GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #101
Kwani Logically kama nilishamsifia huko nyuma Michael Sarpong na hakufanya kile nilichokitegemea ndiyo kinaniondolea uhalali wa kuendelea kutoa mitizamo yangu zaidi ya Mechi na Wachezaji?Tayari ashaandika unasema hatutaki, utopolo bhana. Sisi sio misukule,tunapinga kwa hoja kama binadamu wenye akili timamu. Huyu huyu aliwahi kumsifia Sarpong mechi ya kwanza tu kwamba ni bonge la striker na atafunga sana.
Hivi kuna Mchambuzi kama Gary Linekar ambaye alimtabiria makubwa sana Fernando Torres alipohamia Chelsea FC akitokea Liverpool FC ila hakufanya alichokitabiri na kukiona Kwake?
Je, baada ya Mchambuzi Gary Linekar Kukosea huko Kimtizamo imemuondolea Yeye nguvu ya kuendelea Kuchambua Mipira na hata kuendelea Kukubalika na Kufuatiliwa na Watu wengi?
Nikiwaita Wapumbavu msiwe mnanuna.