Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania.
"Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee".
My take:
Kama tumekubali kuanza upya tukiwa na malengo ya kutimiza hii dira basi vitendo vinatakiwa kuanza mara moja kabla hatujaelekea kwenye uchaguzi mkuu.