SawasawaNimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania.
"Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi yote ya jamii wakiwemo wanawake, vijana, watu wenye ulemavu na wazee".
View attachment 3408862
My take:
Kama tumekubali kuanza upya tukiwa na malengo ya kutimiza hii dira basi vitendo vinatakiwa kuanza mara moja kabla hatujaelekea kwenye uchaguzi mkuu.
Kabisa ni ngumu sana kufikia malengo haya kama hakuna umoja wa kitaifaTanzania yenye makovu ya kisiasa haiwezi kuwa moja
Mkoloni mweusi anacheza na future ya nchiSawasawa
Tena ni kupoteza muda wa kufanya mambo mengineKuweka matumaini kwenye utekelezaji wa dira ya 2050 kwa watu walioshindwa kuusimamia kwa ufanisi mradi wa Mwendokasi unaofanya kazi jiji la dar es salaam tu(Tena kwa baadhi ya maeneo) ni kuidhulumu nafsi yako.
Wahuni wamejaa kila sehemuMiaka 60 wameshindwa kuleta dira
Leo wamebakiza miezi mitatu madarakani ndiyo wanataka kuleta dira ya miaka 50! Hichi sini kichekesho kweli
Hali itakuwa ngumu sana 2025-2030Miaka 60 wameshindwa kuleta dira
Leo wamebakiza miezi mitatu madarakani ndiyo wanataka kuleta dira ya miaka 50! Hichi sini kichekesho kweli