View attachment 2678767
Tafuta walau vitabu vya foundation level kujengea misingi ya hoja.
Ukipata hizo basic knowledge ni rahisi kujua mtu anachoongea na mantiki yake kisheria.
Hao watu unaowaongelea hawana foundation ya contract law, kwa kuwasikiliza tu; na rahisi sana kuelewa hiyo IGA kisheria kama umejifunza basics za mikataba tu ina maana gani.
Sio kubishana kwa kutoa vitu kichwani kwao, huo ubishi wa kishamba.
Binafsi nimeshaandika mpaka report za master thesis za vilaza za sheria kwenye maswala ya mikataba ya ‘Oil and Gas’ kwa kujifunza reasoning tu za foundation level.
Sasa hao watu unaodhani wanajua hawana building block za kujenga hoja za kisheria kwenye mikataba wanaropoka tu karibu wote.
👋