Msinielewe Vibaya: Nimeamua kujiunga na team "Kataa Ndoa"

Usipotumia akili kutafuta mke itakugharimu.Kutumia akili ni lazima.Tumia muda wa kutosha kutafuta mke.Pia na wewe moaji uonekane uko tayari kuoa yaani mume uwe ni mume material.Na wenyewe wana vigezo vyao vya mtu wa kumkubali.hawamkubali tu kila mwanamume.wanzingatia vigezo vyao.So ukikataliwa unaendelea mbele.si ni sawa na kazi unaomba kazi unaitwa interview unaangukia pua.ila huachi kutafuta kazi.
 
team leader ukashindwa na mwalimu. basi sawa
ungemla mdogo wake recho umzalishe kisha mpige chini
 
Tuliza kichwa mzee, hadi umeanza kupuyanga hovyo hovyo. Soma vizuri unacho reply na u reply kitu husika. Kuna mahala nimeandiaka mambo ya kuoana mimi, au nimeandika mambo ya kukataa ndoa mkuu? Kunywa maji kichwa ipoe, hii ligi haitaki hasira
 
Swala la ndoa litabaki kuwa ni jambo muhimu kwa mwanaume
Kama samaki wote wameoza tafuta mwenye ufadhari dunia hii sio ya kulipa ubaya eti sababu umefanyiwa ubaya
Ni muhimu kwa wanaume sio, wanawake je kwao sio muhimu? Wakuu naomba mnijibu, je kuna wanawake wanaunga mkono kataa ndoa? Kama sio basi wao wanafaida nayo kuliko wanaume
 
Dogo, kataa ndoa ila tafuta mke oa. Usipo oa utaolewa.
 
Uyo mama asiokuwa mrangi sijui
 
Ushauri wako unafanya kazi Africa tu na kwenye wale wataamua kuishi kimaskini .
 
Kuna siku utajutia maamuzi yako kijana. Huyo mama mkwe ndo akufanye ufikie maamuzi yasiyo na busara, kweli?!

Mda ni rafiki mzuri sana.
Ajutie nini mkuu ? Hakuna atakachojuta , ila walio oa ndio wanajuta mpka sasa.
 
Mimi kuoa mpaka nikaliwe vikao vya ukoo wakanitambikie kwa mababu nikiona nakarbia kuchiz basi sitokua na jinsi kishingo upande sana ndipo nitaish na mwanamke geto bila ndoa. Vinginevyo mimi nyumba yangu ni changing room ya watoto tu.
 
Zaidi ya k mwanamke hana kingine cha Ku offer kwenye mahusiano.

Wewe tafuta hela kula mbususu enjoy maisha. Ndoa ni mfumo wa maisha uliofeli zama hizi
Sasa watoto utawapata kwa wanume wenzako hakn kitu nachukizwa Kama Hawa kataa ndoaaa watu mijitu sna nyinyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…