Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Tuko pamoja kaka, as long your doing well.
πŸ‘‰Enjoy your time kwenye hi dunia
 
ila nitapasua pepa maana muda mrefu nilikuwa nakula msuli kimya kimya.

Kitu ambacho nakiri kuchelewa kukifahamu ni kuwa; pesa ni zaidi ya ndugu. Ukiwa na pesa utapata kizuri chechote unachokitaka
Pesa haiwezi kukusaliti kokote kule

Binadamu ndio wasaliti.

Pesa ukiheshimu itakufaa kwenye shida na Raha.

Kama wanadhani pesa sio Kila waambie wasifanye kazi wakae ndani tu. Halafu waone Nini kitatokea.
 
Wanataka hadi alipukiwe na tanker wakati washaona teja cheche wakati teja anachomoa betri.
 
Dah we ni atari kweli , hapa congo ndo changa moto za ndoa zina zingua ki ukweli nakaa chojo nasubiria mtoni magogo yapite pengine nawezapata kuni
 
Wewe unakosea sana!

Kuoa sio Rasmi na specific kama mtu afanyavyo hesabu za logarithms!
Kuoa ni upepo ambao humsomba mtu pasipo kujiandaa!yaani kama unapiga manzi fulani kama sio type yako kama huna option pale unapokua na upwiru yaani she is always available when you want!!

Wengi wanao fanya kuoa kama tukio rasmu kuubwa na maandalizi kibao ndio huwa wanashindwa!

Kuna moment kwenye maisha Kuna usmaku na uvutano ambao hukuvuta kuelekea muelekeo Fulani ambao upo nje ya kanuni kichwani na moyoni mwako na hiyo ndio hutoa fate ya hatma ya your life my friend!

Huyo hakuchaguliwa na nature kuwa wako ndio maana alikuponyoka!!wakataa ndoa wote wataoa Kwa msukumo wa nature na wataiishi ndoa kwa muda mrefu bila cheti,suti,shela ,harusi na ubwabwa!!

Utaoa katika mfumo usio rasmi ambao nature inaratibu locationally, geographically,needness na situationally!

Ndoa hazijengwi Kwa materials kama umbo,pesa,kazi,mahari n.k Bali umbo la ndani ya nafsi ambalo halionekani kabisa!ndio maana unaweza ukaona Dem mkali anaishi na jamaa chakaramu coz muunganiko wao haupo Kwa nje waonavyo Bali nafsi na hisia moyo!!

Utaoa bila kujua kama umeoa na asili itaratibu hayo bila wewe kujua!!
 
Mkuu nenda club utapata msichana wa maisha yako onyo acha shobo nao.

Wewe nenda tu kila weekend utapatana na manzi ambaye anakula Mingo kama wewe.
 
Huo utofauti ndio maana halisi sasa ya maisha,,usijipe ukamilifu kwa kujiona Una mawazo,,Maono,, fikra na mitazamo sahihi ukadharau ya wengine!!
Ndio maana sija mdharau mtu na ndio maana tunaoana ili kubalance
 
Hongera sana aisee, mshukuru sana Mungu wako aliyekufungua ufahamu.
Ndoa ni UTAPELI kama utapeli mwimgine na haina maana yoyote kwa mwanaume labda kwa mwanamke. Karibu chamani.
#KATAANDOA
 
Wewe huwezi sababu ujampata Bado mwenye sifa zako.Time will come utafuta hii kauli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…