washauri wake ambao hamuwajui zaidi ya kukisia na kubashiri?

Tukubali tu kuwa tunaongozwa na rais mwenye maono dhaifu na kila baya kalibariki yeye, hivyo hata matusi, kejeli atazibeba yeye na sio hao washauri wake ambao anaweza kuwapinga ama akaamua lakwake.

Sir+100 Must Go
 


Tafuta walau vitabu vya foundation level kujengea misingi ya hoja.

Ukipata hizo basic knowledge ni rahisi kujua mtu anachoongea na mantiki yake kisheria.

Hao watu unaowaongelea hawana foundation ya contract law, kwa kuwasikiliza tu; na rahisi sana kuelewa hiyo IGA kisheria kama umejifunza basics za mikataba tu ina maana gani.

Sio kubishana kwa kutoa vitu kichwani kwao, huo ubishi wa kishamba.

Binafsi nimeshaandika mpaka report za master thesis za vilaza za sheria kwenye maswala ya mikataba ya ‘Oil and Gas’ kwa kujifunza reasoning tu za foundation level.

Sasa hao watu unaodhani wanajua hawana building block za kujenga hoja za kisheria kwenye mikataba wanaropoka tu karibu wote.

👋
 
Wewe umewahi kusimamia kesi za migogoro ya kibiashara? Umewahi kuishauri serikali inapotaka kuingia katika international treaties? Una ujuzi na utaalam zaidi ya Warioba katika masuala ya international treaties? Hapa tunazungumza bilateral agreement kati ya nchi mbili wewe unakazania commercial agreements kati ya business entities!
Mimi kwa arguments zako ambazo ziko all over the place naamini kabisa haujui lolote kuhusu contracts. Una regurgitate mambo uliyocram bila kuyaelewa.

Amandla...
 
Article 97.1 (p.37)of the Constitution of Tanzania states that :
Subject to the provisions in this Constitution, the National Assembly shall exercise its legislative power through the process of debating and passing Bills which eventually ( baadae) shall have to be assented by the President, and a Bill shall NOT become law unless it is passed by the National assembly and assented by the President in accordance with the provisions of this Article.

Haya, learned person, wapi katika Katiba yetu panaposema kuwa Bill ikipitishwa tu na Bunge inakuwa sheria? Badala ya kwenda kwenye Katiba kama learned person, were unaenda kwenye kamusi!

Naona unanipotezea wakati.

Amandla....
 
Ulitamani hukumu imwendee nani? Unagitaji uhakika up!?
 
Bado unaonyesha kuwa haujui unachokisema. Report ya mater Thesis ndio nini? Ulikuwa ni examiner wakati mtu huyo unayemwita kilaza ana defend Thesis yake au uli defend Master's thesis ya kwako? Unataka kutuambia kuwa ulipitia mikataba ya 'oil and gas' ili ujifunze reasoning katika foundation level? Umewahi kweli wewe kukaa katika academia?

Unaleta vitabu vya foundation level kuonyesha umahiri wako wakati hao unaowaponda wameandika vitabu na articles kibao katika peer-reviewed journals! Wewe umeandika ngapi katika peer-reviewed journals? Najua hata maana ya peer-reviewed hauijui. Kwa kweli unasikitisha.

Amandla....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…