Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

Wewe unajua alichopitia?...punguza mdomo...wewe kwa Mwingira mchumba tu...
Wapi kainanga serikali?...mtu ameumizwa unaleta porojo?
Muache aseme mdomo ni wake hii inaweza kumpunguzia maumivu aliyopata.
Your browser is not able to display this video.


Kwa ushahidi huo mimi,wewe na yeye nani mchumba?!
 
Jibu ni kwamba, nyie majizi hamna uhalali hata wa kuhoji hicho unachohiji kwani nyie wenyewe ni watuhumiwa wa wizi wa mabilioni na mnahitaji kuchunguzwa.

Eti hazikuwa za umma!!
Ajabu umeng'ang'ania ajira ya Serikali hii hii unayoiona ya wezi
 
Yaani unabwabwaja kama hauna meno vile. Wewe unaishi tz au marekani? Live practical life not theories bwashee. Tz rais ni zaidi ya Mungu.
 
Mleta mada ni mjinga mkubwa!! Huu upuuzi mliokuwa mnamshauri jambazi mwenzenu mmesababishia hadi amekufa! Mwingira hapambani na Serikali, Mwingira anaongea ukweli kuhusu "Ushetani" uliokuwa unafanyika awamu ya 5, ukiongozwa na shetani kuu ambalo hatupo nalo kwa sasa! Serikali ya Samia haina muda wa kutumia nguvu kupambana na watu wanaoongea, ushetani huo ulizikwa 17-3-2021! Kama ambavyo Polepole, Gwajima na wengine wote watakaojisikia kuongea chochote na wanaachwa tu waongee, na Mwingira naye ana haki hiyoo!! Jinga sana wewe jamaa, akiongea Polepole kuikashifu awamu ya 6 mnashangilia, akiongea Mwingira kuonesha ushetani wa JPM mnafura....
 
Wabongo sio wa kuwalia yamini. Hata maofisini ndio hivyo hivyo mtakunywa bia mtainjoy utaona marafiki ndio hao sasa itokee umefukuzwa hapo hamna rangi utaacha ona.
 
Ipo video ya Mwingira hapo juu akionyesha kile ulichokiita ujinga sasa ukishamsikiliza ndiyo jijibu wewe na yeye nani mjinga zaidi
 
Wabongo sio wa kuwalia yamini. Hata maofisini ndio hivyo hivyo mtakunywa bia mtainjoy utaona marafiki ndio hao sasa itokee umefukuzwa hapo hamna rangi utaacha ona.
Mswahili anajiangalia nafsi yake tu. Hata huyo Mwingira itakuwa kuna maslahi yake yameguswa hapo anapiga kelele ili aachwe au atupiwe mfupa atulie.


Na kibaya zaidi kila mmoja anapenda mambo mazuri, ila hayo mambo mazuri anapenda yamkute akiwa amekaa tu ana-sip Wine.

Unaweza kumkuta mtu anaponda kazi fulani, anamsema mtu fulani kwamba yeye hawezi kushirikiana naye halafu nyuma ya pazia ndio mshirika wake.

Sasa wewe msikilize utajikuta umebaki peke yako.
 
“Hahahahah si unajua bongo bila unafiki maisha hayaendi” ~ Mbongo flani

Hako kamsemo ni maarufu na ndio kanaelezea watanzania walivyo nyoka. Kwenye movement usimtegemee mbongo ataku support esp mambo yakiwa magumu upande wako. Yakinyooka atajifanya chawa 😅
 
Serikali inayopambana na wananchi badala ya kuwapambania haina tofauti na genge la wahuni
..Mwananchi anayetaka kupambana na Serikali huku akisahau kuwa yeye ni laghai na tapeli wa sadaka za wengine akishughulikiwa kama mhuni kwa sababu tofauti na genge la wahuni basi ninyi wahuni wenzake msipige kelele
 
BROO UNA MALIZA NGUVU BURE WANAOKUBISHIA WENGI WAO WASUKUMA AMBAO WANAJIVIKA KITAMBAAA HAWAONI YALIYOFANYIKA
 
Mkiambiwa ukweli ndio kupambana na dola?!,nonsense [emoji57][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Nabii gani unayemfahamu kwamba ni nabii au alikuwa nabii na ilikuwaje wewe ukamtambua kwamba alikuwa nabii na nani alimwita kuwa ni nabii? (Naona harufu ya chuki za kiimani hapa).

La pili watu kama wewe hamfai kuwa watetezi wa watu kwa sababu ya ujinga, ubinafsi ama uwoga na wakati huyo mtetezi akiwa uhamishoni, watu kama wewe hupotea na vizazi vyao vyote!.

La tatu, kama hujui, Mwingira anajua usalama wake hauuko katika upeo wa anga la wachawi!, ambao wanaweza kujitutumua kwa kuwa wanaweza kugeuza mtu kuwa paka ama msukule. Mwingira anaona zaidi ya anga hili na maisha yake ni marefu kuliko ya kwako unayeona mwisho miaka 80.

Watu wangapi walikimbia nchi na wengine kuuawa ama kufia uhamishoni na mwisho wake damu na sauti zao ziliishi na kuzaa matunda?
NI MNAFIKI AMA MWOGA WA KUSIMAMIA KWELI GANI UNAYEMFAHAMU ALIYEFANIKISHA HATIMA ZA JINA LAKE NA VIZAZI VYAKE?
 
Mkiambiwa ukweli ndio kupambana na dola?!,nonsense [emoji57][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Mwisho wa siku utaandika ukimtakia pole huku wewe unakula ugali pembeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…