Msimu huu kwa Mpira huu 'mwingi' wa Yanga SC tutawasingizia Wananunua tu

Msimu huu kwa Mpira huu 'mwingi' wa Yanga SC tutawasingizia Wananunua tu

Ajabu kweli, eti mpira mzuri😂😂😂
Mpira mzuri dhidi ya team zipi. Wakati juzi tu wamecheza utopolo na wanigeria🚮🚮
Siku zote mashabiki wa Yanga hawanaga akili.....mtu anasifia Yanga kuifunga kjitimu kidogo as if wameifunga T.P. Mazembe au Al Ahly. Wenyewe wanajuwa kabisa kimataifa Yanga si lolote, hawana issue lakini wapi watabisha mpaka kufa. Sasa hapa mpira gani walioucheza kama si kupiga tizi tu na timu za kitoto huko vijijini?
 
Hivi BAKITA wanajua neno lako la 'Kalogwa' au lao la 'Karogwa' tu? Sasa kwa Kukosea huku neno hili tu jepesi na la Kawaida Mimi na Wewe Nani ameshajulikana na Kujianika kuwa ni Chizi 'aliyerogwa' tena?

Huwa nikiwadharau hapa siwakosei.
Mada imekushinda. Umegeuka kuwa comedian.
Swali:
YANGA NI BORA KWA MUJIBU WA KUCHEZA NA KMC ILIYO MKIANI MWA LIGI!?
 
Acha mipasho Mzee.
Kama uzi umekushinda. Sepa.
Mechi za lingi yanga alizocheza.
1. Kagera
2. Geita Gold
3. KMC

Sasa uchambuzi wako huu wa kitoto umeegemea wapi!?
Yanga anatakiwa kucheza na team 15 mara mbili so far amecheza na team 3.

Uchambuzi wako ni wa taarabu. Nenda kaongee na ZUCHU.
🤣🤣🤣
Mpumbavu kama Wewe unaweza Kunishauri Kipanga kama Mimi? Uhalali huo umeupata wapi?

Leo GENTAMYCINE kuisifia Yanga SC Kwako ( Kwenu ) Wapumbavu kadhaa na Wanafiki imekuwa Chukizo ( Kero ) mbona nikiwa naipamba Simba SC na 'Kuinanga' Yanga SC hapa JamiiForums huwa hamjitokezi Kunipongeza?

Nasisitiza Yanga SC ya Msimu huu ni ya Moto na wako vizuri hivyo ukiona Ukweli wangu huu Umekuuma tafuta Sumu ya Panya Koroga unywe Ufe au mtafute wa 'Kukukaza' ili akupunguzie Machungu yako dhidi yangu.
 
Siku zote mashabiki wa Yanga hawanaga akili.....mtu anasifia Yanga kuifunga kjitimu kidogo as if wameifunga T.P. Mazembe au Al Ahly. Wenyewe wanajuwa kabisa kimataifa Yanga si lolote, hawana issue lakini wapi watabisha mpaka kufa. Sasa hapa mpira gani walioucheza kama si kupiga tizi tu na timu za kitoto huko vijijini?
Hujawahi kuwa na Akili hapa JamiiForums.
 
Mpumbavu kama Wewe unaweza Kunishauri Kipanga kama Mimi? Uhalali huo umeupata wapi?

Leo GENTAMYCINE kuisifia Yanga SC Kwako ( Kwenu ) Wapumbavu kadhaa na Wanafiki imekuwa Chukizo ( Kero ) mbona nikiwa naipamba Simba SC na 'Kuinanga' Yanga SC hapa JamiiForums huwa hamjitokezi Kunipongeza?

Nasisitiza Yanga SC ya Msimu huu ni ya Moto na wako vizuri hivyo ukiona Ukweli wangu huu Umekuuma tafuta Sumu ya Panya Koroga unywe Ufe au mtafute wa 'Kukukaza' ili akupunguzie Machungu yako dhidi yangu.
Labda ki-panga kidogo cha kukatia gogo. But ukweli ni kwamba;
Umechemsha mwanangu katika uzi huu.

Jipange upya. Na unaendelea kujidhalikisha tu. Umevuliwa nguo chutama Mzee.
Uchambuzi wako huu unaonesha namna kichwa chako kilivyo empty.

Nakushauri:-
Jitahidi kukaa na watu wenye akili kubwa kama mimi ili kidoooogo ujifunze universe inavyo operates.

HAPA UNATULETEA MIPASHO TU.
 
Najua huko ( huku ) Mitaani sasa Gumzo ni Yanga SC 'Kanunua' kwa KMC FC na kwamba Kipa Farouq Shikalo na Beki Vicent Dante Chikupe ndiyo 'wamechomesha' kwa Kuchukua 'Mlungula' Yanga SC kwakuwa walitoka huko.

Nadhani JamiiForums nzima hakuna asiyejua kuwa GENTAMYCINE Mimi ni Simba SC 'lia lia' na kama kuna Timu au Klabu siipendi duniani basi ni Yanga ( japo kwa Ulaya ni Manchester United nayo siipendi pia ) ila leo nataka kusema Ukweli bila kuwa Mnafiki na Mgumu wa Kukubali Uzuri wa Kikosi cha Yanga SC na Mikakati yao ya 'Kiufundi' Uwanjani.

Ufuatao ni Mtizamo wangu GENTAMYCINE wa Jicho la 'Kiufundi' la kwanini Yanga SC inafanya vyema katika NBC Tanzania Premier League na kama Timu zote Pinzani ( ikiwemo yangu ya Simba SC ) zisipojipanga 'Kimkakati' zitafungwa sana tu na kuendelea Kuimba Wimbo wetu wa Kipumbavu ( Kipopoma ) wenye 'Wivu' mwingi kuwa Yanga SC inabebwa au inahonga Timu ( Vilabu ) Pinzani......

1. Yanga SC wamesajili Kiushindani

2. Yanga SC ina Wachezaji wenye Tamaa ya Mafanikio

3. Yanga SC ina Kocha mwenye Kipaji cha Kuwasoma Wapinzani hasa Kiudhaifu wao

4. Yanga SC ina Wachezaji mahiri wa Kigeni wenye kujua Kumaliza Mechi

5. Yanga SC imefanikiwa zaidi Kuwajenga 'Kinguvu' Wachezaji wake na nampa mno Sifa Kocha wao mpya wa Viungo kwani Wachezaji wa Yanga SC wa sasa wana Nguvu na inawasaidia

6. Yanga SC wana Mshikamano mkubwa kuanzia ndani kwa Wachezaji wao husika na hata nje wa Wanachama, Wapenzi na Mashabiki wao

7. Yanga SC ina Wachezaji wenye 'Confidence' ya hali ya Juu kitu ambacho 'Kiufundi' pia huwa kina Faida na kuwa 'Tishio' kwa Timu ( Vilabu ) Pinzani.

Wana Simba SC Wenzangu leo mnisamehe Mwenzenu GENTAMYCINE kwa huu Ukweli na Uwazi wangu bali na Sisi hatujachelewa ama Kuyaaiga baadhi au hata yote haya ya 'Kiufundi' kutoka kwa Wapinzani wetu Yanga SC ili tuendelee kuwa Bora zaidi yao ila tukizembea 'Kimikakati' basi ni dhahiri Msimu huu huenda Yanga SC nao wakajiuliza na hata Kutuvua Ubingwa.

Najua fika kuwa Ligi Kuu ndiyo Kwanza bado Mbichi ila Wahenga zetu hawakukosea walipokuja na hii 'Misemo' isemayo 'Dalili ya Mvua ni Mawingu' na 'Biashara asubuhi Mahesabu jioni' hivyo Simba SC tusibweteke wala tusikariri au tusiishi Kimazoea kwani si kila mwaka Upepo utakuwa upande Wetu tu na tusisahau kuwa hata Bingwa wa Msimu huu hachukui zile Shilingi Milioni 70 au Shilingi Milioni 80 tulizozizoea bali sasa anachukua Shilingi Milioni 500 kutoka Azam.

Hongereni tu Watani zangu mpo vizuri.
KMC wanashika mkia kwenye msimamo, na Kama hicho ndio kigezo ulicho tumia kupima kiwango Cha yanga kuupiga mwingi Basi gentamycine umefeli kwa kiwango Cha sifuri kubwa yenye masikio[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24]
 
Umeongea point tupu,ila mashabiki wenzio wa simba unawafahamu na humu wamejaa tele. Watakujia na maneno ya kejeli na kukubishia
 
Ajabu kweli, eti mpira mzuri😂😂😂
Mpira mzuri dhidi ya team zipi. Wakati juzi tu wamecheza utopolo na wanigeria🚮🚮
Ya Simba 😄😄😄😄😄😄😄
 
Ila mikia bana sa hamtaki mtu aandike kile anachokiona yeye. Khaaa.

Mana mnatamani mummeze Genta wa watu. Lol
Tayari ashaandika unasema hatutaki, utopolo bhana. Sisi sio misukule,tunapinga kwa hoja kama binadamu wenye akili timamu. Huyu huyu aliwahi kumsifia Sarpong mechi ya kwanza tu kwamba ni bonge la striker na atafunga sana.
 
Mimi siyo Mwana Simba SC tu pekee kama ulivyo bali ni Mwana Simba SC lakini pia ni Mwanamichezo na Mdau mkubwa wa Mpira halafu sina Utamaduni wa Unafiki, Ushamba na Upumbavu kama mlionao wengi Wenu.

ANGALIZO / ONYO

Tafadhali kama unajijua Wewe ni Mwana Simba SC ambaye hupendi Kusikia Yanga SC ikisifiwa Kimpira ( Kimchezo ) na Mimi GENTAMYCINE nakuomba uwe unaacha ama Kufungua au hata Kusoma tu Threads na Posts zangu hapa JamiiForums.

Sijajiunga JamiiForums ili niwe tu nawafurahisha Wana Simba SC au wana CCM Wenzangu bali GENTAMYCINE nipo hapa kama Mtu Huru na mwenye Mtazamo na Mawazo yangu ambayo hayafungamani na upande Wowote ule. Yanga SC na CHADEMA ( Wapinzani ) wakipatia sitoacha Kuwasifia na acheni kutaka Kunipangia cha Kuandika hapa kwani Uhalali huo hamna na Wala hamtoupata.

Nimemaliza.
Mwana michezo gani ambaye statistics zako zina base kwenye timu mbili pekee?

Mbona mbeya kwanza hujawahi waanzishia uzi kuwasifu uchezaji wao pamoja na kufunga goli bora ambalo nahakika wangefunga yanga ungeandika uzi?
 
Back
Top Bottom