GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Asante Mkuu na Mtani wangu kutoka Yanga SC kiukweli kwa Msimu huu hata Mimi GENTAMYCINE naanza Kuwaogopa kwani mmesajili Wachezaji wa Kazi na mna Kikosi cha Ushindani na chenye Kiu ya Taji la Ligi Kuu.Me nakuelewaga mkuu, MTU akifanya vizuri so vobaya kumpa pongezi hata kama no mshindani wako.. Ndo tulikuwa tunataka tupate Yanga imara namna hii ili tupambane bizuri na Simba
Sehemu pekee tu ambayo nawashauri Yanga SC ( Watani zangu ) tafadhali kuweni Wavumilivu na huyu Kocha wenu Nabi kwani nimemtathmini ni Kocha ambaye si atawafaa Yanga SC kwa muda mrefu bali pia amefanikiwa kuifanya Yanga SC yenu sasa icheze Mpira wa Kitabuni na ambao kiukweli unavutia Kuutizama.