Alichokiongea mtoa mada ni kweli kabisa, sijui kwasababu wewe sio mwanaume, ndo maana huelewi, kwa mwanaume, asilimia 90% ya wanawake atakaokutana nao kila siku ni wadangaji wanaompendea hela, asilimia 10 ni wanawake wema na sahihi, kwenye hio asilimia 10 hujatoa wanawake ambao hawakutaki, na wanawake ambao huwataki, unabaki na percent ndogo sana ambayo probability ya kukutana na hao wadada sahihi inazidi kuwa ndogo
Kwa dunia ya sasa nafikiri mwanaume ukitaka kuoa usichunguze sana, Wala kutumia akili, la sivyo hutaoa
Lihove2