GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Asante Mkuu na Mtani wangu kutoka Yanga SC kiukweli kwa Msimu huu hata Mimi GENTAMYCINE naanza Kuwaogopa kwani mmesajili Wachezaji wa Kazi na mna Kikosi cha Ushindani na chenye Kiu ya Taji la Ligi Kuu.Me nakuelewaga mkuu, MTU akifanya vizuri so vobaya kumpa pongezi hata kama no mshindani wako.. Ndo tulikuwa tunataka tupate Yanga imara namna hii ili tupambane bizuri na Simba
Tafadhali acha Kunipangia jinsi ya kuwajibu Wapumbavu na Maadui zangu hapa JamiiForums vinginevyo labda na Wewe pia una hamu na Majibu yangu mabaya ambayo huwa nawapa.Haina haja ya kumtukana cha msingi kama muda wako wa kulala haujafika mjibu tu kwamba kulala ni miongoni mwa nguzo muhimu za afya muda ukifika nitalala ndugu yangu.
Pumbavu wapishe waliouelewa na Kuusoma vyema Uzi wangu wachangie Kimchezo na Wewe bakia na huu Unafiki wako ambao umekupofua mpaka Akili na hujui hata nini cha Kuchangia.Mechi 3/30 tayari Uzi.
Huu ni uchambuzi maandazi.
Uchambuzi wako huu umetumia formula gani!?Tafadhali acha Kunipangia jinsi ya kuwajibu Wapumbavu na Maadui zangu hapa JamiiForums vinginevyo labda na Wewe pia una hamu na Majibu yangu mabaya ambayo huwa nawapa.
Na ulivyo Mnafiki umekimbilia Kunishauri Mimi ambaye nimechokozwa ila aliyenichokoza hujamwambia lolote. Acha kunilazimisha nianze Kukudharau nawe hapa JamiiForums kama ninavyowadharau Wapuuzi kadhaa kutokana na Upumbavu wao sawa?
Sasa kati yangu na wewe nani mpumbavu!?Pumbavu wapishe waliouelewa na Kuusoma vyema Uzi wangu wachangie Kimchezo na Wewe bakia na huu Unafiki wako ambao umekupofua mpaka Akili na hujui hata nini cha Kuchangia.
Me nakuelewaga mkuu, MTU akifanya vizuri so vobaya kumpa pongezi hata kama no mshindani wako.. Ndo tulikuwa tunataka tupate Yanga imara namna hii ili tupambane bizuri na Simba
Unachokitafuta ni Kujibizana ( Kubishana ) nami ili ID yako hii ijulikane haraka na uwe Maarufu pia.Yaani hapa umejiona umeandika la maana. Yaani mechi 3 tu kati ya 30.
Wewe ni TOPOLO kama Haji Manara
You're the most authentic Moron on JF.Sasa kati yangu na wewe nani mpumbavu!?
Usijione unaakili machoni pako Mzee. Sasa kama unataka hao wauelewe usiweke kwenye public watumie DM.
Unyelile shi.
Mzee hebu ondoa ushenzi wako hapa. Usikimbilie kwenye kichochoro. Nimekuwa hapa since JF inaanzishwa.Unachokitafuta ni Kujibizana ( Kubishana ) nami ili ID yako hii ijulikane haraka na uwe Maarufu pia.
Usijali GENTAMYCINE nina Kipaji kikubwa cha 'Kupromoti' ID za Watu na Watu ( Wahusika ) pia hivyo nitakusaidia kwa hilo ili nawe uwe unaimbwa na Kukubalika mno hapa Jamvini JamiiForums sawa?
Mimi ndiyo GENTAMYCINE a.k.a 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' nilivyonavyo na 'Kubarikiwa' na Mwenyezi Mungu Wapumbavu wengi wa mfano wako hamna.
Punguani atakuwa 'Mamaako' pekee tu.Mzee hebu ondoa ushenzi wako hapa. Usikimbilie kwenye kichochoro. Nimekuwa hapa since JF inaanzishwa.
Nimekuuliza swali dogo. Huo uchambuzi umetumia kanuni gani!? Maana sasa hivi utopolo wamecheza mechi 3 kati ya 30.
Umeanza kwenda nje ya mada. Hii ni dalili ya kuwa punguwani
Tayari umeanza kutoa POVUYou're the most authentic Moron on JF.
Ona sasa. Unajiita unaakili. Unaanza kunitukania wazazi wangu!?Punguani atakuwa 'Mamaako' pekee tu.
Ulilolitafuta ukitaka lingine sema tu lije.Tayari umeanza kutoa POVU
View attachment 1980347
Wewe ulivyonitukana Mimi Punguani umeambiwa nami pia sina Watu wanaoniita Mzazi au Mimi siyo Mzazi?Ona sasa. Unajiita unaakili. Unaanza kunitukania wazazi wangu!?
Nyanoko.
HUWEZI KUJADILI NA WATU WENYE UWEZO KAMA MIMI. WEWE BADO KATOTO.
Leta Mzee unanitisha!?Ulilolitafuta ukitaka lingine sema tu lije.
Mimi naongea na wewe Mzee. Pambana na mimi. Usiwaingize watu ambao hawapo hapa. Hizo ni dalili za ufinyu kichwani.Wewe ulivyonitukana Mimi Punguani umeambiwa nami pia sina Watu wanaoniita Mzazi au Mimi siyo Mzazi?
Pumbavu...!!!
Yaani Mpumbavu kama Wewe unapata wapi Uhalali wa Kunipangia 'Brainiac' na 'All Rounder' kama cha Kufanya na Kuandika hapa JamiiForums?Leta Mzee unanitisha!?
Unaleta uchambuzi uchwara tukuache tu.
Nenda shule kwanza ukajifunze sport analysis. Siyo kuingilia profession za wengine.
Ntombamva ebe.