Msimu huu kwa Mpira huu 'mwingi' wa Yanga SC tutawasingizia Wananunua tu

Tayari ashaandika unasema hatutaki, utopolo bhana. Sisi sio misukule,tunapinga kwa hoja kama binadamu wenye akili timamu. Huyu huyu aliwahi kumsifia Sarpong mechi ya kwanza tu kwamba ni bonge la striker na atafunga sana.
Kwani Logically kama nilishamsifia huko nyuma Michael Sarpong na hakufanya kile nilichokitegemea ndiyo kinaniondolea uhalali wa kuendelea kutoa mitizamo yangu zaidi ya Mechi na Wachezaji?

Hivi kuna Mchambuzi kama Gary Linekar ambaye alimtabiria makubwa sana Fernando Torres alipohamia Chelsea FC akitokea Liverpool FC ila hakufanya alichokitabiri na kukiona Kwake?

Je, baada ya Mchambuzi Gary Linekar Kukosea huko Kimtizamo imemuondolea Yeye nguvu ya kuendelea Kuchambua Mipira na hata kuendelea Kukubalika na Kufuatiliwa na Watu wengi?

Nikiwaita Wapumbavu msiwe mnanuna.
 
Huna lolote inawezekana ulikua unataka usemaji wa Simba wamekuchinjia baharini. Nenda zako tuachie timu yetu
Jitahidi upunguze Kwanza hao Funza waliojazana Ubongoni mwako na wakiisha rejea Kwangu GENTAMYCINE ili nikufundishe jinsi ya Kufikiri na kuwa na Akili ambazo kwa bahati mbaya huna bali una Ujuha mwingi tu na ambao ndiyo Unakutesa.
 
Kwa hiyo content marketability ni sifa anayotakiwa awe nayo mwana michezo au media?
 
Too early to celebrate!
Did I say that Yanga SC is going to be Crowned NBC Premier League Silvaware for this Season?

Have you thoroughly read my Observation ( Analysis ) and grasped it fully and Logically?

I'm glad to meet such Nuts like you Guys.
 
Jitahidi upunguze Kwanza hao Funza waliojazana Ubongoni mwako na wakiisha rejea Kwangu GENTAMYCINE ili nikufundishe jinsi ya Kufikiri na kuwa na Akili ambazo kwa bahati mbaya huna bali una Ujuha mwingi tu na ambao ndiyo Unakutesa.
Haya kijana wa Malimbe Saut mwanza. Kijana wa mitaa ya nyamalango yani hubadiliki unajazba sana. Kwaheriii
 
hadi ben saa8 alikunyooshea mikono?
 
Kwa hiyo content marketability ni sifa anayotakiwa awe nayo mwana michezo au media?
Sasa kama mpaka leo hii hujui kuwa Nguvu ya Umma ( katika Media ni Audience ) ndiyo inaamua mtiririko mzima wa Vipindi ya nini GENTAMYCINE nipoteze muda wangu Kujadiliana na Pumbavu kama Wewe?

Umeshajiuliza ni kwanini Wahariri wengi wa Magazeti nchini ni lazima katika Kurasa zao za mbele lazima Taarifa ya Kumhusu Rais Samia iwepo na katika Kurasa zao za nyuma ni lazima Habari za kuwa huko ziwe ni za kuwahusu Yanga na Simba?

Maswali yako yanazidi kufanya nikupuuze.
 
Haya kijana wa Malimbe Saut mwanza. Kijana wa mitaa ya nyamalango yani hubadiliki unajazba sana. Kwaheriii
Angalia ulivyo Mpumbavu ( Fool ) unajifanya Kunijua wakati hunijui ila kwakuwa nilishasema nimesoma SAUT Mwanza basi unakurupuka kutaka kuja Kuwadanganya Watu hapa.

Sijaishi Malimbe bali nimekaa Nsumba tena katika Hostel ya Wanafunzi 'Watukutu' ila wenye Akili SAUT ( kwa mujibu wake aliyekuwa Vice Chancellor wetu Kipindi hiko Fr. Dr. Charles Kitima ) nzima ya Darfur nikiwa Chumba Jirani na Mheshimiwa Moses Machali na Mmoja wa Walinzi wa Waziri Mkuu wa sasa Kassim Majaliwa na 'Vichwa' vingine vya maana vingi tu.
 
Cry son cry, it's okay to cry.
 
Kwa hiyo we hapa unasimama kama media kwa kupendelea upande fulani wenye wafuasi wengi na sio mwana michezo ambaye hafungamani na uchawa?

Mbona haueleweki kama sigara kali?
 
nyie mashabiki vileja acheni kuhukumu mtu kwa vile ni 3/30 , inatakiwa msubiri ikishafika 30/30 ndo muanze hayo matusi

muda ni mwalimu mzuri mtakuja kumpa heshima yake mwisho wa msimu

mpenzi msikilizaji tuwasikilize wadhamini ila hadi sasa mshabiki wa kweli GENTAMYCINE 3 mashabiki vileja 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…