Ambrose Koller
Senior Member
- Oct 13, 2024
- 127
- 119
Hujapigwa mbona sawa kabisa mkuu. Gharama ya nyumba inategemea na standard ya mtu anayotaka. Kuna mtu mwingine kabla ya kujenga msing anatanguliza kizege fulani chini. Kuna wengne wafungi mkanda msingi so hujapigwaNyumba ipo Dar ya vyumba vitatu kimoja self, jiko, Sebule, dining na public toilet hii ndo bajet ya msingi fundi wangu kanitumia ila nahisi Kuna namna ananipiga au wataalamu hii mnaionaje
Anza ujenzi haraka kabla fundi hajajaruka.Nyumba ipo Dar ya vyumba vitatu kimoja self, jiko, Sebule, dining na public toilet hii ndo bajet ya msingi fundi wangu kanitumia ila nahisi Kuna namna ananipiga au wataalamu hii mnaionaje
Hapo kwenye tofali ni saizi gani bei hiyo .Nyumba ipo Dar ya vyumba vitatu kimoja self, jiko, Sebule, dining na public toilet hii ndo bajet ya msingi fundi wangu kanitumia ila nahisi Kuna namna ananipiga au wataalamu hii mnaionaje
Hiyo budget ya msingi wa choo peke yake sheikh.Nyumba ipo Dar ya vyumba vitatu kimoja self, jiko, Sebule, dining na public toilet hii ndo bajet ya msingi fundi wangu kanitumia ila nahisi Kuna namna ananipiga au wataalamu hii mnaionaje
hapo kwenye tofat atakua kachukua mepesi na iyo ni atariNaona hakuna kipigo hapo ila wasiwasi wangu kwenye tofali za msingi, hivi zinakuwa na ratio SAWA na za ukuta......!
Yaan kwa nyumba ya vyumba vi 3 msingi imara na umepanda juu walau kozi 4 na umezama chini kozi 3 lazima 5M iisheInafka hata 5m plus ufundi hapo hapo ..Kama unataka ule msingi kimbilikimo na tofali tupu basi utapata kwa bei ya chini.
Mbao za nini kwenye kujenga msingi, kwanini zege lisianze chini kabla ya kuanza tofari?Nyumba ipo Dar ya vyumba vitatu kimoja self, jiko, Sebule, dining na public toilet hii ndo bajet ya msingi fundi wangu kanitumia ila nahisi Kuna namna ananipiga au wataalamu hii mnaionaje
Hizi gharama za kindezi wakat najenga nilijikuta imefik 4M yaan pesa nje na maesabuNi sawa kabisa. Na kuna vigharama vya kindezi ndezi vitatokea inaweza fika mpaka 4m.
KweliYaan kwa nyumba ya vyumba vi 3 msingi imara na umepanda juu walau kozi 4 na umezama chini kozi 3 lazima 5M iishe
mkuu beam inashikiliwa na nini kama sio mbao?Mbao za nini kwenye kujenga msingi, kwanini zege lisianze chini kabla ya kuanza msingi?
Gharama zingine hizi zinaepukika!
Halafu fundi huyo ushauri wake ni wa kipigaji, asikabidhiwe fedha kwenda kununua vifaa, fuata mwenyewe.
Pia zunguka maeneo wanayofyatua tofari waweza kupata bei nzuri tofari kwa bei hiyo mbona ghali sana?
Halafu material zote isipokuwa mchanga na tofari, usikubali kwenda kuvinunua kwa mkupuo, nunua kidogo kidogo hadi ujenzi utakapo kamilika utaokoa gharama kubwa sana katika bajeti hiyo.
Ningelipata scatch map ya nyumba yako kwa vipimo kamili, ningelikupigia mahesabu sahihi ya mahitaji ya nondo, saruji na matofari.
Nakazia tena usimpe hela fundi kwenda kwenye manunuzi, nenda mwenyewe,hata mkeo usimtume.
Kabla ya kujiridhisha kuanza kununua, zunguka kwanza kwenye maduka mbalimbali ya vifaa vya ujenzi kuhakiki bei ya bidhaa zile zile ulizopanga kununua.
Lazima utakuta kuna maduka mengine yana bei taafifu, ndiyo ufungue pochi.
Ukifanya hivyo laki3, laki nne zitaokolewa hapo.