KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
CHuyo mpeleke Car wash... unaongea na wale vijana unawakatia kama buku tano hivi. Wanamfumulia yale maji kama wanaosha malori ya kubeba taka. Hii nakusaidia ili mambo yasijezidi kuwa mabaya ukajikuta unalazimika kuingia gharama kubwa kuita Fire Brigade ...
Wajanja tushakuelewa lakini... hapa lazima unazungumzia kitimoto... Pamoja na mambo yake yote yale bado anabakia kuwa mboga tamu kuliko zote duniani na kwenye mabaa... shahidi yangu Kasie Mahaba Matata
Hivi vibabu ni vihuni sana, humu jamvini vimeligeuza kuwa jamvi la wageniMnazeeka vibaya
Bujibuji mwenyewe kichecheNaona mnajiongezea point tatu kwa buji
Hanuki, Tukuyu safiiiiiiKama hanuki vibaya hamna shida
Kweli?Bujibuji mwenyewe kicheche
Nitamwazima gegedo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo sio mgegedo, pumziNitamwazima gegedo
Nyie vizee vihuni nimewapandishieni uzi wenuAna chura?
Sina ila ntapambana kiume
C
Wee mzee muhuni sana, duh
Jicho moyo weweMi mwenyewe kitu nisichopenda ni kuoga.
Dada ana tukunyema la hatari